Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
'Thirty' anaweza kuwa na nzao 3, je aendelee tu kuitwa msichana mbichi?Miaka 30 anaitwaje mwana mama? Bado mbichi kabisa mwana mama aanzie 40 na kuendelea
'Thirty' anaweza kuwa na nzao 3, je aendelee tu kuitwa msichana mbichi?Miaka 30 anaitwaje mwana mama? Bado mbichi kabisa mwana mama aanzie 40 na kuendelea
Wamama/wadada wengi wengi wenye viduka sinza huko ndiyo kazi zaoUmri mdogo kesi kubwa.....sema huyo amepata bahati mbaya kukamatwa ila mademu wengi wanapiga sana hizo mbanga
Alikuwa hajui alitendaloMbona katoto kadogo sana, 30yrs hata hakajielewi.
Jane, Mina au Ana?Kapicha basi.....sie hatumjui
Akiwa single mother mnamwambia ameshachelewa (30 yrs)Mbona katoto kadogo sana, 30yrs hata hakajielewi.
Kuzaa hata mtoto wa miaka 15 anazaa.Akiwa single mother mnamwambia ameshachelewa (30 yrs)
Akiwa haramia mnamuita binti mdogo
Nadhani hii sheria ya uhujumu uchumi inatumiwa vibaya, tuna sheria nyingi kandamizi na zinazomnyima haki mtuhumiwa.
Mkazi wa Sinza Mori, Janeth Ndimbo (30) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka manane ya usafirishaji haramu wa binadamu.
Amefikishwa mahakamani hapo leo Agosti 4, 2026 na kusomewa kesi ya uhujumu uchumi, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya.
Mshtakiwa amesomewa mashtaka hayo na wakili wa Serikali Mwandamizi, Harbert Kamugisha.
Wakili Kamugisha alidai katika shtaka la kwanza, tarehe isiyofahamika Juni, 2024 Wilaya ya Kigamboni, mshtakiwa alimwajiri Mina Ntengule chini ya kivuli cha kupata ajira nje ya nchi kwa lengo la kunyanyaswa kingono.
Pia, Agosti 1, 2024 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mshtakiwa huyo anadaiwa kumsafirisha Mina kwenda Guangzhou, nchini China.
Kamugisha aliendelea kudai kuwa, tarehe isiyofahamika Juni, 2024, eneo la Sinza Dar es Salaam, mshtakiwa alimwajiri Ana Bernard Gabriel kwa kivuli cha kupata ajira za nje ya nchi.
Mwananchi