Janeth Ndimbo afikishwa Mahakamani kwa mashtaka 8 ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu

Hao walioenda kufanya kazi huko nje wamethibitisha kunyanyaswa kingono? Au mwanadada kuna mahali amekanyaga wameamua kumkomoa.
 
Na vile mabinti/wanawake wengi (kama siyo wote) wanavyo wakwa na tamaa iliyopitiliza ya kupata pesa, huwa hawajiulizi mara mbili mbili. Wanaingia tu kichwa kichwa, mwisho wa siku wanaenda kutumikishwa kingono.
 
Nadhani hii sheria ya uhujumu uchumi inatumiwa vibaya, tuna sheria nyingi kandamizi na zinazomnyima haki mtuhumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…