PreGE2025 Janeth Rithe: Rais Samia wewe ndiye Amiri Jeshi Mkuu, ukisifiwa kwa mazuri basi hata mabaya pia hauwezi kuyakwepa (KUMBUKIZI)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Huyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama.

===
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa wa ACT Wazalendo, Janeth Joel Rithe amesema kuwa Rais Samia Suluhu hawezi kukwepa wajibu juu ya malalamiko ya wananchi kuhusu matukio ya utekaji, kupotea na kuuawa kwa wananchi.

October 2024,

Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa
 
Huyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama.

Sijajua jina lake halisi, ila inasemekana jina lake ndiyo hilo Janeth Ritha wa Kanisa la Living Water Center lililoko Kawe, Dar es Salaam.

View attachment 3359099
Duuh, huyu hakufundishwa tafsida?
 
Huyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama.

Sijajua jina lake halisi, ila inasemekana jina lake ndiyo hilo Janeth Ritha wa Kanisa la Living Water Center lililoko Kawe, Dar es Salaam.

View attachment 3359099

Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa na wale mmbubukujikwao machozi kila leo, mkuje mara moja!
 
Huyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama.

Sijajua jina lake halisi, ila inasemekana jina lake ndiyo hilo Janeth Ritha wa Kanisa la Living Water Center lililoko Kawe, Dar es Salaam.

View attachment 3359099
Nilidhani watanzania waliowengi hamnazo kumbe wapo wenye akili kama huyu mama
Hongera sana mama, maiti zimeanza kupiga chafya
 
Huyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama.

Sijajua jina lake halisi, ila inasemekana jina lake ndiyo hilo Janeth Ritha wa Kanisa la Living Water Center lililoko Kawe, Dar es Salaam.

View attachment 3359099
Watu wamechoka na vitendo vya kidharimu
 
Back
Top Bottom