PreGE2025 Janeth Rithe: Rais Samia wewe ndiye Amiri Jeshi Mkuu, ukisifiwa kwa mazuri basi hata mabaya pia hauwezi kuyakwepa (KUMBUKIZI)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Samia kasema yeye hajawahi kuua mtu?

Hivi Samia anajua yeye ni rais na kuwa rais ni nini?
 
Huyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama.

Sijajua jina lake halisi, ila inasemekana jina lake ndiyo hilo Janeth Ritha wa Kanisa la Living Water Center lililoko Kawe, Dar es Salaam.

View attachment 3359099
Mama Kunywa pepsi Kreti zima.😍
 
Ni wakati wa waumini kuamua kuhama hayo
Makanisa wahamie yaliyotulia ambayo ukienda kuabudu Mungu unatoka umemuabudu Mungu kweli
Hakuna ya hivyo,
Labda misukule kama wewe mkasali pale ofisini Lumumba kwa machawa.

No Reforms No Election
 
Mtapiga kelele, mtakunya ,muharishe na kutapika, lakini ukweli ambao hautabadilika ni kwamba
MAMA SAMIA NI RAIS WA TANZANIA HADI 2030.
Hakuna anayekataa ila cha moto atakiona. Humu ndani ya nchi moto umeshakolea huko nje tayari umeshawashwa. Si anang'ang'ania kiti, ang'ang'anie na maovu yake asiyakimbie.
 
Wasivyo na aibu wataanza kumwandama kwa mambo ya kishenzi kisa wameambiwa ukweli.
 
Huyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama.

Sijajua jina lake halisi, ila inasemekana jina lake ndiyo hilo Janeth Ritha wa Kanisa la Living Water Center lililoko Kawe, Dar es Salaam.

View attachment 3359099
Sidhani kama anazungumzia kanisani. Huyu atakuwa ni mwana siasasio mchungaji.
 
Kanyoosha na rula safi kabisaaa 😹
 
Very precise and so bold, hongera kwake.

No reforms no election!
 
Hakuna anayekataa ila cha moto atakiona. Humu ndani ya nchi moto umeshakolea huko nje tayari umeshawashwa. Si anang'ang'ania kiti, ang'ang'anie na maovu yake asiyakimbie.
Cha moto atakiona ?!
Nyinyi ndio ambao CHA MOTO MTAKIONA!
Mh rais ni amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.
JESHI LA WANANCHI liko chini yake na muda wowote lipo tayari kutekeleza maelekezo yake.
JESHI LA POLISI lipo chini yake na muda wowote lipo tayari kutekeleza maelekezo yake.
JESHI LA KUJENGA TAIFA lipo chini yake na muda wowote lipo tayari kutekeleza maelekezo yake.
JESHI LA MAGEREZA lipo chini yake na muda wowote lipo tayari kutekeleza maelekezo yake.
JESHI LA IDARA YA UHAMIAJI lipo chini yake na muda wowote lipo tayari kutekeleza maelekezo yake.
Mh rais pia ni MWENYE KITI WA CHAMA TAWALA cha CCM na jumuia za CCM zote zipo chini yake na muda wowote zipo tayari kutekeleza maelekezo yake.
Ni jinsi gani unaweza kushindana na mh rais kisha ujidanganye kuwa utamshinda.
Mh Rais ana nguvu kubwa kushindana naye ni sawa na kupiga ngumu ukutani.
UTAUMIA MWENYEWE.
 
Ni kweli hatuna bunduki kwa kuwa tumewakabidhi watulinde na sasa wanazitumia kututeka na kutuua, je tukae kimya?

Hapana tupaze sauti kukemea!
 
Cha moto atakiona ?!
Nyinyi ndio ambao CHA MOTO MTAKIONA!
Mh rais ni amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.
JESHI LA WANANCHI liko chini yake na muda wowote lipo tayari kutekeleza maelekezo yake.
JESHI LA POLISI lipo chini yake na muda wowote lipo tayari kutekeleza maelekezo yake.
JESHI LA KUJENGA TAIFA lipo chini yake na muda wowote lipo tayari kutekeleza maelekezo yake.
JESHI LA MAGEREZA lipo chini yake na muda wowote lipo tayari kutekeleza maelekezo yake.
JESHI LA IDARA YA UHAMIAJI lipo chini yake na muda wowote lipo tayari kutekeleza maelekezo yake.
Mh rais pia ni MWENYE KITI WA CHAMA TAWALA cha CCM na jumuia za CCM zote zipo chini yake na muda wowote zipo tayari kutekeleza maelekezo yake.
Ni jinsi gani unaweza kushindana na mh rais kisha ujidanganye kuwa utamshinda.
Mh Rais ana nguvu kubwa kushindana naye ni sawa na kupiga ngumu ukutani.
UTAUMIA MWENYEWE.
Hao wote uliowataja wengi wao wameshachoshwa na amri hizo za kipuuzi. Ni suala la muda tu. Wanaotekwa na kuumizwa wana ndugu/jamaa toka kwenye hayo makundi.

Fuatilia familia ya Mzee Ally Kibao utaelewa namaanisha nini. Nenda kwa Mdude kisha urudi hapa ku comment. Na wameapa kulipiza kisasi humo humo kwenye baadhi ya hayo makundi uliyoyataja.
 
Mimi sifurahii mauaji ya Mzee Kibao.
Ni tukio baya sana na bila shaka hata mh rais alilaani tukio hilo na kuvitaka vyombo vya usalama kuhakikisha waliomuua Mzee Kibao wanapatikana na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Kuhusu mdude kama alitekwa au kufanywa jambo lolote maoni yangu ni kwamba alipewa kitu ambacho alikuwa anakitafuta kwa siku nyingi.
Lakini swali langu kwako kama ingekuwa ni kweli Mzee Kibao kauawa na serikali na mdude pia angekuwa katekwa kwa maelekezo ya serikali hiyo familia ya Kibao na mdude Wana uzito kiasi gani katika nchi hii yeye wakazi wasiopungua milioni 64 ya kwamba familia ya mzee Kibao na mdude wanao uwezo wakutikisa au kutishia usalama wa nchi ? Wakati mwingine huwa nawashangaa sana chadema mnapochukua vitu vidogovidogo na kuvikuza,kuvifanya ni vikubwa halafu mkajidanganya kwamba kwa kufanya hivyo ndio serikali itatishika na kuogopa propaganda zenu!.
 
Sibishani na wewe wala sipingi maoni yako. Ni suala la muda tu. Tuombe uzima ukweli utajulikana tu.
 
Back
Top Bottom