Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Mtu anataka kusifiea kea mazuri TU mabaya yake hataki yasemwe
Hizo ni kelele za chura ambazo kamwe hazitamzuia mama Samia kuwa rais wa Tanzania hadi 2030.Nilidhani watanzania waliowengi hamnazo kumbe wapo wenye akili kama huyu mama
Hongera sana mama, maiti zimeanza kupiga chafya
NO REFORMS NO ELECTIONHuyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama.
Sijajua jina lake halisi, ila inasemekana jina lake ndiyo hilo Janeth Ritha wa Kanisa la Living Water Center lililoko Kawe, Dar es Salaam.
View attachment 3359099
MAma abdul kayaamsha yaliyolalaHuyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama.
Sijajua jina lake halisi, ila inasemekana jina lake ndiyo hilo Janeth Ritha wa Kanisa la Living Water Center lililoko Kawe, Dar es Salaam.
View attachment 3359099
Na mabaya pia ni yake 😁Mazuri yote ya Mama, mabaya ya Evelyn Salt
Mama hakosei, ngoja Lucas Mwashambwa akusikie...Na mabaya pia ni yake 😁
Ni wakati wa waumini kuamua kuhama hayo
Makanisa wahamie yaliyotulia ambayo ukienda kuabudu Mungu unatoka umemuabudu Mungu kweli
Tume yenuMtapiga kelele, mtakunya ,muharishe na kutapika, lakini ukweli ambao hautabadilika ni kwamba
MAMA SAMIA NI RAIS WA TANZANIA HADI 2030.
Time yenuHizo ni kelele za chura ambazo kamwe hazitamzuia mama Samia kuwa rais wa Tanzania hadi 2030.
Huyu mama apewe ulinzi. Huu ujasiri Mkubwa sana.Huyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama.
Sijajua jina lake halisi, ila inasemekana jina lake ndiyo hilo Janeth Ritha wa Kanisa la Living Water Center lililoko Kawe, Dar es Salaam.
View attachment 3359099
No REFORMS NO ELECTIONMtapiga kelele, mtakunya ,muharishe na kutapika, lakini ukweli ambao hautabadilika ni kwamba
MAMA SAMIA NI RAIS WA TANZANIA HADI 2030.