Supercomputer
JF-Expert Member
- Feb 13, 2021
- 634
- 1,311
Vipi wakuu;
Katika harakati za maisha, wengi wetu tuna ile kasumba kutaka kuwaprove wrong ndugu jamaa na jamii inayotuzunguka kwamba wasikuchukulie poa kwa kuonyesha progress zako, bila kujua kwamba watu hawafurahii positive changes especially watu wa uswahilini.
Binafsi baada ya kustruggle miaka miwili mtaani kiasi Cha kushindwa kupata hata buku kwa siku, nikafanikiwa kupata kamchongo ka kupata mia mbili mia tatu. Mdogomdogo, nikaanza kuwa na discipline na pesa na kufanya maendeleo.
Washkaji mtaani wakagutuka mbona jamaa sikuhizi amechange life si unajua pesa haijifichi😀😀.Siku moja wakaniuliza, mzee vipi Mambo si haba unakula maisha tu. Hapo ndipo nikafunguka kuhusu michongo yangu si unajua Wana tena!!.
Daah Kama vile nilijambia moto, mwezi mmoja baadae nilifukuzwa job bila sababu ya kueleweka nikawa kapuku zaidi ya mwanzo na nikajifunza kuwa msiri kwenye ishu zangu.
Je ushawahi kukutana na hali Kama hii?
"In life, we either learn or earn".