Janga gani lilikukuta baada ya kuexpose mafanikio yako public?

Janga gani lilikukuta baada ya kuexpose mafanikio yako public?

Unajuaje kufukuzwa kazi kwako kunahusiana na wewe kutia habari zako, na si kwa sababu nyingine tu?

Mimi sina mafanikio kihivyo, lakini nikielezea maisha yangu ninayoyaona ya kwaida tu, watu wananiomba sana hela.
As far as you don't believe in god then seems like you don't believe in superstition either.
 
Binafsi yangu, wanaonijua kwenye kazi zangu hawajui maisha yangu na familia.
 
Unajuaje kufukuzwa kazi kwako kunahusiana na wewe kutia habari zako, na si kwa sababu nyingine tu?

Mimi sina mafanikio kihivyo, lakini nikielezea maisha yangu ninayoyaona ya kwaida tu, watu wananiomba sana hela.
Logical mind. Good reasoning
 
As far as you don't believe in god then seems like you don't believe in superstition either.
It's the same ignorance, supernatural belief.

And this does not need to be something to do with superstition, people can feel jealousy and spread false news about one, to one's boss.That can happen and it does not need witchcraft or supernatural forces.

My main question is not answered.

Where is the evidence?

It is quite possible someone was fired because he was lazy or messed up something at work, and he just won't accept that, he is looking for a scapegoat.
 
Vipi wakuu;

Katika harakati za maisha, wengi wetu tuna ile kasumba kutaka kuwaprove wrong ndugu jamaa na jamii inayotuzunguka kwamba wasikuchukulie poa kwa kuonyesha progress zako, bila kujua kwamba watu hawafurahii positive changes especially watu wa uswahilini.

Binafsi baada ya kustruggle miaka miwili mtaani kiasi Cha kushindwa kupata hata buku kwa siku, nikafanikiwa kupata kamchongo ka kupata mia mbili mia tatu. Mdogomdogo, nikaanza kuwa na discipline na pesa na kufanya maendeleo.

Washkaji mtaani wakagutuka mbona jamaa sikuhizi amechange life si unajua pesa haijifichi😀😀.Siku moja wakaniuliza, mzee vipi Mambo si haba unakula maisha tu. Hapo ndipo nikafunguka kuhusu michongo yangu si unajua Wana tena!!.

Daah Kama vile nilijambia moto, mwezi mmoja baadae nilifukuzwa job bila sababu ya kueleweka nikawa kapuku zaidi ya mwanzo na nikajifunza kuwa msiri kwenye ishu zangu.

Je ushawahi kukutana na hali Kama hii?

"In life, we either learn or earn".
Nilipigwa kipapai kikali ila i'm good

Kisa ni kununua Bentley Flying spur
 
Mimi mipango yangu inafail na ni siri yangu pia huwa siwaambii watu.

Kuna mambo yatafail sio kwa sababu umewaambia watu,bali ni kwa sababu kuna makosa uliyafanya ambayo hayahitajiki kwenye jambo lako.

Bila kujua hili itakucost maana kesho utafanya siri kwa kudhani kwamba ukifanya siri itafanikiwa bado utaangukia pua kwa sababu hiyo sio sababu.

Kaa chini angalia nini sababu,hii ya usiri ije mwisho
 
"kanuni ya kiroho" upande wa giza ama wa Nuru.

sisi tulioko upande wa Nuru kuyasema mafanikio yetu ni ushuhuda kwa jinsi MUNGU anavyotuinua kutoka chini kwenda juu. ni furaha sana kuyataja tuliyofanikishwa na MUNGU wetu!

Jesus saves
Yesu mara nyingi alivokuwa anaponya watu aliwasisitiza kuwa wasiwambie watu juu ya siri ya uponyaji wao
 
Kitu chochote kinachokunufaisha ni siri, kaa nacho moyoni tu. Ukikifichua kanaharibiwa ili ukome kuringa na kuvimba
Siri ,Siri ya nini
Nakubali usiri zaidi huo usiri usekee utaratibu mzuri ili Siri iwe Siri kweli maana wahenga walisema hakuna Siri chini ya jua . Pia sio wote Wanapendelea maisha ya kuvimba na kuvimba ndio maisha gani au kuishi kuwa mnyonge ndio furaha ya jamii au kufurahi ufurahi wewe wakifurahi wenzio wanaringa .

Mzee wa nchi Rais mstaafu A.H Mwinyi anahusia maisha ni history tu tunatengeneza akasihii tujitahidi kuacha history nzuri ,bado najifunza kuacha history nzuri hapa Duniani katika maisha yangu Mungu aliyonipangia hapa Duniani
 
Yesu mara nyingi alivokuwa anaponya watu aliwasisitiza kuwa wasiwambie watu juu ya siri ya uponyaji wao
Bwana Yesu hakutaka afuatwe na watu wenye kutaka uponyaji wa mwilini zaidi alitamani watu wamjue Yeye ni nani na alifuata nini duniani. ndio maana pia hakuwa anamponya kila mtu, kukwepa fujo.

YESU NI KRISTO
 
Sema chuki jamani zipo na za kweli.
.

Kama unaambia watu basi ushamaliza mfano; ishu ya kujenga labda ushamaliza ndo unasema ila Kwa upande mwingine mtu anachukulia kama kejeli.

Anyway binadamu sote tuna chuki Kwa vile tunapenda maendeleo na kufanikiwa zaidi ya mwingine...Hizi mambo jamaa unasota nae ukifanikiwa anaanza kukupiga vizinga ukimpotezea anaanza kukupakazia au kufuta namba yako ni kawaida sana.

Pia usipende kujua mambo ya watu ,hili ni nzuri na utatunza afya ya akili yako .
 
Huo ni mtazamo wako, huwezi kufanikiwa hapa duniani na kuwa juu kama huna nguvu za Mungu au Shetani. Hivyo tajiri yoyote unaye muona hapa duniani ana nguvu moja wapo kati ya hizo.
Ila kwa imani yangu Mungu amesema katika kitabu cha habakuki

Habakuki 2: 2- 3
2. Bwana akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji.

3.Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.
 
Back
Top Bottom