Janga gani lilikukuta baada ya kuexpose mafanikio yako public?

Janga gani lilikukuta baada ya kuexpose mafanikio yako public?

"kanuni ya kiroho" upande wa giza ama wa Nuru.

sisi tulioko upande wa Nuru kuyasema mafanikio yetu ni ushuhuda kwa jinsi MUNGU anavyotuinua kutoka chini kwenda juu. ni furaha sana kuyataja tuliyofanikishwa na MUNGU wetu!


Jesus saves
Yesu mwenyewe Mara kadhaa alikuwa anawambia na kuwaonya watu aliowaponya wasimwambie mtu.ACHA WATU WAONE WENYEWE...

Marko 1:41-44
Akaja mtu mwenye ukoma, akapiga magoti mbele ya Yesu akamsihi, “Ukitaka, unaweza kunitakasa.” 41 Yesu akamwonea huruma, akanyoosha mkono wake akamgusa, akamwambia, “Nataka upone, takasika.” 42 Mara ukoma wote ukaisha akapona kabisa. 43 Yesu akamruhusu aende lakini 44 akamwonya, “Usimwambie mtu ye yote habari hizi; bali nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na utoe sadaka ya utakaso kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwa watu.”
 
Back
Top Bottom