Supercomputer
JF-Expert Member
- Feb 13, 2021
- 634
- 1,311
- Thread starter
-
- #21
As far as you don't believe in god then seems like you don't believe in superstition either.Unajuaje kufukuzwa kazi kwako kunahusiana na wewe kutia habari zako, na si kwa sababu nyingine tu?
Mimi sina mafanikio kihivyo, lakini nikielezea maisha yangu ninayoyaona ya kwaida tu, watu wananiomba sana hela.
umemaliza mkuu. nilitaka niseme vivyo hivyo!Mimi nisipojitangaza ndio sitoboi kwa sababu mafanikio yangu yana mkono wa Mungu hivyo ni muhimu watu wajue ili iwe ushuhuda kwao kwamba Mungu akikuinua anakuinua kwelikweli.
Logical mind. Good reasoningUnajuaje kufukuzwa kazi kwako kunahusiana na wewe kutia habari zako, na si kwa sababu nyingine tu?
Mimi sina mafanikio kihivyo, lakini nikielezea maisha yangu ninayoyaona ya kwaida tu, watu wananiomba sana hela.
It's the same ignorance, supernatural belief.As far as you don't believe in god then seems like you don't believe in superstition either.
Walimtupia jini mkuuUnajuaje kufukuzwa kazi kwako kunahusiana na wewe kutoa habari zako, na si kwa sababu nyingine tu?
Mimi sina mafanikio kihivyo, lakini nikielezea maisha yangu ninayoyaona ya kwaida tu, watu wananiomba sana hela.
Jini my foot.Walimtupia jini mkuu
Nilipigwa kipapai kikali ila i'm goodVipi wakuu;
Katika harakati za maisha, wengi wetu tuna ile kasumba kutaka kuwaprove wrong ndugu jamaa na jamii inayotuzunguka kwamba wasikuchukulie poa kwa kuonyesha progress zako, bila kujua kwamba watu hawafurahii positive changes especially watu wa uswahilini.
Binafsi baada ya kustruggle miaka miwili mtaani kiasi Cha kushindwa kupata hata buku kwa siku, nikafanikiwa kupata kamchongo ka kupata mia mbili mia tatu. Mdogomdogo, nikaanza kuwa na discipline na pesa na kufanya maendeleo.
Washkaji mtaani wakagutuka mbona jamaa sikuhizi amechange life si unajua pesa haijifichi😀😀.Siku moja wakaniuliza, mzee vipi Mambo si haba unakula maisha tu. Hapo ndipo nikafunguka kuhusu michongo yangu si unajua Wana tena!!.
Daah Kama vile nilijambia moto, mwezi mmoja baadae nilifukuzwa job bila sababu ya kueleweka nikawa kapuku zaidi ya mwanzo na nikajifunza kuwa msiri kwenye ishu zangu.
Je ushawahi kukutana na hali Kama hii?
"In life, we either learn or earn".
Mimi mipango yangu inafail na ni siri yangu pia huwa siwaambii watu.Vipi wakuu;

Wakutishe umewafanya niniMbona mnanitisha sasa🙇♀️🙇♀️
Yesu mara nyingi alivokuwa anaponya watu aliwasisitiza kuwa wasiwambie watu juu ya siri ya uponyaji wao"kanuni ya kiroho" upande wa giza ama wa Nuru.
sisi tulioko upande wa Nuru kuyasema mafanikio yetu ni ushuhuda kwa jinsi MUNGU anavyotuinua kutoka chini kwenda juu. ni furaha sana kuyataja tuliyofanikishwa na MUNGU wetu!
Jesus saves
Siri ,Siri ya niniKitu chochote kinachokunufaisha ni siri, kaa nacho moyoni tu. Ukikifichua kanaharibiwa ili ukome kuringa na kuvimba
Bwana Yesu hakutaka afuatwe na watu wenye kutaka uponyaji wa mwilini zaidi alitamani watu wamjue Yeye ni nani na alifuata nini duniani. ndio maana pia hakuwa anamponya kila mtu, kukwepa fujo.Yesu mara nyingi alivokuwa anaponya watu aliwasisitiza kuwa wasiwambie watu juu ya siri ya uponyaji wao