Janga jingine lamkuta Emmanuel Mbasha, inadaiwa kaficha habari kuhusu mfanyakazi wake aliyejinyonga

Kheeee! Tena wa kiume! Hebu tujuze kidogo juu ya hiyo barua imesema nini.pile zake.
 
Sasa ulitaka awaambie majirani ili iweje, kama alitoa taarifa polisi wewe ndugu shida ni nini hasa hapa

Kheeee! Tena wa kiume! Hebu tujuze kidogo juu ya hiyo barua imesema nini.pile zake.

Eeh ebu nikae vizur mie maana huu ubuyu ni noumah, nasikia walikuwa wanafirana , ndo tabia yake hata yule shemeji yake nasikia alisema walikuwa wanafirana ndani wakat florah hayupo, khaaa, ni shidaaaa
 
Another episode in town, sasa hivi tutasahau kipigo cha warioba

Apa binamu nimeduwaaa, yani natetemeka, umbea raha jaman, haswa upate umbea exclusive kama huu.
 
Mhhh...mbona ana majanga huyu nduguu..
Ripoti ya Polisi inasemaje jamani?
 
hii ni kubwa kuliko, kama alimla tigo hii inamaanisha hata bibie Flora hana marinda tena
 
Eeh ebu nikae vizur mie maana huu ubuyu ni noumah, nasikia walikuwa wanafirana , ndo tabia yake hata yule shemeji yake nasikia alisema walikuwa wanafirana ndani wakat florah hayupo, khaaa, ni shidaaaa

Eeeh....jamani yule mkaka ndo kalaanika hivyo?
 
Apa binamu nimeduwaaa, yani natetemeka, umbea raha jaman, haswa upate umbea exclusive kama huu.

Ahahahahh, maombi ya gwajima yanajibu binamu
 
Eeeh....jamani yule mkaka ndo kalaanika hivyo?

Mimi nalia binamu siamin kwa kweli, mwenyew handsome ukimuona utasema nn kumbe firauni tu, ngoja nifuatilie umbea zaidi nijue huyo kijana ni wa kike au wa kiume kama wa kiume mungu wangu itakuwa ni bonge la aibu.
 
Ahahahahh, maombi ya gwajima yanajibu binamu

Laana hiyo kama kweli alimsingiza gwajima katoka na mke wake wakat sio kweli, basi ndo mapigo hayo yanamfuata

Ila majirani nao wambea, kidizain ni type za akina Dinazarde na warumi, sasa wanataka waambiwe kama mfanyakaz kafa ili iweje? Ndugu si walishaambiwa na polisi?? Mmh ujirani wa kibongo nuksi, bora mie nshatafuta kiwanja bahar beach nikitulia zangu sitak umbea wa majiran
 
Last edited by a moderator:
Lakiiini hem ngoja kwanza,
Hiyo barua ina maana marehemu alienda kuipost kwanza ndo akajiua?
Kama walikuwa wanaish wawili tu ina maawma ema alikuwa wa kwanza kukuta mwili,ryt?hakuiona hyo barua?

Halaaafu kwan ni lazima aweke msiba?c marehemu ana ndugu?ç walipewa taarifa?pôlice nao c waliambiwa?

Nawaza tu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…