Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

Unashiba wakati hujala , Stress za betting sio poa, moyo unadunda mbio kishenzi... hili Zimwi linanitesa sana.
ukifanya masihara utapata matatizo ya BP...sio moyo tu kuna hadi tumbo linacheza..ukiwa mkamaria unapata tatizo la Insomnia (kukosa usingizi) , Social anxiety (unakuwa mpweke hupendi sana kuchanganyika na jamii), Unakuwa mtu wa hasira,n.k
 
Ukiona mtu anachukulia betting kama kazi huyo hayuko sawa kiakili sio betting
 
ukifanya masihara utapata matatizo ya BP...sio moyo tu kuna hadi tumbo linacheza..ukiwa mkamaria unapata tatizo la Insomnia (kukosa usingizi) , Social anxiety (unakuwa mpweke hupendi sana kuchanganyika na jamii), Unakuwa mtu wa hasira,n.k
ukifanya masihara utapata matatizo ya BP...sio moyo tu kuna hadi tumbo linacheza..ukiwa mkamaria unapata tatizo la Insomnia (kukosa usingizi) , Social anxiety (unakuwa mpweke hupendi sana kuchanganyika na jamii), Unakuwa mtu wa hasira,n.k
Unapata schizophrenia kwa ujumla ni mental disorders including insomnia
 
kwa mara ya kwanza nilishangaa kuona mwanadada kama Joanah akiwa ana uwezo mkubwa sana wa kubeti na timu zote anazijua, nilistaajabu sana ilikuwa kama miaka 6-7 iliyopita kwenye uzi wa wazee wa kubeti humu jf. Am happy to see her ameacha kubeti. Nishakutana na demu pisi kali sana alini dm kwenye mtandao wa kijamii akinilalamikia kuwa ameshindwa kuacha kubeti...nilimpa counselling aweze kuacha..sijui kama alifanikiwa ama vp..ila GUYS hili ni janga...nimeona mpk wazee wakibeti
 

Nani kakwambia nimeacha mzee?
 
Bookies wanaogopa sana watu wanaoweka stake kubwa halafu wanachexa mechi moja ila wanapata faida sana kwa watu wanaoweka matreni au game zaidi ya mbili kwenye mikeka.
 
Ni janga kubwa sana unaweza ukaacha baada ya muda ukarudi tena ila ukifanikiwa kuuacha aisee utaona mabadiliko makubwa utaishi kwenye uhalisia wa maisha
 
simu janja ndio zinerahisisha upatikanaji wa hizi zaga...miaka ya 2000-2010 ilikuwa kubeti mpk uende kwenye vituo vya M-bet na premier ila baada ya technologia kukua imekuwa rahisi kubeti hats usiku wa manane
Kweli kabisa maana unaweza fanya siri na mtu asijue,hapo unavyofanya siri nipo tatizo linapoanzia kwasababu unajikuta unashindwa kusema tatizo ndio mwanzo wa kuangamia
 
kina Hanscana, Batista akili mnemba, Bukujero, Odds kuntu, lucca swahili, creez favour ,Somadian Nunez n.k
Kuna kitu hapo hukifahamu hao ni tipster ambao wameajiliwa kwenye platform wanayoifanyia kazi na kulipwa mishahara , mfano, Lucca Swahili, odds Hawa wameajiliwa na hanscana kwenye platform yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…