Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

Kubet ni hatari sana, inatakiwa uichukulie kama STAREHE, unabeti hata mara 1 kwa week na unaweka stake ndogo ambayo hata ukipoteza haikuathiri kitu, ukitaka kuifanya kama kazi ushapotea
Huu ndio ukweli wenyewe. Ninaishi kwenye hii kanuni. Halafu pia kupunguza expectations pia. Just do it and don't keep much expectations. Ikitokea umepata, it's okay.
 
Na ujinga wa baadhi ya wanaobet wanaamini ipo siku "watamlaza kanji na viatu"
Bila kujua determination ya kumla muhindi mtu anazidi kuwa addicted+kupoteza zaidi

Kutajirika kupitia betting ni ndoto ambayo wengi wanatakiwa kuamka kabla hawajajikojolea, hakunaga hela rahisi
Joanah siku hizi umeacha kubeti mwanetu? maana kabla ya VAR kuja ulikuwa unampuna sana kanji wewe na Big Boi
 
Back
Top Bottom