Nawaambia haya Vijana hawaelewiNa ujinga wa baadhi ya wanaobet wanaamini ipo siku "watamlaza kanji na viatu"
Bila kujua determination ya kumla muhindi mtu anazidi kuwa addicted+kupoteza zaidi
Kutajirika kupitia betting ni ndoto ambayo wengi wanatakiwa kuamka kabla hawajajikojolea, hakunaga hela rahisi
Bro to bro betting sio kupoteza pesa tu bali unapoteza mfumo wako wa akili unakuwa mlevi shida wengine tunaona to inject or kunywa ndio ulevi but saikolojia ikiharibika ujue umekwishaHii idiology mkuu itakuponza.
Risk kwenye gambling ni kubwa zaidi na hakuna kurecover kwepesi pia hakuna funzo kwenye betting kwamba ulikosea kubett kesho ufanye hivi.
hiyo ndo maana ya betting sasa...hakuna kitu rahisi duniani.Hii idiology mkuu itakuponza.
Risk kwenye gambling ni kubwa zaidi na hakuna kurecover kwepesi pia hakuna funzo kwenye betting kwamba ulikosea kubett kesho ufanye hivi.
Shida wengi ndio tushalivaa hili janga kiufupi tushakuwa mateja wa kamari, tupeni mbinu za kutoka.Nawaambia haya Vijana hawaelewi
Upo sawa ni burudani kama unatumia pesa uliyojiwekea kama gharama ya starehe, na uko tayari kuipoteza.Kubeti ni burudani kamari ni ugonjwa
Vijana wanataka kuacha ila wakikumbuka lost waliyopata wanachaseNawaambia haya Vijana hawaelewi
Yeah!! Nimekueleaa ,, pesa unaweza kurecover lkn kuirecover afya ya akili sio jambo jepesi.Be
Bro to bro betting sio kupoteza pesa tu bali unapoteza mfumo wako wa akili unakuwa mlevi shida wengine tunaona to inject or kunywa ndio ulevi but saikolojia ikiharibika ujue umekwisha
Inaanza kama burudani ila baada ya mud inabadilika kwasababu inaharibu mfumo wako wa akiliUpo sawa ni burudani kama unatumia pesa uliyojiwekea kama gharama ya starehe, na uko tayari kuipoteza.
Na nikamari kama unategemea kubeti kukuletea pesa au kufidia hasara.
FactNa ujinga wa baadhi ya wanaobet wanaamini ipo siku "watamlaza kanji na viatu"
Bila kujua determination ya kumla muhindi mtu anazidi kuwa addicted+kupoteza zaidi
Kutajirika kupitia betting ni ndoto ambayo wengi wanatakiwa kuamka kabla hawajajikojolea, hakunaga hela rahisi
Namjua mtu Iringa, alimpiga Kanji Mil 80, kupitia hiyo mil 80 sasa ni exporter wa maharage.Kutajirika kupitia betting ni ndoto ambayo wengi wanatakiwa kuamka kabla hawajajikojolea, hakunaga hela rahisi
Betting huwa inanipa raha sana hasa pale mechi zikiwa zinatiki kubet raha sana ila kamari ndo ugonjwa wenyewe just imagine mtu anachezea mshahara kwaajili ya mabonanza ya wachina si bora abetiVijana msiogope kubet. Mbona hata haya maisha tunayoishi nayo ni kamari.
Bro tunaona burudani kwasababu wanaonufaika wanatupumbaza ila kiukweli high stress unayopata inaleta matatizo mengi ya kiafyaYeah!! Nimekueleaa ,, pesa unaweza kurecover lkn kuirecover afya ya akili sio jambo jepesi.
2% katika 100%Namjua mtu Iringa, alimpiga Kanji Mil 80, kupitia hiyo mil 80 sasa ni exporter wa maharage.
Namjua mtu Dom alimpiga kanji Mil 46, na sasa ni investor wa industry ya burudani.
Maisha hayana Formula.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Njoo Norway au Czech huku timu kibao ukizipa over 1.5 lazima zichomoeNa ligi zinataka kuanza yani shida ni tupu
Bet for fun, not for income.Inaanza kama burudani ila baada ya mud inabadilika kwasababu inaharibu mfumo wako wa akili
Unashiba wakati hujala , Stress za betting sio poa, moyo unadunda mbio kishenzi... hili Zimwi linanitesa sana.Bro tunaona burudani kwasababu wanaonufaika wanatupumbaza ila kiukweli high stress unayopata inaleta matatizo mengi ya kiafya
Watakufa vibaya sanaVijana wanataka kuacha ila wakikumbuka lost waliyopata wanachase
Haiwezi kuwa fan always.Bet for fun, not for income.