Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

Haya maisha kila mtu kapewa zigo lake ajitwike, kuna sisi ambao hata app ya betting hatuijui ilanyeto inatumaliza.
Dunia haitaki tupoe, haitaki tuwe na amani haitaki tuwe na furaha.

Kila kitu kimesukwa kwa structure ya kipekee! Haiwezi kuzivuka , ukikosa dini utakutana na ulevi wa pombe, njoo kwenye energy drink, njoo kwenye visungura, njoo kwenye video zetu zile na nyeto huku kuna betting , kule kuna siasa na mipira ya miguu, huku kuna mitindo ya ngono!

Kwa ufupi hamna pa kuponea, pona nilie mtu umeingia kaburini hapo utakuwa umevuka, nako huko sijui kuna adhabu zake!!!
 
Lema, heche na mchungaji Msigwa ni miongoni mwa addicts wakubwa mno wa hiyo nonsense gentleman 🐒
 
Mmmh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…