mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tff bana kwanini wasiseme kweli tu, kwamba baadhi ya wachezaji wa Namungo wamekutwa + na Corona
tatizo inaweza kua maelezo wanayotoa Namungo either yana ukweli au wameongeza chumvi kutafta huruma hapo ndio shida ina anziaSheria inaweza kutumika vibaya kufanyia fitna, ndio maana hadi CAF wamekubali mechi ihairishwe kwa sababu wameona kilichofanyika ni fitna. Tufanye tumekubali wachezaji 3 wa Namungo wapo + Covid, je ni kwa nini wamelazimisha timu nzima iende quarantine tena ndani ya kambi ya jeshi kwa shurti huku abiria wengine waliofika nao kwenye ndege wameruhusiwa kuendelea na shughuli zao?
Rapid PCR test accuracy yake ni ndogo pia inatumia kama dk 15 kutoa majibu, hauwezi toa majibu ya timu nzima ndani ya dk moja, kutokana na maelezo ya Namungo majibu ya timu nzima yalitoka hapo hapo ndani ya dk kitu kinacho onyesha ilikuwa pre planned move.
Mkuu swala la mitutu nchi za wengine ni kawaida sio kama wanawatisha, huko wenzetu usalama ni hafifu mfano Cameron, Angora, Congo, Uganda Sudan mitutu hadharani labda Kama wametishihwa hapo kuna shidaRudi jukwaa la siasa, hujui mpira na hujui kinachoendelea kwenye mpira. Taarifa ya kwanza kutoka ambayo ilikuwa na maelezo yote ni mahojiani ya Rais wa Namungo na mwandishi wa bongo, hiyo clip ndio imetoa taarifa iliyofanyiwa kazi na Serikali ( PM) na TFF. Au ulidhani Majaliwa na TFF wameota tu Namungo wapo ndani ya kambi ya jeshi?
Bado hujajibu swali kwa nini flight nzima wamewekwa quarantine msafara wa Namungo tu huku watu wengine wakiruhusiwa kuendelea, kwa nini kama wapo neg wawekwe quarantine tena chini ya mitutu ya jeshi? Rudi jukwaa la siasa ukapige porojo hujui mpira na hujui siasa za mpira wa Africa.
Na ndio hasa lililotokea. Unajua bado tuna ujinga wa kuamonishwa kuwa Mungu ametuponya (kwa vile anatupenda zaidi ya dunia nzima chini ya Magu) hivyo hakuna tahadhari hakuna kupimana.Ukute hawakupimwa huku
Aiseeee !!Na ndio hasa lililotokea. Unajua bado tuna ujinga wa kuamonishwa kuwa Mungu ametuponya (kwa vile anatupenda zaidi ya dunia nzima chini ya Magu) hivyo hakuna tahadhari hakuna kupimana.
Na sasa hivi dunia nzima inafahamu kiburi cha kiongozi wetu, na tutakomolewa hivi kimya kimya hadi tunyooke!
Duniani kiburi wanaweza wale wakubwa sio masikini kama sie, na kiburi chao sio cha kijinga kama chetu
Kwa sababu za ujinga wetu .Tatizo tunachukiwa Sana duniani kwasasa.
Wewe drs la saba. Ni hivi Sisi waTz ndiyo tuna matatizo. Tunaamini kuwa hatuna Corona wakati ukweli ni kuwa Corona ipo na inakula vichwa kila uchwao .Hawa ni nyumbu tena wa serengeti,
Kazi kubwa waliyonayo ni kuiombea nchi mabaya.
Nchi yenu ndiyo ya Kishamba kujifanya haina Corona...waka Dunia inapambana na Korona...Timu si inashikiliwa na jeshi? Mimi naona kuna siasa za kishamba za mpira wala sio suala la corona, kwani mechi zote za caf zimezuiwa au ushamba tu wa Angola?
Kwahiyo utawashtaki Caf!!? au !?Caf ilishatoa mwongozo ndio maana ikaruhusu wachezaji 40 kusajiliwa, kigezo cha wachezaji 3 kukutwa na corona sio sababu ya kuahirisha mechi
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka CAF kutokana na sakata la wachezaji watatu na kiongozi mmoja wa Namungo kukutwa na corona
Tusubiri taarifa zaidi kutoka CAF ambalo ndio shirikisho linalosimamia soka barani Africa
View attachment 1701605
Mkuu, jitahidi uujue mpira na taratibu zake.Wakubali kukaa karantini hizo siku ili gemu ipigwe hakuna namna ukizingatia wapo kwenye ko stage na ratiba haiwasubiri, vinginevyo angola watapewa point za mezani. Aibu kwa nchi
Swala la covid lipo chini ya sheria za nchi, caf wametoa ushauri tuMkuu, jitahidi uujue mpira na taratibu zake.
Usilete mambo ya hisia zako wakati tayari kuna miongozo ilishawekwa na CAF
CAF walishaweka utaratibu kuwa endapo wachezaji wakikutwa na corona basi mechi isiahirishwe kwakuwa walio negative wana uwezo wa kucheza, ndio maana mwezi January walifanya mabadiliko kwa kuruhusu idadi ya wachezaji ifike mpaka 40 kwa timu ktk usajili
Muulize Manara kipimwa juzi CongoWametumia KIPIMO KIPYA?
Mkuu, kama wachezaji watatu wamekutwa postive kuna uwezekano hata the rest wapo + Pia sababu walikua pamojaMkuu, jitahidi uujue mpira na taratibu zake.
Usilete mambo ya hisia zako wakati tayari kuna miongozo ilishawekwa na CAF
CAF walishaweka utaratibu kuwa endapo wachezaji wakikutwa na corona basi mechi isiahirishwe kwakuwa walio negative wana uwezo wa kucheza, ndio maana mwezi January walifanya mabadiliko kwa kuruhusu idadi ya wachezaji ifike mpaka 40 kwa timu ktk usajili
CAF wameifuta mechi si kwasbb ya wachezaji kukutwa +ve bali ni fitna zilizofanywa na Serikali ya Angola kwa kutaka kuwaweka karantini timu nzima ilhali ni wachezaji watatu ndio wamekutwa na virusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida akili zenu zimeshaharibika kila kitu mmezoea ujanja ujanja tu kwa hiyo mnadhani kila Nchi wana ujinga ujinga kama wenu, watu wamekutwa na corona utaratibu ni kujitenga na wote waliokuwa karibu nao. Aliyekwambia wengine waliruhusiwa ni nani, kwa hiyo Rais uchwara wa Namungo akisema kitu na wewe Zuzu unakimeza kizimakizima ila mamlaka ya Angola ikisema wewe Zuzu unaona ni figisu. Pumbafu kabisa wewe
Ni kweli kila nchi ina taratibu zake, lakn kwa kawaida inatakiwa chama cha soka cha nchi husika kuwasilisha utaratibu wa nchi yake kwa CAF ili hawa CAF waweke fixture vizuriSwala la covid lipo chini ya sheria za nchi, caf wametoa ushauri tu
Wachezaji wa5 wa FC Platnum walikutwa +ve, wakatengwa na the rest wakacheza mechi,Mkuu, kama wachezaji watatu wamekutwa postive kuna uwezekano hata the rest wapo + Pia sababu walikua pamoja
Kwanini wapewe pointi wakati serikali ndio imewazuia namungo na si timu iliyopaswa kucheza na namungo?
Hili ni swala la wafia lockdown vs JPM .. halina uhusiano wowote na Kinachoendelea au kilichojiri Angola.Wachezaji wa5 wa FC Platnum walikutwa +ve, wakatengwa na the rest wakacheza mechi,
Cr7 alikutwa +ve lakn timu nzima ya Juve haikuwekwa karantini, pía Dybala alishakutwa nao akaishia kumiss game na waliobaki walicheza mechi
Hata epl mchezaji akikutwa +ve basi atatengwa kwa siku 10
Someni na muelewe miongozo ya CAF juu ya hili swala, directives zipo very clear ndio maana wakaruhusu timu kusajili wachezaji mpaka kufikia 40
Kama nchi yako ina utaratibu wa tofauti juu ya case za covid basi FA ya nchi husika inatakiwa iiwasilishe CAF kwa lengo la kuweka mambo sawa, lakn sio kufanya mambo ya kuviziana,,, yaani unamsubiri mpinzani keshafika kwako kisha ndipo unambadilishia utaratibu tofauti na ule aliofahamishwa hapo awali
Soma hata hii miongozo ya wenzetu epl uone:
Latest statement on results of COVID-19 tests
See the results from the two rounds of COVID-19 testing between 17 and 23 Maywww.premierleague.com