Janga la Corona : CAF yaifuta Mechi ya Namungo huko Angola

Janga la Corona : CAF yaifuta Mechi ya Namungo huko Angola

Rudi jukwaa la siasa, hujui mpira na hujui kinachoendelea kwenye mpira. Taarifa ya kwanza kutoka ambayo ilikuwa na maelezo yote ni mahojiani ya Rais wa Namungo na mwandishi wa bongo, hiyo clip ndio imetoa taarifa iliyofanyiwa kazi na Serikali ( PM) na TFF. Au ulidhani Majaliwa na TFF wameota tu Namungo wapo ndani ya kambi ya jeshi?

Bado hujajibu swali kwa nini flight nzima wamewekwa quarantine msafara wa Namungo tu huku watu wengine wakiruhusiwa kuendelea, kwa nini kama wapo neg wawekwe quarantine tena chini ya mitutu ya jeshi? Rudi jukwaa la siasa ukapige porojo hujui mpira na hujui siasa za mpira wa Africa.
Shida akili zenu zimeshaharibika kila kitu mmezoea ujanja ujanja tu kwa hiyo mnadhani kila Nchi wana ujinga ujinga kama wenu, watu wamekutwa na corona utaratibu ni kujitenga na wote waliokuwa karibu nao. Aliyekwambia wengine waliruhusiwa ni nani, kwa hiyo Rais uchwara wa Namungo akisema kitu na wewe Zuzu unakimeza kizimakizima ila mamlaka ya Angola ikisema wewe Zuzu unaona ni figisu. Pumbafu kabisa wewe
 
Hili swala CAF watalipeleka kwa wajuzi wao wa utabibu kupata ushauri na jibu litakuwa rahisi sana, Bongo land hawafuati mwongozo wowote wa Who wao wanaamini shirki kwa kupiga Nyungu full stop. Namungo out
Kwi Kwi Kwi
 
Namungo bravo.......kudos...16 bora inawahusu confederation....! Uhuni wao utawagharimu..!
 
Yanga pigeni makofi....! Yaani hata mkiambulia patupu VPL na FA Lakini mtapita kwa kuwa Tanzania itakuwa imejitwalia nafasi 4 kushiriki kimataifa..
 
Usipende kufikiria hujuma. Hujuma huepushwa na good planning.

Hao abiria wengine wametoka Tanzania?
Kinacha matter ni walikuwa wote on the same flight, abiria wengine waliosoma neg umewaruhusu huku wa Namungo waliosoma neg umewakomalia na wao waende quarantine tena ndani ya kambi ya jeshi chini ya mitutu ya bunduki.

Sheria ya Angola ni home quarantine for all visitor with neg test, kwa nini wa Namungo wamelazimishwa kwenda ndani ya kambi ya jeshi tena chini ya mitutu ya bunduki. Pili msafara wa Namungo wote wamepokonywa passport zao, je Corona inahusiana vipi na kuporwa passport zao ?

Soka la Africa lina hujuma sana, kwa hiyo usipokuwa makini game inaishia nje ya uwanja, je unajua hiyo timu wanayo enda kucheza nayo Namungo inamilikiwa na jeshi pia?
 
Shida akili zenu zimeshaharibika kila kitu mmezoea ujanja ujanja tu kwa hiyo mnadhani kila Nchi wana ujinga ujinga kama wenu, watu wamekutwa na corona utaratibu ni kujitenga na wote waliokuwa karibu nao. Aliyekwambia wengine waliruhusiwa ni nani, kwa hiyo Rais uchwara wa Namungo akisema kitu na wewe Zuzu unakimeza kizimakizima ila mamlaka ya Angola ikisema wewe Zuzu unaona ni figisu. Pumbafu kabisa wewe
Ni mamlaki ipi hiyo ya Angola imetoa taarifa tofauti na ya Namungo, mnaleta siasa zenu za kishamba huku, rudini Jukwaa la siasa nyumbxxxxx nyie hamjui mpira wala siasa za mpira.
 
Hiyo statement ya tff ipo clear yeye kakomaa na habari za kwenye kahawa..
 
Kwa hiyo ulitaka watu waingie na corona halafu Serikali ikae kimya sababu haihusiki na mpira, hivi nyie watu akili zenu nani kawashikia 😡😡😡

Corona ukute watu 3 alafu timu nzima useme ikae karantini kama ulikuwa hutaki corona basi zitoe timu zako kwenye mashindo na timu za nje, hapa wamebugi corona hawana wao tu kila mtu anayo. Na je passport za wasafiri yaani namungo zinahusiana vipi na corona?
 
What if kama walikuwa na contact kati ya mchezaji na mchezaji, Angola wanafuata standard za Who ndiyo maana waliwapa option waende karantini au warudi walipotoka.ubishi wao wakapelekwa kwenye barracks za Jeshi
 
Ni mamlaki ipi hiyo ya Angola imetoa taarifa tofauti na ya Namungo, mnaleta siasa zenu za kishamba huku, rudini Jukwaa la siasa nyumbxxxxx nyie hamjui mpira wala siasa za mpira.
Siasa za mpira zimewafikisha wapi mjinga wewe. Ndiyo maana kila tukienda nje ni vikapu vya magoli sababu ya ujinga ya watu kama nyie.Nenda kakojoe ukalale si bure utoto unakusumbua
 
Ni mamlaki ipi hiyo ya Angola imetoa taarifa tofauti na ya Namungo, mnaleta siasa zenu za kishamba huku, rudini Jukwaa la siasa nyumbxxxxx nyie hamjui mpira wala siasa za mpira.
Na kama hujui mamlaka ipi kawasubiri Namungo kesho airport uwaulize nani aliwapeleka kwenye Barracks za Jeshi. Pumbafu 😡
 
Hakuna siasa hapo, kama hatuamini vipimo vyao tuwapime tena na kupeleka sample maabara huru popote duniani ili tujue mbivu na mbichi, kama majibu yatakuwa negative basi angola watakutana na adhabu kali ya caf na fifa na jumuia ya kimataifa kwa hujuma hizi. Kama majibu yatatoka positive basi tz tumekula hasara tena kubwa na kuwekwa kundi la kutokuaminika kwa hizi covid tests zetu
Sasa hii kushikiliwa na jeshi ndio Policy yao ya namna ya kuhandle kesi km hizi!?
 
Usipende kufikiria hujuma. Hujuma huepushwa na good planning.

Hao abiria wengine wametoka Tanzania?
Kwahiyo ukiwa umetoka UK na mimi nimetoka Tanzania.. lazima wa Tanzania niende karantini na wa UK aende zake ..simply because nchi yangu ina loose measures for combating Covid 19..!???

Regardless of the fact we shared a flight.. The UK dude is not even a suspect!? Anapita bila kupingwa!
 
What if kama walikuwa na contact kati ya mchezaji na mchezaji, Angola wanafuata standard za Who ndiyo maana waliwapa option waende karantini au warudi walipotoka.ubishi wao wakapelekwa kwenye barracks za Jeshi
Hiyo contact na ndege waliyokwenda nayo!? Who my A##
 
Back
Top Bottom