Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize wanajeshi wa Angola mjomba usiniulize mimiHiyo contact na ndege waliyokwenda nayo!? Who my A##
Fuata sheria bila shuruti hutaki utalazimishwa, umeshaambiwa wasikilize Who wao ndiyo wataalamu ukileta ubishi utaishia kwenye makambi ya Jeshi full stop.Kwahiyo ukiwa umetoka UK na mimi nimetoka Tanzania.. lazima wa Tanzania niende karantini na wa UK aende zake ..simply because nchi yangu ina loose measures for combating Covid 19..!???
Regardless of the fact we shared a flight.. The UK dude is not even a suspect!? Anapita bila kupingwa!
Hivi umeelewa hoja yangu, wizara ya afya ndio imezuia timu kuingia kwasababu za kiafya sasa hapo serikali imeingilia vipi michezo? Wao wameipima timu corona kama wanavyopima mtu yeyote anaeingia nchini kwaoSerikali hairuhusiwi kujiingiza kwenye michezo kwa kuwapangia vilabu kosa hilo pia
Hawa ni nyumbu tena wa serengeti,Ni mamlaki ipi hiyo ya Angola imetoa taarifa tofauti na ya Namungo, mnaleta siasa zenu za kishamba huku, rudini Jukwaa la siasa nyumbxxxxx nyie hamjui mpira wala siasa za mpira.
Mechi ya Chelsea UCL inahamishiwa Uturuki kwa sababu Spain hawaruhusu Muingereza yeyote kuingia Spain.Nchi nyingi tu jeshi linasimamia protocols za Corona.
Halafu Corona unaweza kutest negative leo, baada ya wiki ukatest positive kwa maambukizi ya juzi.
Msilazimishe Kila nchi iwe relaxed, kiss sisi tupo relaxed.
Game ya Kaiser na Raja imefutwa pia sababu Morocco kama nchi nayo ina protocols zake.
Halafu viongozi wafanye kAzi kitaalam kwa kuuliza nini kinahitajika kabla ya kwenda.
Hivi ni nini kinachowafanya muwe na akili za aina hii? Unajua kuna baadhi ya nchi Ulaya Waingereza hawaruhusiwi kuingia? Je jumuia ya kimataifa inavhukuliaje msimamo wa Tanzania dhidi ya corona?Kinacha matter ni walikuwa wote on the same flight, abiria wengine waliosoma neg umewaruhusu huku wa Namungo waliosoma neg umewakomalia na wao waende quarantine tena ndani ya kambi ya jeshi chini ya mitutu ya bunduki.
Sheria ya Angola ni home quarantine for all visitor with neg test, kwa nini wa Namungo wamelazimishwa kwenda ndani ya kambi ya jeshi tena chini ya mitutu ya bunduki. Pili msafara wa Namungo wote wamepokonywa passport zao, je Corona inahusiana vipi na kuporwa passport zao ?
Soka la Africa lina hujuma sana, kwa hiyo usipokuwa makini game inaishia nje ya uwanja, je unajua hiyo timu wanayo enda kucheza nayo Namungo inamilikiwa na jeshi pia?
Ujinga wao ni faida kwetu, Namungo ataingia hatua ya makundi bila shaka. Taifa linaenda kuwa na wawakilishi wawili kwenye hatua ya makundi CL na CC kwa mara ya kwanza.Corona ukute watu 3 alafu timu nzima useme ikae karantini kama ulikuwa hutaki corona basi zitoe timu zako kwenye mashindo na timu za nje, hapa wamebugi corona hawana wao tu kila mtu anayo. Na je passport za wasafiri yaani namungo zinahusiana vipi na corona?
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka CAF kutokana na sakata la wachezaji watatu na kiongozi mmoja wa Namungo kukutwa na corona
Tusubiri taarifa zaidi kutoka CAF ambalo ndio shirikisho linalosimamia soka barani Africa
View attachment 1701605
Suala ni kwamba je wachezaji wa namungo walipimwa kabla ya kuondoka Tanzania. Mana kuna Sheria ya angola hii hapa ''Persons entering the country require a negative polymerase chain reaction (PCR) COVID-19 test taken no more than 72 hours before arrival''Hii ndio taarifa ya sasa kutoka CAF kutokana na sakata la wachezaji watatu na kiongozi mmoja wa Namungo kukutwa na corona
Tusubiri taarifa zaidi kutoka CAF ambalo ndio shirikisho linalosimamia soka barani Africa
View attachment 1701605
Hapakuwa na haja ya kutaka kuweka karantin timu nzima mbona Qatar muller alionekana na maambukizi baada ya match na al ahly na Bayern yote haikutengwa isipokuwa yeye?kimsingi hapa kuna kitu hakiko sawaHakuna siasa hapo, kama hatuamini vipimo vyao tuwapime tena na kupeleka sample maabara huru popote duniani ili tujue mbivu na mbichi, kama majibu yatakuwa negative basi angola watakutana na adhabu kali ya caf na fifa na jumuia ya kimataifa kwa hujuma hizi. Kama majibu yatatoka positive basi tz tumekula hasara tena kubwa na kuwekwa kundi la kutokuaminika kwa hizi covid tests zetu
Inapotokea mkanganyiko kama huo timu Mgeni huwa inapewa point dhidi ya timu mwenyeji hasa pale inapokuwa willing kuja na mwenyeji ndie hataki (hata kama ni serikali refer German kwenye uefa)Kwanini wapewe pointi wakati serikali ndio imewazuia namungo na si timu iliyopaswa kucheza na namungo?
Yanga waliwahi kucheza pale wakawa wanapigwa na matofali uwanjani Angola ni nchi ya kipumbavu sanaKinacha matter ni walikuwa wote on the same flight, abiria wengine waliosoma neg umewaruhusu huku wa Namungo waliosoma neg umewakomalia na wao waende quarantine tena ndani ya kambi ya jeshi chini ya mitutu ya bunduki.
Sheria ya Angola ni home quarantine for all visitor with neg test, kwa nini wa Namungo wamelazimishwa kwenda ndani ya kambi ya jeshi tena chini ya mitutu ya bunduki. Pili msafara wa Namungo wote wamepokonywa passport zao, je Corona inahusiana vipi na kuporwa passport zao ?
Soka la Africa lina hujuma sana, kwa hiyo usipokuwa makini game inaishia nje ya uwanja, je unajua hiyo timu wanayo enda kucheza nayo Namungo inamilikiwa na jeshi pia?
Kila nchi ina taratibu zake mkuu.. ni sawa na nyumba tu kila nyumba ina utaratibu wake, sio wewe ufike kwa mwenzako ulete utaratibu wako.. ndio hivo mkuu ile ni nchi yao na wana taratibu zao, kama platinum hawakufanywa chochote huo ni utaratibu wetu, tuwe wapoleMimi sikati vipimo na wala sibishi vipimo, unakumbuka FC PLATINUM walivyokuja hapa bongo ni wachezaj wao wangapi walikutwa na COVID? JESHI ILIWASHIKILIA AU NINI KILIFANYIKA?
Na waliofanya kazi ya kutafuta pa kwenda ni Spain wenyewe kama wasingefanya hivyo Chelsea angepewa point 3 na goli 3Mechi ya Chelsea UCL inahamishiwa Uturuki kwa sababu Spain hawaruhusu Muingereza yeyote kuingia Spain.
Nitajie nchi ambazo jeshi inasimia kuhusu coronaNchi nyingi tu jeshi linasimamia protocols za Corona.
Halafu Corona unaweza kutest negative leo, baada ya wiki ukatest positive kwa maambukizi ya juzi.
Msilazimishe Kila nchi iwe relaxed, kiss sisi tupo relaxed.
Game ya Kaiser na Raja imefutwa pia sababu Morocco kama nchi nayo ina protocols zake.
Halafu viongozi wafanye kAzi kitaalam kwa kuuliza nini kinahitajika kabla ya kwenda.
Wewe si mfuatiliaji mzuri wa michezo tangu janga la covid liingie.. Muongozo upo kama idadi ya wachezaji waliopatikana na COVID ni ndogo 2,3 ama 4 wachezaji husika tu ndiyo wanazuiwa kucheza mechi... ndiyo maana unaona hata league kubwa zinaendelea kama kawaida licha ya baadhi ya wachezaji kuwa wanakutwa na maambukizi.. Pia CAF ndiye muamuzi wa mechi kuhairishwa ama la.. Kama mamlaka ya nchi iliingilia hili no wazi waangola watapokonywa ushingi na goli 3Wakubali kukaa karantini hizo siku ili gemu ipigwe hakuna namna ukizingatia wapo kwenye ko stage na ratiba haiwasubiri, vinginevyo angola watapewa point za mezani. Aibu kwa nchi
Kwa hiyo tukubali kwamba wenzetu wako serious na uhai wao wakati sisi tunaamini ushirikina lakini tunadhani watatuogopa.Na waliofanya kazi ya kutafuta pa kwenda ni Spain wenyewe kama wasingefanya hivyo Chelsea angepewa point 3 na goli 3
RwandaNitajie nchi ambazo jeshi inasimia kuhusu corona
Hivi umeelewa hoja yangu, wizara ya afya ndio imezuia timu kuingia kwasababu za kiafya sasa hapo serikali imeingilia vipi michezo? Wao wameipima timu corona kama wanavyopima mtu yeyote anaeingia nchini kwao