Janga la COVID-19: Naipongeza Serikali kwa kukataa kuiga baadhi ya mbinu za ’Nchi za Magharibi’


Hapa umenena vema kulingana na hali halisi ya mtanzania


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Ninyi hamna jema kwa JPM. Kawashika kweli kweli. Kila moja ana simamia kile anachokiamini


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Katika watu wasiomuunga Magufuli kwa mambo yake mengi, mimi ni mmojawapo, ila kwa hili na mengine machache sana namuunga mkono. Sina lolote la kumpinga au kumkosoa kwenye uamuzi wake huu.
Kwahiyo umeacha kuwa mpinzani?
 
Ni rahisi sana kuongea,
Utajikuta unatandika risasi maelfu ya watu na kitu bado inasambaa,
Trust me hii kitu imesambaa sana mpaka sasa na tuombe Mungu yasitokee ya huko Italy na Spain,
Otherwise lockdown kwa Tz is not practical kama mleta mada alivyoelezea, na hiyo yako ya kupiga risasi ndio itakuwa kali ya Mwaka.
Sio mimi au MZAZI wangu au mwanangu.
Hata kama ni magufuli mwenyewe akiumwa chapa risasi.
bora mmoja AFE wengi wapone.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni point nzuri sana...


"Nimalizie kwa kusema, sio kwamba alichokifanya Rais Magufuli na serikali yake ni ‘’mwarobaini’’ wa kupambana na Janga la COVID-19. La hasha! Njia wanazotumia nchi za Magharibi zinaweza kuwa ni nzuri zaidi lakini kwa mazingira ya nchi zao ‘’dunia ya tatu’’ ikiwemo Tanzania haiwezekani kuzitumia kutokana na hali halisi ya kiuchumi na kijamii."



Cc: mahondaw
 
Unamaanisha nini boss unaposema kuacha kuwa mpinzani?
Kwa sababu huwa naona humu akija mtu na akatoa maoni yake ambayo mfano labda yana muunga mkono rais katika jambo fulani huwa anaonekana ni ccm,yani hawaangalii maoni yako na wakajadili kama yalivyo bali wanayatizama yako upande gani ili wakubatize huo upande kwa maana umetoa maoni hayo kwa sababu upo upande huo.
 

Kimsingi mimi sio msemaji au muwakilishi wa yoyote hapa jukwaani, ila ninachojua ukija na maoni biased lazima nikupe ukweli wako.
 
Rubbish
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kupiga piga watu..Wahindi wamesema hapana

Kwa dhati kabisa nawapongeza hawa viumbe wenzetu wa huko India kwa hilo jambo la kufundishana nidhamu walilolionyesha kwa Askari wao..hili ni jambo la mfano na hata kuigwa na nchi zetu za East Africa ikiwemo Tanzania pindi hawa walinda Amani wakitumia vibaya mamlaka yao dhidi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…