Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Kafeli miserably lakini muda wake umeisha ila atagombea tena
 
Jiwe Kama mwenyekiti wa SADC kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eee Mungu hatukulaumu huu msiba tulijitakia wenyewe.
 
Ramaphosa kaitisha kikao cha nchi zinazoizunguka na ndizo zenye waathirika wengi wa COVID 19 SA.

Kuwa Mwenyekiti lazima uwe na msimamo. Vikao vya SADC huandaliwa na Secretariat na siyo Nchi.

Tanzania ni Baba lao na wote hao tumewapa Uhuru kupitia kambi za Mazimbu, Dakawa n.k.
 
Kwisha habari yake CCM Mpya kwa kukosa weledi na kwa kutegemea kujificha nyuma ya 'uzalendo feki' kwa kutaka kulazimisha kutumia kiSwahili ktk masuala ya kimataifa na ya kitaaluma.

Ona sasa hata kuongoza jumuiya ya kikanda imemshinda Rais John Pombe Joseph Magufuli.

Maneno mazito na ya wazi ya Rais wa South Africa kupingana kwa hoja nzuri kabisa kuwa SADC haiwezi kusubiri changamoto za 'logistics' za mwenyekiti wa SADC / Rais John Pombe Joseph Magufuli ni pigo kubwa sana kisiasa na kidiplomasia kwa Tanzania na ni aibu nzito kwetu kama nchi.
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Nimesikia kwenye periscope ya rais wa afrika kusini.

Hakuna uongo hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…