Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Video clip imebandikwa kuonesha ushahidi tosha wa habari hii muhimu kwa kuzingatia masharti na vigezo vyote vya JamiiForums ili kuondoa utata.

Na video clip hiyo inaonesha na kusikika bayana aliyosema Rais Ramaphosa kuhusu aliyoaambiwa juu ya 'logistics' alipowasiliana na Rais Mafuguli ambaye ni mwenyekiti wa sasa wa SADC.
 
NAwashauri wasiyachukue hayo mapemdekezo.
Yatakuwa ni taka taka
 
Ramaphosa kaitisha kikao cha nchi zinazoizunguka na ndizo zenye waathirika wengi wa COVID 19 SA. Kuwa Mwenyekiti lazima uwe na msimamo. Vikao vya SADC huandaliwa na Secretariat na siyo Nchi. Tanzania ni Baba lao na wote hao tumewapa Uhuru kupitia kambi za Mazimbu, Dakawa n.k.
Hata sisi wengine hapa tunatamani iwe habari ya uongo, maana kama ni ya kweli sijui utajisikiaje kwa hii comment uliyoweka hapa. Kuna mipaka ya kushabikia upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu hata ambao akili tulizeweka bond lazima tu tukazichukue,

Mtu wetu kaamua kutia kwapani mpira na kutokomea kusikojulikana. Bahati mbaya mechi lazima iendelee hata kama timu yetu haina kocha na hata wachezaji tubaki saba.

Mungu tujalie ujasiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye diplomasia ya kimataifa tumefeli sana. Tunazidi kujitenga na mataifa mengine.
 
Kha hata we Geza Ulole leo unaandika hivi, wale wakenya unaokuwaga nao kule kwenye Kenyan forum leo wamepata cha kusema, maana watasema waTzee ni wazembe ni watu wa kutoa udhuru, watasema si umeona hata Raisi wao anakimbia vikao na maraisi wenzake, then watasema waTzee hawafai pewa position kubwa kubwa za kimataifa au ambazo zinacross boda maana hawajimudu kuanzia Rais wao yaani aibuuuuu
leo mzee mzima kachemsha yaani kama Mwenyekiti wa SADC hana excuse ya kukosa mkutano na head of states! Ndo maana nilisema atoke Chato akae Dodoma capital city! Kwenye crisis management nampa 0/10! Sasa mbona Mkapa (Guardian wake) asimshauri, kama Kabudi kashindwa? Amemea pembe sio?
 
Back
Top Bottom