Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Bia yetu
Magonjwa Mtambuka
johnthebaptist
Mna kazi nzito sana ya kutetea, kwa moyo mkunjufu natamani muongezewa jspo posho ifikie 50k/per day
Kazi yenu ni ngumu, najua kuna wakati mioyo inasita kutetea lakini mtafanyaje kazi ni kazi.
Poleni sana. Binafsi simchukii rais wangu lakini kuna vitu vingi vimepungua lazima tuuseme ukweli.
Hii ni aibu ya taifa, tumekuwa kituko kwa mataifa...huku nyumbani ndio mambo vululuvululu...mastelingi ni akina Makonda.
Mungu atusaidie sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Africa (SADC), Rais John Pombe Joseph Magufuli, aligoma kuitisha kikao cha Wakuu wenzake wa Jumuiya hiyo kilichofanyika mapema leo kwa njia ya Conference Call, licha ya kushauriwa kufanya hivyo na Rais Cyrille Ramaphosa wa South Africa. Kufuatia Uamuzi huo wa Rais Magufuli, Rais Ramaphosa aliamua kuitisha kikao hicho licha ya kutokuwa na cheo chochote katika Jumuiya hiyo. Rais Magufuli hakushiriki maana yeye alitaka Wakuu wenzake wamtumie maoni yao kwa maandishi.

CCM mna mzigo mkubwa mno mmeubeba japo mmejikaza kisabuni, Poleni sana.
Cyril Ramaphosa @CyrilRamaphosa

It is very disappointing and disheartening.
 
Sidhani kama hii habari ni kweli.Jiwe anaweza kuwa ana mapungufu yake,lkn si busara kumshutumu katika mambo ambayo si ya kweli.

Ukitembelea mtandao wa Ikulu ya Afrika Kusini,utaona ni mkutano wa nchi zinazopakana na Afrika Kusini na sio nchi za Africa nzima wanachama wa AU

Mkuu sikiliza tazama / video clip Rais Ramaphosa amezungumza wazi Rais Magufuli alimjibu nini, pitia tena video clip imebandikwa kuondoa utata.
 
Sidhani kama hii habari ni kweli.Jiwe anaweza kuwa ana mapungufu yake,lkn si busara kumshutumu katika mambo ambayo si ya kweli.

Ukitembelea mtandao wa Ikulu ya Afrika Kusini,utaona ni mkutano wa nchi zinazopakana na Afrika Kusini na sio nchi za Africa nzima wanachama wa AU
Ni nchi za SADC mkuu, na aliyetoa taarifa hiyo ya jamaa kugoma ni rais wa SA.
 
Bi nchi za SADC mkuu, na aliyetoa taarifa hiyo ya jamaa kugoma ni rais wa SA.
President @CyrilRamaphosa has convened and will today chair a virtual consultative meeting with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa to discuss responses to the #coronavirus (COVID-19) pandemic. President Ramaphosa convenes a virtual meeting with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa to discuss responses to COVID-19 | The Presidency
 
President @CyrilRamaphosa has convened and will today chair a virtual consultative meeting with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa to discuss responses to the #coronavirus (COVID-19) pandemic. President Ramaphosa convenes a virtual meeting with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa to discuss responses to COVID-19 | The Presidency
Nini hakieleweki Mkuu? .... baada ya Mwenyekiti wa SADC kuombwa na kugoma kuitisha kikao cha nchi wanachama Ramaphosa angefanyaje? Aliamua kuitisha cha nchi anazopakana nazo. But the best would be SADC summit to discuss the pandemic! Consigliere
 
Nini hakieleweki Mkuu? .... baada ya Mwenyekiti wa SADC kuombwa na kugoma kuitisha kikao cha nchi wanachama Ramaphosa angefanyaje? Aliamua kuitisha cha nchi anazopakana nazo. But the best would be SADC summit to discuss the pandemic!
Nimeelewa baada ya kusikia video.Asante sana..mimi nilipotoka kudhani Rais wetu anasingiziwa
 
Mwaka huu hata ambao akili tulizeweka bond lazima tu tukazichukue,

Mtu wetu kaamua kutia kwapani mpira na kutokomea kusikojulikana. Bahati mbaya mechi lazima iendelee hata kama timu yetu haina kocha na hata wachezaji tubaki saba.

Mungu tujalie ujasiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe wanashindwa wafanyeje tu! Zamani wazee walikuwa wanasema Baba yako hata kama ni mchawi na wewe unajua kabisa anavyofanya uchawi wake utatumia nguvu zote kumtetea hadharani wakati unasutwa na nafsi na ipo siku utaropoka tu huyu Baba naye kila siku tunamwambia aache uchawi hasikiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imekaa vibaya! Sasa alivyo anaogopwa sidhani kama NEC CCM inaweza kumshauri!
Kha hata we Geza Ulole leo unaandika hivi, wale wakenya unaokuwaga nao kule kwenye Kenyan forum leo wamepata cha kusema, maana watasema waTzee ni wazembe ni watu wa kutoa udhuru, watasema si umeona hata Raisi wao anakimbia vikao na maraisi wenzake, then watasema waTzee hawafai pewa position kubwa kubwa za kimataifa au ambazo zinacross boda maana hawajimudu kuanzia Rais wao yaani aibuuuuu
 
Nimeona hii, jamaa yetu anawaangusha sana wenzie, bora tu aachie huo uenyekiti wa SADC.

Jamaa yetu anataka wawasiliane kwa maandishi.

Ramaphosa hajaridhika na uamuzi wake kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikia mwaka wa kuumbuka ndo huu! Watu wanawaza kuachana na paper work yeye hata kwenye majanga kama haya bado anataka makaratasi!! Bora hata angependekeza wachat kwa watsap basi kama video conference angeshindwa kuongea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom