Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Nimeelewa baada ya kusikia video.Asante sana..mimi nilipotoka kudhani Rais wetu anasingiziwa
Dah!..kumbe ni kweli?

Ila siasa yetu ya mambo ya nje haipewi kipaumbele kabisa kwenye hii awamu, ni kama vile hatujali chochote hapo tumefeli sana kusema kweli.
 
Sidhani kama hii habari ni kweli.Jiwe anaweza kuwa ana mapungufu yake,lkn si busara kumshutumu katika mambo ambayo si ya kweli.

Ukitembelea mtandao wa Ikulu ya Afrika Kusini,utaona ni mkutano wa nchi zinazopakana na Afrika Kusini na sio nchi za Africa nzima wanachama wa AU
Sikiliza au angalia hizo video
Magufuli ametajwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Africa (SADC), Rais John Pombe Joseph Magufuli, aligoma kuitisha kikao cha Wakuu wenzake wa Jumuiya hiyo kilichofanyika mapema leo kwa njia ya Conference Call, licha ya kushauriwa kufanya hivyo na Rais Cyrille Ramaphosa wa South Africa. Kufuatia Uamuzi huo wa Rais Magufuli, Rais Ramaphosa aliamua kuitisha kikao hicho licha ya kutokuwa na cheo chochote katika Jumuiya hiyo. Rais Magufuli hakushiriki maana yeye alitaka Wakuu wenzake wamtumie maoni yao kwa maandishi.

CCM mna mzigo mkubwa mno mmeubeba japo mmejikaza kisabuni, Poleni sana.
Cyril Ramaphosa @CyrilRamaphosa

Jamani pia tujivunie kwa kuwa na presida alopinda, analalamika akina mbowe kukwepa vikao kumbe yeye ndo nambali wahed kwa ukwepaji, na pension hasipewe
 
Hivi tele conference ina tatizo gani. Natumaini kila mmoja yuko kwake na yuko salama kwa corona.
 
Siku zote ukiona mtu mwepesi kutoa tusi fulani haraka ujuwe naye alitukanwa sana huko nyuma Sasa unamuita mtoto wa mwenzio Kilaza au eng mbele ya kadamnasi kuwa kilaza sasa Mungu anawajibia mbele ya Dunia katika wakati Eeee Mungu msaidie mja wako kuipunguza aibu hiii
 
Hivi tele conference ina tatizo gani. Natumaini kila mmoja yuko kwake na yuko salama kwa corona.
... teleconference inatisha asikwambie mtu! Kama haujajipanga inakutia aibu vibaya sana.
 
Hahahahaha hapo kwa logistics ndo pamenimaliza! 2015 baadhi yetu tuliona mbali ila kwakua sauti yetu ilikua ndogo tulipuuzwa!
Sidhani kama hii habari ni kweli.Jiwe anaweza kuwa ana mapungufu yake,lkn si busara kumshutumu katika mambo ambayo si ya kweli.

Ukitembelea mtandao wa Ikulu ya Afrika Kusini,utaona ni mkutano wa nchi zinazopakana na Afrika Kusini na sio nchi za Africa nzima wanachama wa AU
President @CyrilRamaphosa has convened and will today chair a virtual consultative meeting with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa to discuss responses to the #coronavirus (COVID-19) pandemic. President Ramaphosa convenes a virtual meeting with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa to discuss responses to COVID-19 | The Presidency

------------------------------------------------
Nimerudi tena kusikiliza video,nimejiridhisha ni kweli kuwa Rais wetu hakutaka kushiriki sbb ya changamoto za "logistics"....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo mzee mzima kachemsha yaani kama Mwenyekiti wa SADC hana excuse ya kukosa mkutan na head of states! Ndo maana nilisema atoe Chato akae Dodoma kama capital city! Kwenye crisis management nampa 0/10! Sasa mbona Mkapa (Guardian wake) asimshauri? Kama Kabudi kashindwa?
Unadhani hawamshauri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom