Hii imekaa vibaya! Sasa alivyo anaogopwa sidhani kama NEC CCM inaweza kumshauri!
..hata mkutano wa wakuu wa EAC umeshindikana kwasababu Magufuli, Nkurunziza, na Salva Kiir, wameshindwa ku-connect na wenzao.
..tumefika mahali Tz iko fungu moja na Burundi, na South Sudan. Jambo hili haliko sawa.
..mimi nadhani tatizo ni msimamo na mtizamo wake kuhusu covid19 na hatua zinazopaswa kuchukuliwa. Siamini kama lugha ndio tatizo.
..Pia angeweza kuwakilishwa na VP, PM, au Waziri wa mambo ya nchi. Kwanini hilo halikufanyika?
Cc barafu, Nyani Ngabu, Nguruvi3