Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, Ramaphosa ametoa maelezo kama haya. Ni kwamba Ramaphosa aliwasiliana na mwenyekiti wa SADC, Magufuli, juu ya umuhimu wa kuitisha kikao cha nchi wanachama kujadili Coronavirus. Sasa jibu alilopewa Cyril ni kuwa meeting haitawezekana, logistics and blah blah na kuwa viongozi wapeleke mapendekezo yao in writing and all that 😂😂😂 Jinsi Ramaphosa alivyoisema hiyo ALL THAT sasa...Nini hakieleweki Mkuu? .... baada ya Mwenyekiti wa SADC kuombwa na kugoma kuitisha kikao cha nchi wanachama Ramaphosa angefanyaje? Aliamua kuitisha cha nchi anazopakana nazo. But the best would be SADC summit to discuss the pandemic! Consigliere
Ufafanuzi makini sanaHuu ni mkutano wa wakuu wa kanda za Afrika uliofanyika kwa video kujadili masuala ya vita dhidi ya Corona. Rais Magufuli ambaye ni mwenyekiti wa SADC alitajwa kutokuhudhuria mkutano huo kwa njia ya mtandao.
Ramaphosa amesema aliwasiliana na Rais Magufuli akamweleza kushindwa kushiriki kutokana na changamoto za kilojistiki na kumuahidi atawasilisha mapendekezo yake kwa njia ya maandishi
Tuko kwny vita ya nini?Ramaphosa amechanganyikiwa tu baada ya lock down kufeli.anatafuta mchawi
Tupo kwenye vita kali sana,asitake.kututoa kwenye reli,kama ameona kumchafua Rais wetu ndio ahueni ya matatizo yake ya kisiasa ni sawa tu
Nafikiri ni kisiwani RubondoHayupo chato, yupo kibondo
... walisema "mbio za sakafuni ..."Nafikiri ni kisiwani Rubondo
Vita ya uchumi +coronaTuko kwny vita ya nini?
Nchi nyingine za SADC haziko kwny vita hivyo kwa kipindi hiki?Vita ya uchumi +corona