screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kimyaaa, utadhani wamepatwa na kiharusi,,, hahaa
Ramaphosa hajaitisha kikao cha SADC,ameitisha kikao cha nchi majirani zake.
Huu ni mkutano muhimu sana kuweka mikakati ya pamoja kikanda.
Mkuu ikiwa Rais wa Angola mipaka ya nchi yake ipo mbali na South Africa kama ilivyo Tanzania, bado unashikilia hoja ya 'majirani'.
Ile live ya juzi network yake ni ya kiwango cha tbc, haivuki mipaka
Angola economy is aligned to SA.
Bavicha mmeishiwa hojaUko kwenye Vita gani Mkuu wakati ugonjwa wenyewe mnauita Kakorona tu? Ajabu mnakimbilia kwenda kuroga kijijini Chato
Mkuu umecheka sana mpka ndege wote wamekimbia kwenye mtiBuahahahahhabahauauauauaua buhahahahahhahahaahahhah
Nimecheka sana.
Hahahahahahahahahahahahaha
Hoja haina mashiko maana pia uchumi wa Tanzania na hata mawasiliano ya barabara kati ya South Africa yapo pamoja. Kuna treni inatoka Cape Town hadi stesheni ya TAZARA Dar es Salaam moja kwa moja bila kuhesabu idadi ya magari na shughuli zingine za kitalii kati ya Tanzania na South Africa.
Kila nchi ina uamuzi wake,tuone hiko kikao cha harusi kama kitatoka na majibu ya maanaRais wako anasema corona ni kaugonjwa kadogo sana watu
Watu waendelee kuchapa kazi
Muulizeni kaogopa nini kufanya mkutano kwa video conference from chattle self isolation!
Sijawahi sikiaHao wakina Xi,Markel,Putin Tangu wakiwa elementary schools mpk University
ulishasikia wamefundishwa hata somo 1 kwa kiingereza?
Sorry mate, you've missed my point. Angola wafanyibiashara wakubwa na kampuni nyingi zina uhusiano mkubwa sana wa kibenki na SA kuliko nchi yoyote kwenye region. Hawachekani sana na Botswana kwa kuwategemea SA. Hata Swaziland pamoja na Lesotho.
Bado hoja yako haijajibu suala la mwenyekiti wa SADC kupinduliwa na maRais wenzie ktk suala hili la coronavirus.
Ulimsikiliza Ramaphosa kabla ya kikao? Hakuna mapinduzi kwenye uenyekiti wa SADC, huo unapewa bure tu. Unless you want to build a mountain out of a molehill.
Sanaaaa. Umejuaje. Tena niko kwenye kijimsitu wanakokaa vindege ndege ivi, yaaani hadi raha. Nimefurahi sana. Tena mnooooooo. Ahahahahahahahahahahah ahahahahahahhaahhahahaMkuu umecheka sana mpka ndege wote wamekimbia kwenye mti