Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Tatizo nyinyi bado watoto! Ramaphosa kaitisha kikao cha nchi zinazoizunguka na ndizo zenye waathirika wengi wa COVID 19 SA.

Kuwa Mwenyekiti lazima uwe na msimamo. Vikao vya SADC huandaliwa na Secretariat na siyo Nchi. Tanzania ni Baba lao na wote hao tumewapa Uhuru kupitia kambi za Mazimbu, Dakawa n.k.

Acheni kushabikia mambo ya kitoto. Itisha wewe basi kikao na mkeo.
Hatukuwapa uhuru.. ila tuliwapa msaada kwenye kutafuta uhuru.
Pili tunaongelea wkt uliopo. Tanzania babalao.kwa lipi?
Lazima tuongelee reality which is now.

Is not about the past

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"
JokaKuu, post: 35..hata mkutano wa wakuu wa EAC umeshindikana kwasababu Magufuli, Nkurunziza, na Salva Kiir, wameshindwa ku-connect na wenzao.
Hapa kuna tatizo. Kuna kitu kinaitwa kukubaliana kutokubaliana na ni kawaida. Hata hivyo, kukaa meza moja ni muhimu bila kujali mnakubaliana nini.
Ndivyo akina Nyerere, Kaunda, Khama, n.k. walivyoweza kutatua matatizo ya ukanda huu wakati huo.
..tumefika mahali Tz iko fungu moja na Burundi, na South Sudan. Jambo hili haliko sawa.
Tulisema mapema katika siasa za kimataifa tumetoweka kabisa na kupoteza influence yote tuliyokuwa nayo.
..mimi nadhani tatizo ni msimamo na mtizamo wake kuhusu covid19 na hatua zinazopaswa kuchukuliwa. Siamini kama lugha ndio tatizo.
Na sidhani kama lugha inaweza kuwa kikwazo kwani si viongozi wote duniani wanaongea lugha moja. Ninachokiona ni vision, kwamba, nini mtazamo na hoja inajengwaje au kubomolewa vipi.

..Pia angeweza kuwakilishwa na VP, PM, au Waziri wa mambo ya nchi. Kwanini hilo halikufanyika?
Hili lilifanyika mwanzoni mwa utawala na ilipofika wakati wa Tanzania kuwa mwenyeji wa SADCC ilikuwa kasheshe. Kila kiongozi alitaka kutuma mwakilishi ,tukaona zile ''ziara ''.

Kutuma mwakilishi katika Capacity ya Ukuu wa nchi ni ''dereliction of duties'

Nyerere alizungukwa na Manguli kama Salim Ahmed Salim, Hashim Mbita, J.Samwel Malecela, Ibrahimu Kaduma, Cleopa Msuya , Sokoine n.k. Pamoja na hayo ilipolazimu kiongozi wa nchi, alikwenda mwenyewe

Katika zama hizi kutuma uwakilishi si tu ni kutelekeza majukumu lakini pia tujiulize kuhusu wanaotumwa!
 
... teleconference inatisha asikwambie mtu! Kama haujajipanga inakutia aibu vibaya sana.
Mkuu Dudus heshima tele kwako! teleconference kati ya Magu na waafrica wenzake wala isingeleta shida sana maana washamjua udhaifu wake upo wapi wanajua sana kuwa anafeli sana kwenye uongozi wake so am sure yeye wala asingekataa kuhudhuria kikao angeenda nao tu hivyo hivyo kibishi kibishi, sasa kama anakimbia hiki kikao cha wamatumbi wenzake hivi anaweza akahudhuria vile vyenye watu kutoka mataifa mengine, waarabu, wajapani, wahindi, walatin amerika, usa, ulaya? unajua hii inaharibia sana hata watanzania kupata kazi kwenye international organisation/multinational companies maana watasema kama rais wao yupo hivi na ni PHD holder je hao wananchi wengine wakoje? na then hii inaharibia hata soko la Elimu yetu huko nje maana mtu kasoma degree zake zoooote UDSM, na hiki ndiyo chuo namba 1 kwa ubora kwa Tanzania sasa ndiyo kinatoa graduate pumba namna hii? yaani MAGU anaibrandi Tanzania na watanzania vibaya mnoo sema sikio la kufa halisikii dawa, but ccm ulikuwa ni muda wa kumweka pembeni, wachague mgombe mwingine, dola impe ushindi na wao wawe wamejipungua hii aibu maana kwa miaka mitano au zaidi ijayo ni mwendelezo wa aibu juu ya aibu na uharibifu kwenye uchumi wa Tanzania
 
Ghafla nimemkumbuka Ben saanane, kokote ulipo brother Ben mungu akubariki sana. ulifanya kazi ya kitume

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu bro.....hii ni serikali ya kishetani kun awatu eti hawahojiwi hata manunuzi makubwa wanafanya kwa siri tena bila kufuata sheria......................
 
Kwani hapo burigi kuna speedy internet connection kuweza ku-facilitate hiyo video conferencing, mkiambiwa logistics hazijakamilika muwe mnaelewa basi..
Nyumisi si tuliambiwa TTCL kulishanoga si wana nduki internet bundle wale sasa walishindwaje kumkonnect rais? halafu nimeona wanatumia microsoft teams hii hainaga shida saana ya internet na ina usikivu mzuri tu, tena angeweka hata audio tu if ingekuwa hana strong internet
 
Tatizo nyinyi bado watoto! Ramaphosa kaitisha kikao cha nchi zinazoizunguka na ndizo zenye waathirika wengi wa COVID 19 SA.

Kuwa Mwenyekiti lazima uwe na msimamo. Vikao vya SADC huandaliwa na Secretariat na siyo Nchi. Tanzania ni Baba lao na wote hao tumewapa Uhuru kupitia kambi za Mazimbu, Dakawa n.k.

Acheni kushabikia mambo ya kitoto. Itisha wewe basi kikao na mkeo.

Mkuu mbona umepaniki mkuu, watu unaosema umewapatia uhuru kwa sasa wako mbele katika nyanja zote. Wewe umebaki “tumewapa uhuru”. Hivi kwanini mnapenda kushughulika na past wakati present inakukaba na future ndio kabisa ni majaliwa ya Mungu??
 
Nyumisi si tuliambiwa TTCL kulishanoga si wana nduki internet bundle wale sasa walishindwaje kumkonnect rais? halafu nimeona wanatumia microsoft teams hii hainaga shida saana ya internet na ina usikivu mzuri tu, tena angeweka hata audio tu if ingekuwa hana strong internet

Tatizo la kilojistiki sijui limetumika tu, shida ni ile lugha nyingine “unkonklusivu”. Wakalimani wanakuwa hawana nafasi sana!
 
Ramaphosa kaitisha kikao cha nchi zinazoizunguka na ndizo zenye waathirika wengi wa COVID 19 SA.

Kuwa Mwenyekiti lazima uwe na msimamo. Vikao vya SADC huandaliwa na Secretariat na siyo Nchi.

Tanzania ni Baba lao na wote hao tumewapa Uhuru kupitia kambi za Mazimbu, Dakawa n.k.

Kama ndivyo ni kwa nini katika Taarifa yake amtaje Mh Rais wa Tanzania !?

Hauoni anahusika hapo !?
 
Mwenyekiti wa AU na Rais wa Afrika Kusini ndugu Cyrill Ramaphosa amelazimika kuitisha mkutano wa mataifa jirani ambayo pia ni wanachama wa jumuiya ya SADC.

Mkutano huo umefanyika kwa njia ya video. Nchi zilizoshiriki ni Afrika Kusini, Angola, Lesotho, Eswatini Msumbiji, Namibia na Zimbabwe.



View attachment 1443627
View attachment 1443648

Mkuu G Sam leo nafikiri huna hamu, huu uzi Jamaa wameuhariri zaidi ya mara 10, ile Where We Dare Talk Openly mdogo mdogo inazikwa
 
Back
Top Bottom