Count downSeason 10 Episode 1
Hayaee mambo ukiyaanzishia mada ndo kuyakuza kwenyewe ndo maana huku kijijini bado tunajua raisi ni Nyerere
Si kila mtu anaamini katika mila, desturi na dini yako.Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga.
Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya jamii? Wapo wanaoamini kuwa hali hii imeendelea kuvumiliwa kupita kiasi na kwamba jamii inapaswa kuwa na msimamo thabiti katika kulinda maadili yake.
Familia na koo zinazojua kuwa kuna mtu mwenye mwelekeo huo ndani ya familia zao zinapaswa kutafakari kwa kina kuhusu maadili wanayoyasimamia. Baadhi ya watu wanaamini kuwa hakuna sababu ya kuunga mkono au kuhalalisha tabia ambazo zinaonekana kwenda kinyume na mila, desturi na mafundisho ya dini.
Samaki mmoja akioza, beseni zima huathirika. Kwa mtazamo huo, jamii inapaswa kukemea vitendo vinavyoonekana kuvunja maadili badala ya kuvifumbia macho.
Jifunzeni Kutoka Nchi Zenye Msimamo Thabiti
Acheni kutetea mambo ambayo kwa mtazamo wa wengi yanapingana na misingi ya maadili ya jamii. Nchi mbalimbali duniani zimeweka sheria na mifumo inayolenga kulinda maadili wanayoamini.
Kisa cha Sodoma na Gomora
Kwa mujibu wa simulizi za kidini, Sodoma na Gomora hutajwa kama mfano wa jamii iliyoadhibiwa kutokana na kuacha misingi ya maadili. Wanaoshikilia mtazamo huu huamini kuwa simulizi hilo linapaswa kuwa fundisho kwa jamii kuhusu umuhimu wa kusimamia maadili na misingi ya dini.
Nyie familia mnaoendelea kuunga mkono hali hizi ndani ya nyumba zenu, mnapaswa kutafakari kwa kina kuhusu nafasi yenu katika malezi na maadili ya jamii. Jamii inapaswa kuwa na msimamo wa kukemea na kutokubaliana na vitendo inavyoamini vinakwenda kinyume na misingi yake
KomeshaUshogaTanzania
OndoaLaanaMitaani
LindaKizaziChako
TokomezaUchafu
FamiliaBilaLaana
AmriKwaKooZote
SodomaNaGomora
KataaUshogaMtaani.
NIMEFINISH
baba mtakatifu nimeishia kichwa cha habari tu ni ukakasi balaa...........
Unadhani tukifuta hiyo mentality kichwani na kuweka Mbususu mbele hayo mambo yatakuwepo?baba mtakatifu nimeishia kichwa cha habari tu ni ukakasi balaa
Hii series anatafsiri dj nani?Season 10 Episode 1
Hakika umepata mumebaba mtakatifu nimeishia kichwa cha habari tu ni ukakasi balaa
ππππSi kila mtu anaamini katika mila, desturi na dini yako.
Jifunze kuishi kwa kuelewa kuwa kuna watu tofauti na wewe, na wao wana haki kuishi wanavyotaka wao.
Fikiria kwamba upo katika dunia ambayo mashoga ni wengi halafu wasio mashoga ni wachache.
Halafu wale mashoga wengi wanawaandama, wanawaua, wanawalazimisha muwe mashoga.
Ungejisikiaje?
dj facebookHii series anatafsiri dj nani?
oh hallelujah!Hakika umepata mume
Hali ni mbaya hasa mikoa ya pwani na visiwani.Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga.