HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wao wakifanya ushoga wewe ndiyo kwanza unaona wanakuachia mishangazi.

Mishangazi itakuua wewee 😂😂
🤣🤣 unapoenda kwenye taasisi za juu za serikali zile unakutana mishangazi classic sana unasema ngoja nitafute pesa mishagazi imekula gold sio mchezo kwenye hizi za serikali kuna mishangazi hatari
 
Si kila mtu anaamini katika mila, desturi na dini yako.

Jifunze kuishi kwa kuelewa kuwa kuna watu tofauti na wewe, na wao wana haki kuishi wanavyotaka wao.

Fikiria kwamba upo katika dunia ambayo mashoga ni wengi halafu wasio mashoga ni wachache.

Halafu wale mashoga wengi wanawaandama, wanawaua, wanawalazimisha muwe mashoga.

Ungejisikiaje?
Kwahiyo bado kwako shida ya ushoga haujaiona hadi muda huu?

Kwamba kesho utakuja kusema hata majambazi na wauwaji wanayohaki ya kuishi katika jamii na kuendeleza shughuli zao bila kubugudhiwa?

Have you lost your marbles mzee?🤔 Yaani haujui the logic and reason behind ushoga and why some people are against it?
 
Hapana, mimi si shoga, na wala sihitaji kuwa shoga kutambua haki za binadamu.

Wewe kufikiri mtu kutetea haki za binadamu za mashoga ni lazima awe shoga, ni ukosefu wa uelewa tu.

Yani umeshindwa kufanya fikra dhahania (abstract thinking).

Umeshindwa kujua kuwa, hata mzungu anayethamini haki za binadamu, asiyependa ubaguzi, anaweza kuchukia ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi bila ya yeye kuwa mweusi.

Katika mawazo yako umeona ili mtu apinge ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, ni lazima awe mweusi.

Hii ni hoja potofu. Inaonesha udogo wa fikra.

Inaonesha huijui dunia tu.
Kumbuka ushoga ni tabia na weusi ni rangi two different aspects kulinganisha.

Anyways, turejee kwenye mada ,kwamba ushoga ni haki ya kibinadamu? Ni haki kwa misingi gani na unahisi ni kwasababu gani kuna watu wananyang'anya hiyo haki?
 
Si kila mtu anaamini katika mila, desturi na dini yako.

Jifunze kuishi kwa kuelewa kuwa kuna watu tofauti na wewe, na wao wana haki kuishi wanavyotaka wao.

Fikiria kwamba upo katika dunia ambayo mashoga ni wengi halafu wasio mashoga ni wachache.

Halafu wale mashoga wengi wanawaandama, wanawaua, wanawalazimisha muwe mashoga.

Ungejisikiaje?
Uko na vijana wa kiume?
 
Kwahiyo bado kwako shida ya ushoga haujaiona hadi muda huu?

Kwamba kesho utakuja kusema hata majambazi na wauwaji wanayohaki ya kuishi katika jamii na kuendeleza shughuli zao bila kubugudhiwa?

Have you lost your marbles mzee?🤔 Yaani haujui the logic and reason behind ushoga and why some people are against it?
Mimi bado sijaiona shida ya ushoga mpaka muda huu. Shida ya majambazi na wauaji nimeiona mara nyingi tu kwangu na kwa watu wengine wanaonizunguka.

Wewe ushoga umekuletea shida gani mpaka sasa hivi??
 
Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga.

Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya jamii? Wapo wanaoamini kuwa hali hii imeendelea kuvumiliwa kupita kiasi na kwamba jamii inapaswa kuwa na msimamo thabiti katika kulinda maadili yake.

Familia na koo zinazojua kuwa kuna mtu mwenye mwelekeo huo ndani ya familia zao zinapaswa kutafakari kwa kina kuhusu maadili wanayoyasimamia. Baadhi ya watu wanaamini kuwa hakuna sababu ya kuunga mkono au kuhalalisha tabia ambazo zinaonekana kwenda kinyume na mila, desturi na mafundisho ya dini.

Samaki mmoja akioza, beseni zima huathirika. Kwa mtazamo huo, jamii inapaswa kukemea vitendo vinavyoonekana kuvunja maadili badala ya kuvifumbia macho.

Jifunzeni Kutoka Nchi Zenye Msimamo Thabiti

Acheni kutetea mambo ambayo kwa mtazamo wa wengi yanapingana na misingi ya maadili ya jamii. Nchi mbalimbali duniani zimeweka sheria na mifumo inayolenga kulinda maadili wanayoamini.

Kisa cha Sodoma na Gomora

Kwa mujibu wa simulizi za kidini, Sodoma na Gomora hutajwa kama mfano wa jamii iliyoadhibiwa kutokana na kuacha misingi ya maadili. Wanaoshikilia mtazamo huu huamini kuwa simulizi hilo linapaswa kuwa fundisho kwa jamii kuhusu umuhimu wa kusimamia maadili na misingi ya dini.

Nyie familia mnaoendelea kuunga mkono hali hizi ndani ya nyumba zenu, mnapaswa kutafakari kwa kina kuhusu nafasi yenu katika malezi na maadili ya jamii. Jamii inapaswa kuwa na msimamo wa kukemea na kutokubaliana na vitendo inavyoamini vinakwenda kinyume na misingi yake

KomeshaUshogaTanzania
OndoaLaanaMitaani
LindaKizaziChako
TokomezaUchafu
FamiliaBilaLaana
AmriKwaKooZote
SodomaNaGomora
KataaUshogaMtaani.

NIMEFINISH
Mama Dr Gwajima naona hao anawaogopa kwasababu sirikali yake inasapoti MANGAPUlila.

Yeye anaangaika tu na wauza NYAPU ila MAGASHO anaona akiwagusa wanaweza kumpigisha Shoti.
 
Familia ndio kila kitu, msingi hujengwa ndani ya familia lakini utakuta familia hizi hizi ndio zinatengeneza mashoga. Wengi wao wameanza tabia hizi kwq kufanyiwa na ndugu zao wa karibu na tatizo linapotokea wanataka limalizwe kindugu.
 
Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga.

Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya jamii? Wapo wanaoamini kuwa hali hii imeendelea kuvumiliwa kupita kiasi na kwamba jamii inapaswa kuwa na msimamo thabiti katika kulinda maadili yake.

Familia na koo zinazojua kuwa kuna mtu mwenye mwelekeo huo ndani ya familia zao zinapaswa kutafakari kwa kina kuhusu maadili wanayoyasimamia. Baadhi ya watu wanaamini kuwa hakuna sababu ya kuunga mkono au kuhalalisha tabia ambazo zinaonekana kwenda kinyume na mila, desturi na mafundisho ya dini.

Samaki mmoja akioza, beseni zima huathirika. Kwa mtazamo huo, jamii inapaswa kukemea vitendo vinavyoonekana kuvunja maadili badala ya kuvifumbia macho.

Jifunzeni Kutoka Nchi Zenye Msimamo Thabiti

Acheni kutetea mambo ambayo kwa mtazamo wa wengi yanapingana na misingi ya maadili ya jamii. Nchi mbalimbali duniani zimeweka sheria na mifumo inayolenga kulinda maadili wanayoamini.

Kisa cha Sodoma na Gomora

Kwa mujibu wa simulizi za kidini, Sodoma na Gomora hutajwa kama mfano wa jamii iliyoadhibiwa kutokana na kuacha misingi ya maadili. Wanaoshikilia mtazamo huu huamini kuwa simulizi hilo linapaswa kuwa fundisho kwa jamii kuhusu umuhimu wa kusimamia maadili na misingi ya dini.

Nyie familia mnaoendelea kuunga mkono hali hizi ndani ya nyumba zenu, mnapaswa kutafakari kwa kina kuhusu nafasi yenu katika malezi na maadili ya jamii. Jamii inapaswa kuwa na msimamo wa kukemea na kutokubaliana na vitendo inavyoamini vinakwenda kinyume na misingi yake

KomeshaUshogaTanzania
OndoaLaanaMitaani
LindaKizaziChako
TokomezaUchafu
FamiliaBilaLaana
AmriKwaKooZote
SodomaNaGomora
KataaUshogaMtaani.

NIMEFINISH

Humu yamo mengi. Moja linajiita Kant Ombe
 
Mimi bado sijaiona shida ya ushoga mpaka muda huu. Shida ya majambazi na wauaji nimeiona mara nyingi tu kwangu na kwa watu wengine wanaonizunguka.

Wewe ushoga umekuletea shida gani mpaka sasa hivi??
HAPO KUNA ISSUE MBILI
MOJA NI DHAMBI NA
NYINGINE NI KOSA LA JINAI
WIZI NA UJAMBAZI NI DHAMBI NA NI MAKOSA YA JINA KWA MUJIBU WA SHERIA ZA NCHI WAKATI USHOGA NI DHAMBI KWA WENYE IMANI
KWA HIYO KAMA SI MTU WA IMANI HUWEZI KUONA TATIZO KWENYE ISSUE YA USHOGA
 
Mkuu huyo ni ***** tayari kitambo tu,ndio maana anatumia nguvu kubwa sana hapa kuutetea ushoga.
Mujahideen huwa unafurahisha sana, sasa kama hata nikiwa shoga kweli hapa JamiiForum ambapo watu ni anyonomus utafanyaje zaidi ya kuishia kupayuka na kutokwa povu tu,
Save that energy na ujikite kupangua na kujenga hoja kwenye mjadala.
 
Back
Top Bottom