HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Unajua wakati mwingne kusambaza kitu watu wakijue kipo.
ni kuibuka na kukijadiri au kukikemea.

Unakuta watu hawakijui ndo watakisikia mara ya kwanza na kujua kumbe kuna ushoga n.k

Nakumbuka mtu anapenda kujaribu anakokatazwa.

Mitandao, makatazo na kukisema kitu sana, ndo hufanya watu wakijue na wengne hukifata.
japo wengne hawatakipenda(mtu atachagua aende wapi kutokana na utimamu wake wa akili).

Kwa sasa serikari na din wananguvu bdo ya kuangamiza upumbav huu.
Selikari wangefanya kuwakamata hili kundi na sio kwenda kukamata wadada poa

Na wanaukoo pia vikao vikae.
Wanafamily wakimgundua mtu dizain hyo wamkalishe chini wamweleze madhara yake.
Asiposikia chapa RISASI porin huko zika au funga mikono na jiwe zito katumbukize baharin kutuondolea upepo mbaya
 
😂😂 jibu swali si umesema ni uhuru wa mtu na maamuzi ya mtu kuamua kuwa shoga?
Sasa mim nataka nijue wewe huu uhuru ukimkuta baba yako kwako, hili jambo utakuchukuliaje?
Kama yeye ameamua kuwa shoga sasa mimi nitaingiliaje maisha yake?!
Cha msingi ni suala tu la kujiongeza kujua anaishi katika jamii gani kama vile ambavyo Mgalatia Mkatoliki anatakiwa ajiongeze kujiepusha kula kitimoto au kumsema vibaya Muhammad Mecca, Uarabuni, Iran na Pakistan.
 
Mujahideen huwa unafurahisha sana, sasa kama hata nikiwa shoga kweli hapa JamiiForum ambapo watu ni anyonomus utafanyaje zaidi ya kuishia kupayuka na kutokwa povu tu,
Save that energy na ujikite kupangua na kujenga hoja kwenye mjadala.
Toka lini mtu kama wewe ukawa na hoja hapa JF? vicomment vyako vyote hua ni vya kijinga jinga tu,

Wewe hakuna aliyekukataza na huo ushoga wako ila lazima tukisimamie hiki kizazi kwa kukipa elimu ili nyie mliojiingiza kwenye huo ushoga msiwaambukize hiyo tabia na ikaonekana ni jambo la kawaida.
 
Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga.

Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya jamii? Wapo wanaoamini kuwa hali hii imeendelea kuvumiliwa kupita kiasi na kwamba jamii inapaswa kuwa na msimamo thabiti katika kulinda maadili yake.

Familia na koo zinazojua kuwa kuna mtu mwenye mwelekeo huo ndani ya familia zao zinapaswa kutafakari kwa kina kuhusu maadili wanayoyasimamia. Baadhi ya watu wanaamini kuwa hakuna sababu ya kuunga mkono au kuhalalisha tabia ambazo zinaonekana kwenda kinyume na mila, desturi na mafundisho ya dini.

Samaki mmoja akioza, beseni zima huathirika. Kwa mtazamo huo, jamii inapaswa kukemea vitendo vinavyoonekana kuvunja maadili badala ya kuvifumbia macho.

Jifunzeni Kutoka Nchi Zenye Msimamo Thabiti

Acheni kutetea mambo ambayo kwa mtazamo wa wengi yanapingana na misingi ya maadili ya jamii. Nchi mbalimbali duniani zimeweka sheria na mifumo inayolenga kulinda maadili wanayoamini.

Kisa cha Sodoma na Gomora

Kwa mujibu wa simulizi za kidini, Sodoma na Gomora hutajwa kama mfano wa jamii iliyoadhibiwa kutokana na kuacha misingi ya maadili. Wanaoshikilia mtazamo huu huamini kuwa simulizi hilo linapaswa kuwa fundisho kwa jamii kuhusu umuhimu wa kusimamia maadili na misingi ya dini.

Nyie familia mnaoendelea kuunga mkono hali hizi ndani ya nyumba zenu, mnapaswa kutafakari kwa kina kuhusu nafasi yenu katika malezi na maadili ya jamii. Jamii inapaswa kuwa na msimamo wa kukemea na kutokubaliana na vitendo inavyoamini vinakwenda kinyume na misingi yake

KomeshaUshogaTanzania
OndoaLaanaMitaani
LindaKizaziChako
TokomezaUchafu
FamiliaBilaLaana
AmriKwaKooZote
SodomaNaGomora
KataaUshogaMtaani.

NIMEFINISH
1. Mashoga ni dhana tu ya mabeberu lakini Tanzania hawapo.
2. Mashoga , kama wapo, tuwaombee kwa Yesu waache.
 
CCM na mtandao wake ndio tatizo kubwa kuliko Ushoga kwa hapa Tanzania.
Watanzania wengi kama hawa (mtia mada) ni wajinga sana hawaelewi kuwa ushoga ni haki ya watu tu, haki ya sexual orientation, mashoga wanatumia haki yao.

Watanzania wengi kama hawa hawaelewi haki ya mtu binafsi ni nini. Wanaishi kwa groupthink. Nadhani haya ni mabaki ya ujamaa na tatizo la kutojua Kiingerwza kuelewa dunia inavyoenda.

Ukiwa unajua Kiswahiki tu hujui Kiingerwza hata kusoma habari za dunia kujua dunia inabyoenda inakuwa ngumu.

Watu kama hawa hata wakiwa mitandaoni wanashindwa kujifunza dunia inaendaje.

Mtu anakuwa kwenye mtandao, lakini hata gazeti la bure la Kiingereza la mtandaoni atashindwa kusoma, kwa sababu anajua Kiswahili tu hajui Kiingereza.

Ndiyo maana wanashindwa kuelewa kuwa CCM inayowaua na kuwanyima haki yao ya kuishi ni tatizo kuliko mashoga ambao wanatumia haki zao tu za sexual orientation.

Watanzania wengi kama hawa ni washamba, wanahemuka, wanaendeshwa na hisia za kidini na kutaka kulazimisha watu wote waishi kama dini zao zinavyotaka.

Sasa mtu akiamua kuwa shoga wewe usiyetaka kuwa shoga inakuuma nini?

Ukiondoa hoja za kidini na ubaguzi wa kijinga hakuna hoja ya kimantiki ya kuwasakama watu wazima walioamua kuwa mashoga.
 
Back
Top Bottom