HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwahiyo ww shoga kumbe?
Hapana, mimi si shoga, na wala sihitaji kuwa shoga kutambua haki za binadamu.

Wewe kufikiri mtu kutetea haki za binadamu za mashoga ni lazima awe shoga, ni ukosefu wa uelewa tu.

Yani umeshindwa kufanya fikra dhahania (abstract thinking).

Umeshindwa kujua kuwa, hata mzungu anayethamini haki za binadamu, asiyependa ubaguzi, anaweza kuchukia ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi bila ya yeye kuwa mweusi.

Katika mawazo yako umeona ili mtu apinge ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, ni lazima awe mweusi.

Hii ni hoja potofu. Inaonesha udogo wa fikra.

Inaonesha huijui dunia tu.
 
Yaani munavyoandika kwetu sisi ni vitu vigeni kabisa. Yaani kwa maisha yangu yote sijawahi kutana na shoga live. Yaani sijawahi ona hata mtu mumoja mwenye viashilia hivyo. Mi naona kama ushoga ni vitu vya mtandaoni tu wa kupotezea muda
 
Mimi nimemwambia huku kijijini bado tunajua raisi ni Nyerere anakaza shingo
 
Yaani munavyoandika kwetu sisi ni vitu vigeni kabisa. Yaani kwa maisha yangu yote sijawahi kutana na shoga live. Yaani sijawahi ona hata mtu mumoja mwenye viashilia hivyo. Mi naona kama ushoga ni vitu vya mtandaoni tu wa kupotezea muda
Duuh wew unazngua
 
Mimi nilipunguza kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu mtu kama kaamua kua shoga mwache tu na maisha yake kaamua kula unga mwache tu abugie unga maana aya yote hayana mwisho mzuri
Ni ujinga tu mkuu.

Chunguza sana nchi zenye kuwaandama sana mashoga ni nchi zenye watu wenye elimu ndogo na ufuatiliaji wa dini sana.

Watu wote waliosoma vizuri na kuanza kuondokana na ujinga wa kupangiana maisha kidini, wameacha kuandama mashoga, wanaendelea na maisha vizuri tu.

Mkuu, sasa hivi kuna nafasi kemkem za kutengeneza pesa kwenye uchumi wa AI, ila watu bado wanatazamana nani shoga.

Namna jamii inavyoamua kutumia muda wake inatuonesha mambo mengi kuhusu hiyo jamii.
 
Mimi vitu ambavyo havina impact moja kwa moja kwenye maisha yangu sina time navyo mpaka mtu anaamua kua shoga anakua hajui kwamba ushoga ni mbaya anakua anajua vizuri mtu kula unga mifano si iko mingi sana sasa kwanini mimi nijipe umuhimu kwenye maisha ya watu
 
Wanaowafuatilia mashoga sana inawezekana wana matatizo ya kisaikolojia.

Kwa nini uwafuatilie watu usiowapenda?
 
walindwe watoto wa kiume, mtu uko 18+ unaliwa umejitakia mwenyewe hakuna pepo wala homoni
Kwenye watoto walindwe watoto wots, wa kike na kiume, kwenye ushoga na mambo yote ya sex. Hata bila ushoga.

Baada ya kufikia age of majority, miaka 18, watu wana maamuzi yao na wana uhuru kufanya wanavyotaka, na wanayetaka.
 
wanajipa umuhimu kwenye maisha ya watu kama wameshidwa wazazi wao wewe ni nani It’s not my business kufuatiliaga vitu ambavyo mtu anatakiwa kuvijua tabia za mtu binafsi ambazo yeye mwenyewe anatakiwa kujua kwamba hiki ni kibaya mfano umezaliwa mwanaume pisi hii mishangazi ilivyo mizuri juzi nilienda taasisi moja serikali makao makuu jengo moja dodoma nilikutana na shangazi moja grory some body mshua wake kaskazini Kama mushi popote ulipo Wewe mshangazi mzuri 🙌🙌🙌 nitafute pesa nipeni diri aisee
Wanaowafuatilia mashoga sana inawezekana wana matatizo ya kisaikolojia.

Kwa nini uwafuatilie watu usiowapenda?
 
wanajipa umuhimu kwenye maisha ya watu kama wameshidwa wazazi wao wewe ni nani It’s not my business kufuatiliaga vitu ambavyo mtu anatakiwa kuvijua tabia za mtu binafsi ambazo yeye mwenyewe anatakiwa kujua kwamba hiki ni kibaya mfano umezaliwa mwanaume pisi hii mishangazi ilivyo mizuri juzi nilienda taasisi moja serikali makao makuu jengo moja dodoma nilikutana na shangazi moja grory some body mshua wake kaskazini Kama mushi popote ulipo Wewe mshangazi mzuri 🙌🙌🙌 nitafute pesa nipeni diri aisee

Wao wakifanya ushoga wewe ndiyo kwanza unaona wanakuachia mishangazi.

Mishangazi itakuua wewee 😂😂
 
Back
Top Bottom