HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Lakini hujajibu hoja.

Kwa sasa ipo hivyo kwa mashoga. Haipo hivyo kwako tu.

Ukisema kwa sasa haipo hivyo unaonesha ubinafsi wako, unawaona mashoga hawana haki wewe tu ndiye una haki.

Na hili ni tatizo kubwa sana Tanzania.

Watu wanasema wanataka nchi yenye haki, lakini kiukweli hawataki nchi yenye haki.

Wanataka nchi yenye haki pale haki hizo zitakapo wafaidisha hao tu.

Ikiwa haki zitamfaidisha mtu mwingine, na oengine wao hawaoni umuhimu wa haki hizo, wanazipotezea tu.

Nyie ni watu wabinafsi sana hamuwezi kumfikiria mtu mwingine.

Na hii ni moja ya sababu umasikini hauwezi kuisha.

Jamii ya watu wasioweza kuwafikiria watu wengine ni jamii itakayoshindwa kumaliza umasikini. Viongozi hawataweza kuwajali wananchi, kwa sababu itawaona hawa ni watu baki tu.

Watu wenye uwezo hawatawajali masikini wenye mawazo mazuri, kwa sababu watawaona hawa ni watu baki wajinga tu. Masikini nao hawatawajaki matajiri na kuwaibiaibia tu. Hiki ndicho kinachotikea Tanzania kwa kiasi kikubwa.

Ndiyo maana mnauawa ovyo na viongozi wenu, kwa utamaduni huu huu wa kutojali haki za wengine.

Na mnaweza kuwalaumu sana viongozi, kwa sababu wao wana nafasi ya kuua watu, lakini hata nyie wananchi mna utamaduni huo huo wa ubaguzi na kuwanyima watu wengine haki zao tu.

Kwa hiyo hapo utaona viongozi wanaoua watu na wananchi wanaobagua wenzao, wote ni Watanzania walewale tu.

Kuna mstari wa moja kwa moja kutoka Watanzania kuwabagua mashoga na viongozi wa Tanzania kuua wananchi October 29 2025.

Yote mawili ni matokeo ya Watanzania kunyima wenzao haki, kuanzia wananchi kuwanyima wananchi wenzao haki za sexual orientation mpaka viongozi kuwanyima wananchi haki ya kuishi.

Wabongo karibu wote mnawindana tu.
Nimekuja kukubaliana na ukweli tu kwamba Tanzania na Africa kwa ujumla hakutakuwa na demokrasia ya maana angalau kwa miaka 25 ijayo kwa sababu ya uhafidhina, dini na elimu duni. Nchi zilizobahatika kuipata demokrasia halisi(South Africa, Botswana, Namibia, na Ghana) ndizo zitaendelea kubaki hivyo kwa muda mrefu sana.
 
Nimekuja kukubaliana na ukweli tu kwamba Tanzania na Africa kwa ujumla hakutakuwa na demokrasia ya maana angalau kwa miaka 25 ijayo kwa sababu ya uhafidhina, dini na elimu duni. Nchi zilizobahatika kuipata demokrasia halisi(South Africa, Botswana, Namibia, na Ghana) ndizo zitaendelea kubaki hivyo kwa muda mrefu sana.
Afdika kote kuna natatizo makubwa hayo ukiyoyasema ya uhafidhina, dini na elimu duni.

Katibya nchi ulizozitaja South Africa inakongoroka watu wajinga wanaendekeza ubaguzi dhidi ya immigrants, wakimaliza watageukiananwenuewe kwa wenyewe raia.

Ghana nako wamepitisha sheria ya kuandama mashoga ni ujinga tu.

Namibia na Botswana wanalindwa na population ndogo tu naona, wakiongezeka tu nako sijui kama wataweza ku maintain.

Ndiyo maana issues za demographics Affica ni mtambuka na muhimu sana.
 
Unajua wakati mwingne kusambaza kitu watu wakijue kipo.
ni kuibuka na kukijadiri au kukikemea.

Unakuta watu hawakijui ndo watakisikia mara ya kwanza na kujua kumbe kuna ushoga n.k

Nakumbuka mtu anapenda kujaribu anakokatazwa.

Mitandao, makatazo na kukisema kitu sana, ndo hufanya watu wakijue na wengne hukifata.
japo wengne hawatakipenda(mtu atachagua aende wapi kutokana na utimamu wake wa akili).

Kwa sasa serikari na din wananguvu bdo ya kuangamiza upumbav huu.
Selikari wangefanya kuwakamata hili kundi na sio kwenda kukamata wadada poa

Na wanaukoo pia vikao vikae.
Wanafamily wakimgundua mtu dizain hyo wamkalishe chini wamweleze madhara yake.
Asiposikia chapa RISASI porin huko zika au funga mikono na jiwe zito katumbukize baharin kutuondolea upepo mbaya
Tuko pamoja
 
Watanzania wengi kama hawa (mtia mada) ni wajinga sana hawaelewi kuwa ushoga ni haki ya watu tu, haki ya sexual orientation, mashoga wanatumia haki yao.

Watanzania wengi kama hawa hawaelewi haki ya mtu binafsi ni nini. Wanaishi kwa groupthink. Nadhani haya ni mabaki ya ujamaa na tatizo la kutojua Kiingerwza kuelewa dunia inavyoenda.

Ukiwa unajua Kiswahiki tu hujui Kiingerwza hata kusoma habari za dunia kujua dunia inabyoenda inakuwa ngumu.

Watu kama hawa hata wakiwa mitandaoni wanashindwa kujifunza dunia inaendaje.

Mtu anakuwa kwenye mtandao, lakini hata gazeti la bure la Kiingereza la mtandaoni atashindwa kusoma, kwa sababu anajua Kiswahili tu hajui Kiingereza.

Ndiyo maana wanashindwa kuelewa kuwa CCM inayowaua na kuwanyima haki yao ya kuishi ni tatizo kuliko mashoga ambao wanatumia haki zao tu za sexual orientation.

Watanzania wengi kama hawa ni washamba, wanahemuka, wanaendeshwa na hisia za kidini na kutaka kulazimisha watu wote waishi kama dini zao zinavyotaka.

Sasa mtu akiamua kuwa shoga wewe usiyetaka kuwa shoga inakuuma nini?

Ukiondoa hoja za kidini na ubaguzi wa kijinga hakuna hoja ya kimantiki ya kuwasakama watu wazima walioamua kuwa mashoga.
Mimi niliacha kuhangaika kupondea mashoga baada ya kuona there's nothing we can change. Kwa hiyo mtu akiwa shoga atajua mwenyewe na maisha yake. Pia sijui kinachowasukuma kuwa mashoga so I don't judge them, niko na maisha yangu binafsi ya kuyapambania
Ila still akili yangu imegoma kabisa kuona ushoga kama jambo la kawaida. Ushoga ni very disgusting to me 🤮
 
Hivi inakuaje mwanaume unamugeuzia tako mwanaumwe mwenzio🤔
Huku makende yana ninginia
Kwa hio wewe mwanamke kupakuliwa kinyesi sio jambo la ajabu? Nimepigia mstari na kalamu yenye wino mwekundu

Ila unajua nini nina muda mrefu sijaonana na watu wa dizaini hio yaan sina bahati kabisa kila ninapopita kokote kukutana na watu wa hio sampling, kitu kinachonifanya nione km yanayozungumzwa ni maneno tu ya mtandaoni ukija huku kwenye ground hakuna kitu km hicho au labda wana maeneo yao ambako nikipelekwa naweza nikawaona kwa wingi kwamba ndio wale pale na hayo maeneo mimi huwezi ukanikuta nimetembelea maana ni maeneo yao sasa hayo mimi sio maeneo yangu niende nifuate nini?

Unaemkuta anawazungumzia ni mtu ambae yeye anatembelea sana hayo maeneo yao na anakutana nao huko anakopenda kutembelea kwa hio anaonana nao mara kwa mara maana yake na yeye ni mshiriki kimoyomoyo anawatamani ila nafsi na imani yake inamsuta

Mtu wa kawaida ukimwambia anakushangaa sababu hajawaona mara kwa mara, kumbe kuna maeneo yao maalum wamejiwekea wenyewe wanakutana huko

Sio rahisi kwa mtu wa kawaida kutofautisha huyu ni shoga na huyu sio shoga hata kwa vipimo ni ngumu sana na mbaya zaidi ukisema uende na vipimo anaweza akapimwa mtu ambae hajawahi kushiriki kabisa hayo mambo ya ushoga na hayajui kabisa na vipimo visivyo na adabu vikasoma ni mshiriki wa hayo mambo na anayafanya au anafanywa kwa hio sio rahisi kumbaini huyu ni shoga na huyu sio shoga kwa kumwangalia usoni ni ngumu

Labda kwa wale ambao wameamua kujiita wana jinsia mbili, hao ndio unaweza kusema huyu ni upande ule maana anaonekana ni mwanaume ila anajiweka km mwanamke yaan huku ndani ni mwanaume na midevu yake kidevuni iliyokomaa km steel-wire na ilibolo fc anayo ya kutosha tu na inafanya kazi vizuri tu ila kimuonekano anajiweka km mwanamke fulani hapo ndio utasema huyu ni hapa chakula sio mboga
 
Mimi bado sijaiona shida ya ushoga mpaka muda huu. Shida ya majambazi na wauaji nimeiona mara nyingi tu kwangu na kwa watu wengine wanaonizunguka.

Wewe ushoga umekuletea shida gani mpaka sasa hivi??
1. Kama una amini kuna MUNGU then no wazi unajua hakuwahi kumuagiza mwanaume akutane kimwili na mwanaume mwenzake,so ukithubutu hata kusapoti ushoga sio tu chukizo kwake bali una hasi mpango wake kwa mwanadamu.

2. Mahusiano lengo kuu ni kujenga jamii kwa maana ya ku-reproduce. Mashoga mahusiano yao yanakinzana na hilo wanapataje watoto.

3. Ushoga ni sehemu ya ulimwengu wa magonjwa ya akili. Si kila mtu anakua na kufundishwa namna ya kuishi kama binadamu wengine,shida huanzia hapo. Imagine kutaka kuchomeka kiungo cha uzazi sehemu ya haja kubwa ili kustarehesha mwili.

4. Ushoga ni mojawapo ya vitendo vinavyopatikana katika ulimwengu wa ngono. Ulimwengu wa ngono ndipo matendo yote ya hovyo ambayo yanakinzana na uhalisia wa nature ya mwanaume na mwanamke.

5. Dhumuni la tendo la ndoa au kufanya mapenzi sio starehe ni ku-reproduce na kupata offsprings. Je mashoga wanapokutana lengo lao kuu huwa ni nini hadi wanaingia katika mahusiano ya kuishi pamoja kama mke na mume lengo huwa ni kupata output gani?

6. Kuchagua na kusapoti ushoga maana yake ni kuchagua kutokomeza uzao. Wanaume wanaofanya ushoga hawana tofauti na wale watumwa aliopelekwa uarabuni na kuhasiwa. Walitokomea wote bila kuacha mbegu.

7. Ushoga ni kitendo kinachoambatana na uchafu wa kimwili na najisi ya kiroho. Hivyo basi tegemea magonjwa hapo kutokana na kukosekana usafi wa akili na mwili. Magonjwa mengi ya zinaa unayoyaona leo chanzo chake ni muingiliano wa njia ya haja kubwa na uke wa mwanamke. Mwanaume anayeshiriki na shoga ni rahisi kushiriki na mwanamke wake au wanawake zake kinyume na maumbile na kuchangia usambazaji na milipuko ya maradhi ya zinaa ambayo hutesa sana wale wasioshiriki ngono kinyume na maumbile.

8. Mashoga wanatendecy au uwezekano mkubwa wa kuwafanyia wanyama matendo ya ukiukwaji wa haki za wanyama au watoto matendo ya udhalilishaji wa kijinsia. Tafiti za huko mataifa ya magharibi ambapo ushoga umehalalishwa zinaweka haya bayana lakini hata hapa inchini kuna matukio mengi ya mashoga kuwalipa vijana wadogo na wavulana kuwaingilia kinyume na maumbile na kuwafunza michezo ya kifirauni matokeo ni hawa vijana au wavulana kwenda kuwafanyia watoto wadogo au mabinti kutoka kaya masikini lakini pia hufanya na wanawake watu wazima wanaoridhia kuingiliwa kinyume na maumbile na hivyo kuchangia magonjwa ya zinaa na matatizo ya kiakili ikiwamo depression.

9. Mashoga huwa huonekana hawana madhara na hawalazimishi ushenzi (freakiness)wao wakiwa wachache. Ila ukitaka kujua madhara ya ushoga subiri waungani na kutengeneza community yao na kuanza kuenforce uwepo wao katika jamii. Tazama mataifa ya ulaya na US ambapo ushoga hadi unawekewa sheria za kuwatetea.

Kuna majimbo wewe unaweza amka asubuhi ukasema unajiona ni mwanamke na unataka utambuliwe hivyo na jamii. Sasa shida ni kuna watu ni wabakaji wa watoto,anajifanya amekuwa mwanamke, anaenda kwenye choo cha watoto wa kike anaanza kuwarubuni watoto wadogo na kuwabaka, kama sio kuwafanyia vitendo vya kidhalilishaji. Mwisho wa siku hadi aje kugundulika ameshaharibu watoto wengi na kuwaachia damage ya kiakili. Yote ni kwasababu jamii ilichagua kuwachukulia poa mashoga,wakawa wengi hadi wakawazidi nguvu na ujitwalia mamlaka kama ambavyo sisi Tanzania tunawaachia CCM hadi wanatuwekea wauwaji serikalini.

Kuhitimisha,hizi nimekupa hasara chache za ushoga ambazo natumai kama una utimamu wa akili utajua hakuna sababu ya ushoga kuwapo sababu nikikwambia unipe hata faida tano za kijamii za uwapo wa mashoga sidhani kama utaweza HILO NINA UHAKIKA NALO KUWA HAUTAWEZA NIWEKEA SABABU 5 ZA MSINGI ZA USHOGA NA KAMA UNA MTU WA KUKUSAIDIA MSHIRIKISHE AKUPE UJE KUZIANDIKA HAPA NITANGOJA.

Ushoga ni tatizo la kiakili,ni tatizo kwenye jamii, na zaidi zaidi ushoga ni hasara kwa taifa na dunia kwa ujumla. Tuupige vita na kuutokomeza.
 
Kwahiyo bado kwako shida ya ushoga haujaiona hadi muda huu?

Kwamba kesho utakuja kusema hata majambazi na wauwaji wanayohaki ya kuishi katika jamii na kuendeleza shughuli zao bila kubugudhiwa?

Have you lost your marbles mzee?🤔 Yaani haujui the logic and reason behind ushoga and why some people are against it?
Sasa mkuu si uelezee wewe madhara ya ushoga? Maswali mengi ya nini? Hebu tuchukulie kwamba unayemuuliza haya maswali hajui madhara ya ushoga. Toa elimu sasa. Binafsi siungi mkono ushoga ila natambua kwamba ushoga is not a public issue. Nawashangaa watu wanaopinga ushoga ila hawaonyeshi ni vipi ushoga ni tatizo la uma.
 
Mimi niliacha kuhangaika kupondea mashoga baada ya kuona there's nothing we can change. Kwa hiyo mtu akiwa shoga atajua mwenyewe na maisha yake. Pia sijui kinachowasukuma kuwa mashoga so I don't judge them, niko na maisha yangu binafsi ya kuyapambania
Ila still akili yangu imegoma kabisa kuona ushoga kama jambo la kawaida. Ushoga ni very disgusting to me 🤮
Mkuu,

Hivyo unavyoona ushoga is disgusting to you, kuna mwanamme anawaona wanawake ni disgusting to him hivyo hivyo, na kuna mwanamke anaona wanaume ni disgusting hivyo hivyo.

Na wote mna haki kuona hivyo, kujioangia hivyo katika maisha yenu. Hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine.

Kwa hiyo ni suala la kuishi kwa kuelewana tu kuwa kila mtu anaamua kufanya uamuzi wake, na as long as hakuathiri wewe, aishi kivyake na wewe kivyako.

Kwani tukiishi kwa kila mtu kupata anachotaka, mashoga wapate mashoga wenzao, na wasiotaka mashoga wapate wenzao tatizo liko wapi?

Tatizo linaanza watu fulani wakitaka kuwabadilisha wengine wawe kama wao.

Huku Marekani kwa mfano, tunawaona mashoga tu mitaani wanaishi maisha yao, lakini hawatusumbui, kwa sababu hawaingii majumbani mwetu, hawatupangii kuwa nao kwa lazima, tunaishi vizuri na wake zetu.

Tatizo linakuja ukitaka kui control dunia wakati kila mtu ana haki ya kuishi anavyotaka.
 
Sio sawa hapa tunaongela ushoga kwa wanaume sio wanawake
Unaelewa kuwa ushoga si mwanamme kutoa tako tu, kuna mashoga asexual?

Unaelewa kuna mashoga hawatoi tako wanapenda kujiremba tu ma crossdressers? Unaelew wapo hata hapo Dar?

Unaelewa kuna nashoga hawatoi tako wanapenda kushika mic tu?

Unaelewa kuwa sexual orientation is not only about sex, kuna mashoga hawafanyi sex kabisa, wako asexual?

Naona Watanzania wengi hawaelewi haya mambo.

Kuna mtu alikuwa anachanganya sexual orientation na gender, anasema kuna gender mbili tu mashoga hawamo katika hizo gender.
 
Unaelewa kuwa ushoga si mwanamme kutoa tako tu, kuna mashoga asexual?

Unaelewa kuna mashoga hawatoi tako wanapenda kujiremba tu?

Unaekewa kuna nashoga hawatoi tako wanapenda kushika mic tu?

Unaelewa kuwa sexual orientation is not only about sex, kuna mashoga hawafanyi sex kabisa, wako asexual?

Naona Watanzania wengi hawaelewi haya mambo.

Kuna mtu alikuwa anachanganya sexual orientation na gender, anasema kuna gender mbili tu mashoga hawamo katika hizo gender.
Heh honestly nilijua ushoga ni mwanaume kuliwa tako
Kumbe sio kuliwa tu🤔
 
Huwezi kuona shida ya ushoga mpaka siku wamfanyie mtoto wako au ndugu yako yeyote awe shoga.
Unamaanisha kubaka/kunajisi? Huo sasa sio ushoga. Ushoga wenyewe halisi ni hali ya kujitakia na unafanyika sirini mara nyingi. Na ushoga pia unahusisha mwanaume kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile kwa hiari kabisaa wakiwa wawili gizani sirini. Sasa huoni kama hili suala ni very private kiasi kwamba ni gumu hata kujua ukubwa wake? Haya, tuseme ni kinyume cha sheria, unawezaje kutokomeza suala la faraga kama hilo hata kwa kutumia sheria?
 
Heh honestly nilijua ushoga ni mwanaume kuliwa tako
Kumbe sio kuliwa tu🤔

Kuna mengi sana ya kuchambua hapa.

Kwanza mashoga si wanaume tu, kuna wanawake ambao ni mashoga.

Kwa maana ya ushoga being gay, lesbians are gay, nao ni mashoga.

Pia, mashoga, kwa maana ya gay, si wanaofanywa tu, hata wanaofanya wenzao nao ni mashoga. Wote ni gay. Sisi tunawaita mabasha.

Naona kuna bias sana ya kuwasema wanaofanywa lakini mabasha wao wanaowafanya hawasemwi.

Na hili linaonesha kuwa chuki dhidi ya mashoga kiukweli ni chuki dhidi ya wanawake. Ni chuki dhidi ya femininity.

Jamii yetu inaona hivi, Wanawake ndio wanaofanywa. Na wanawake ni dhaifu kwa kuwa wanafanywa.

Mashoga ni wanaume wanaofanywa, hawa wamezaliwa wanaume lakini wamechagua kuwa kama wanawake. Wanafanywa. Wameacha position ya juu ya glory ya wanaume, wamechukua position ya chini ya wanawake ya kufanywa. Ndiyo maana wanachukiwa sana. Kwa sababu wao wamechagua makusudi kuukataa uanaume katika jamii inayotukuza uanaume.

Na ukichunguza sana utaona watu wenye tatizo kubwa kabisa na mashoga ni wanaune, si wanawake. Wanawake pengine wanataka kuelewa zaidi na wako more ooen kuwa wcceot mashoga. Tatizo kubwa lipo kwa wanaune kwa sababu ndani kabisa wanaune wanaona mashoga ninkama wamewasakiti wanaune kwa kuuacha uanaume na kujiweka kama wanawake. Bila hata kufanya uchambuzi wa kina sana, jamii inatambua kuwa chuki dhidi ya ushoga kiukweli ni chuki dhidi ya femininity.

Ndiyo maana katika jamii yetu utasikia sana mashoga wanaume, hususan *******, wanaandamwa sana. Mabasha, wanaowafanya, hawaandamwi sana, kwa sababu wao mabasha kwa namna fulani bado wana exhibit masculinity, wanafanya, hawafanywi.

Na hukuti sana lesbians wakaandamwa. Hao wanaonekana ni wanawake wanachezeana tu hakuna mtu aliyekataa uanaume hapo.

Tena wanaume wengi wanapata hata fantasies za kuwa na lesbians. Tatizo pekee ambalo wanaume wengine wanalo na lesbians ni kwamba wale studs/dykes (dyke is no longer appropiate term) wale ma lesbian wanaokuwa kama wanaume katika mahusiano yao, kuna wanaume hawawapendi wale kwa sababu wanaona kuwa wale hawajakubali kuwa wanawake wa kufanywa na wanaume.

The issue is vita hii inataka kuiweka masculinity juu na femininity iwe chini. Mtu mwanamme anayekataa mascukinity anashambuliwa. Mtu mwanamke anayekataa femininity anashambuliwa.

Kati ya changamoto kubwa katika kuongelea mambo haya na Watanzania ni ukweli kwamba Watanzania wengi hawana elimu kwenye haya mambo, hawajui haya mambo, Tanzania watu hawaongei sana kuhusu mambo haya.

Watanzania hawafuatilii haya mambo kwa kuwa wengi wana bias against the issue already, na wengi hawajui Kiingereza.

Na kiukweli mengine haya si Tanzania tu hata huku nje bado hayaeleweki.
 
Kuna mengi sana ya kuchambua hapa.

Kwanza mashoga si wanaume tu, kuna wanawake ambao ni mashoga.

Kwa maana ya ushoga being gay, lesbians are gay, nao ni mashoga.

Pia, mashoga, kwa maana ya gay, si wanaofanywa tu, hata wanaofanya wenzao nao ni mashoga. Wote ni gay.
Ajabu kumbe hata mfanyaji nae ni shoga🙌
Naona kuna bias sana ya kuwasema wanaofanywa lakini mabasha wao wanaowafanya hawasemwi.
Hapa ni kweli wafanyaji wanafunikwa
Kama wangekataa hao wanaume wangefanywa na nani?
Labda dildo
Na hili linaonesha kuwa chuki dhidi ya mashoga kiukweli ni chuki dhidi ya wanawake. Ni chuki dhidi ya femininity.

Jamii yetu inaona hivi, Wanawake ndio wanaofanywa. Na wanawake ni dhaifu kwa kuwa wanafanywa.
🤔🤔
Mashoga ni wanaume wanaofanywa, hawa wamezaliwa wanaume lakini wamechagua kuwa kama wanawake. Wanafanywa. Wameacha position ya juu ya glory ya wanaume, wamechukua position ya chini ya wanawake ya kufanywa. Ndiyo maana wanachukiwa sana. Kwa sababu wao wamechagua makusudi kuukataa uanaume katika jamii inayotukuza uanaume.

Na ukichunguza sana utaona watu wenye tatizo kubwa kabisa na mashoga ni wanaune, si wanawake. Wanawake pengine wanataka kuelewa zaidi na wako more ooen kuwa wcceot mashoga. Tatizo kubwa lipo kwa wanaune kwa sababu ndani kabisa wanaune wanaona mashoga ninkama wamewasakiti wanaune kwa kuuacha uanaume na kujiweka kama wanawake. Bila hata kufanya uchambuzi wa kina sana, jamii inatambua kuwa chuki dhidi ya ushoga kiukweli ni chuki dhidi ya femininity
ushoga ni chuki dhidi ya femininity
Nieleweshe hapa
.

Ndiyo maana katika jamii yetu utasikia sana mashoga wanaume, hususan *******, wanaandamwa sana. Mabasha, wanaowafanya, hawaandamwi sana, kwa sababu wao mabasha kwa namna fulani bado wana exhibit masculinity, wanafanya, hawafanywi.

Na hukuti sana lesbians wakaandamwa. Hao wanaonekana ni wanawake wanachezeana tu hakuna mtu aliyekataa uanaume hapo.

Tena wanaume wengi wanapata hata fantasies za kuwa na lesbians. Tatizo pekee ambalo wanaume wengine wanalo na lesbians ni kwamba wale studs/dykes (dyke is no longer appropiate term) wale ma lesbian wanaokuwa kama wanaume katika mahusiano yao, kuna wanaume hawawapendi wale kwa sababu wanaona kuwa wale hawajakubali kuwa wanawake wa kufanywa na wanaume.

The issue is vita hii inataka kuiweka masculinity juu na femininity iwe chini. Mtu mwanamme anayekataa mascukinity anashambuliwa. Mtu mwanamke anayekataa femininity anashambuliwa.

Kati ya changamoto kubwa katika kuongelea mambo haya na Watanzania ni ukweli kwamba Watanzania wengi hawana elimu kwenye haya mambo, hawajui haya mambo, Tanzania watu hawaongei sana kuhusu mambo haya.

Watanzania hawafuatilii haya mambo kwa kuwa wengi wana bias against the issue already, na wengi hawajui Kiingereza.

Na kiukweli mengine haya si Tanzania tu hata huku nje bado hayaeleweki.
Aiseee nimeshangaa sana
Kuhusu haya mambo nahisi sijui chochote
 
Ajabu kumbe hata mfanyaji nae ni shoga🙌

Hapa ni kweli wafanyaji wanafunikwa
Kama wangekataa hao wanaume wangefanywa na nani?
Labda dildo

🤔🤔

ushoga ni chuki dhidi ya femininity
Nieleweshe hapa

Aiseee nimeshangaa sana
Kuhusu haya mambo nahisi sijui chochote

Umeuliza "ushoga ni chuki dhidi ya femininity Nieleweshe hapa"

Nimemaanisha chuki dhidi ya ushoga ni chuki dhidi ya femininity.

Kuchukia mashoga Tanzania kwa kiasi kikubwa ni kuchukia wanawake, kuchukia uanamke.

Ndiyo maana mashoga (gay people) walio mabasha huwasikii kuandamwa sana.

Ila mashoga ******* hao ndio wanaoandamwa sana.

Mabasha wanaonekana wao bado wanafanya, hawafanywi, kuna udume fulani bado wanao. ******* wanaonekana wao wanafanywa, wameukataa uanaume.

Ndiyo maana ******* wanapigwa vita sana. Sisi tunajua uanaume ndiyo kitu cha fahari kabisa, uanamke ni udhaifu, sasa inakuwaje hawa ******* wanaukataa uanaume wenye fahari, halafu wanautaka uanamke wenye udhaifu?

Watu hawaelewi hili. Wanalichukia.

Tena kuna wanaume hata wasio mashoga/mabasha huwaambia wanaume wenzao kuwa watawafira kama sehemu ya kuwatisha.

Kitendo cha kufanywa kina define nani ni dhaifu katika jamii ya kitanzania. Anayefanya ni mwenye nguvu, anayefanywa ndiye dhaifu.

Ndiyo maana hata katika ndoa kwenye Kiswahili, mwanamme anaoa, mwanamke anaolewa.

Kwenye Kiswahiki hakuna kuoana. Kuoana maana yake wote sawa mnaoana. Kwenye Kiswahiki mwanamme anamuoa mwanamke, kwa sababu mwanamke ni dhaifu. Mwanamme ndiye anachagua. Mwanamme ndiye mwenye nguvu.

Ma lesbian huwasikii kuandamwa sana, wanaoandamwa sana ni ******* wanaoonekana wamezaliwa wanaume wakaukataa uanaume na kuchagua kufanywa kama wanawake.

Umelielewa hili somo?
 
Back
Top Bottom