Nahisi zinafutwa kwasababu kuna comments zimekuwa locked huwezi reply. Naona kuna mtu au watu huu mjadala unamgusa so anapambana kuzuia usiendelee kwa uwazi bali uende kwa namna anavyotaka yeye.Kwanini comment zinapotea kutoka 140 hadi 120
zingine zina ukali sana wa maneno, mod wanafutaKwanini comment zinapotea kutoka 140 hadi 120
Hizo za ovyo unazoandika mimi nazifuta wewe unataka zibakie ili iweje?Kwanini comment zinapotea kutoka 140 hadi 120
Umenisoma kote lakini au umecomment bila kuzingatia kukagua nilichoandika?🤔Sasa mkuu si uelezee wewe madhara ya ushoga? Maswali mengi ya nini? Hebu tuchukulie kwamba unayemuuliza haya maswali hajui madhara ya ushoga. Toa elimu sasa. Binafsi siungi mkono ushoga ila natambua kwamba ushoga is not a public issue. Nawashangaa watu wanaopinga ushoga ila hawaonyeshi ni vipi ushoga ni tatizo la uma.
Kwa hio pale ulipoandika vile ulikua umeteleza mkono au ulimi?Sio sawa hapa tunaongela ushoga kwa wanaume sio wanawake
Nimekuelewa sanUmeuliza "ushoga ni chuki dhidi ya femininity Nieleweshe hapa"
Nimemaanisha chuki dhidi ya ushoga ni chuki dhidi ya femininity.
Kuchukia mashoga Tanzania kwa kiasi kikubwa ni kuchukia wanawake, kuchukia uanamke.
Ndiyo maana mashoga (gay people) walio mabasha huwasikii kuandamwa sana.
Ila mashoga ******* hao ndio wanaoandamwa sana.
Mabasha wanaonekana wao bado wanafanya, hawafanywi, kuna udume fulani bado wanao. ******* wanaonekana wao wanafanywa, wameukataa uanaume.
Ndiyo maana ******* wanapigwa vita sana. Sisi tunajua uanaume ndiyo kitu cha fahari kabisa, uanamke ni udhaifu, sasa inakuwaje hawa ******* wanaukataa uanaume wenye fahari, halafu wanautaka uanamke wenye udhaifu?
Watu hawaelewi hili. Wanalichukia.
Tena kuna wanaume hata wasio mashoga/mabasha huwaambia wanaume wenzao kuwa watawafira kama sehemu ya kuwatisha.
Kitendo cha kufanywa kina define nani ni dhaifu katika jamii ya kitanzania. Anayefanya ni mwenye nguvu, anayefanywa ndiye dhaifu.
Ndiyo maana hata katika ndoa kwenye Kiswahili, mwanamme anaoa, mwanamke anaolewa.
Kwenye Kiswahiki hakuna kuoana. Kuoana maana yake wote sawa mnaoana. Kwenye Kiswahiki mwanamme anamuoa mwanamke, kwa sababu mwanamke ni dhaifu. Mwanamme ndiye anachagua. Mwanamme ndiye mwenye nguvu.
Ma lesbian huwasikii kuandamwa sana, wanaoandamwa sana ni ******* wanaoonekana wamezaliwa wanaume wakaukataa uanaume na kuchagua kufanywa kama wanawake.
Umelielewa hili somo?
Nimekuelewa sana na nimegundua kwanini aiseee KirangaUmeuliza "ushoga ni chuki dhidi ya femininity Nieleweshe hapa"

Punguza mihemuko kijanaKwa hio pale ulipoandika vile ulikua umeteleza mkono au ulimi?
Mboni sijakuattack binti kule juu ulisema mwenyewe kwamba mwanaume kufirwa sio sahihi ila mwanamke kufirwa ni sahihi au hukusema hivyo?Punguza mihemuko kijana
Sijateleza mikono wala nini hapa mada inahusu mashoga wa kiume
Wewe unakuja na makasiliko kana kwamba nimegusa mslahi yako
Mbona wengine wana comment bila ku attack wenzao?
Nimesema wapi neno mwanamke ku ***** ni sahihi ?Mboni sijakuattack binti kule juu ulisema mwenyewe kwamba mwanaume kufirwa sio sahihi ila mwanamke kufirwa ni sahihi au hukusema hivyo?
Huyo mtu nimeshamjua saivi kila napo comment anakuja na matusi kisa tu nimesema mwanaume kushika ukuta ni ajabu aisee kawa mkali sana mbogoNahisi zinafutwa kwasababu kuna comments zimekuwa locked huwezi reply. Naona kuna mtu au watu huu mjadala unamgusa so anapambana kuzuia usiendelee kwa uwazi bali uende kwa namna anavyotaka yeye.
Yaan hadi njee ya hii mada kawa mkali kila anaponiona 😅😅Naona mashoga wanapambana sana aisee
Wewe mwenyewe hapo shoga tu au unakataa wewe sio shoga?Naona mashoga wanapambana sana aisee
Acha kua na fikra hasi binti wa afu 2Yaan hadi njee ya hii mada kawa mkali kila anaponiona 😅😅
Nimekuelewa ila next time jirekebishe kabla ya kureekebishwa halafu usikatae kitu umekiandika mwenyeweNimesema wapi neno mwanamke ku ***** ni sahihi ?
Acha kunilisha maneno na omba tuishia hapa sitati mjadala na wewe 🙏
🤮🤮🤮🤮Nimekuelewa ila next time jirekebishe kabla ya kureekebishwa halafu usikatae kitu umekiandika mwenyewe