HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Si kila mtu anaamini katika mila, desturi na dini yako.

Jifunze kuishi kwa kuelewa kuwa kuna watu tofauti na wewe, na wao wana haki kuishi wanavyotaka wao.

Fikiria kwamba upo katika dunia ambayo mashoga ni wengi halafu wasio mashoga ni wachache.

Halafu wale mashoga wengi wanawaandama, wanawaua, wanawalazimisha muwe mashoga.

Ungejisikiaje?
Maelezooo Meeengii

Halafu Pumba tupu
 
Maelezooo Meeengii

Halafu Pumba tupu
Muda mwingine tuwe tunapunguziana adhabu
Screenshot_20260605_161251.jpg
 
Mi nilijua ukienda majuu unasahau misemo ya huku wallah nimecheka sana 😅
Utacheka zaidi ukinisikia nazungumza na watu walio Tanzania, au waliotoka karibuni Tanzania, mara nyingine natumia msamiati ambao wao hawaujui wananiukiza neno hiki maana yake nini?

Kuna siku nilitumia neno "nngwe hii", kuna dada alicheka akasema hilo neno "nngwe" maana yaje nini? Alikuwa hajui.
 
Very nice Bro sijui babu
Hujashikwa na ulimbukeni
Mie nikifika ulaya nina uhakika nitasahau kiswahili😃
 
Ukweli mtupu
 
Very nice Bro sijui babu
Hujashikwa na ulimbukeni
Mie nikifika ulaya nina uhakika nitasahau kiswahili😃
Ukifika huku utaongea Kiingereza kila sehemu mpaka Kiswahiki utaki miss.

Kabla ya mitandao kuwa bwerere kuna watu walikuwa wanafunga safari kwenda ubalozini kuongea Kiswahili tu 😂
 
Ukifika huku utaongea Kiingereza kila sehemu mpaka Kiswahiki utaki miss.
Hapo kwenye kufika sasa 😅
Kabla ya mitandao kuwa bwerere kuna watu walikuwa wanafunga safari kwenda ubalozini kuongea Kiswahili tu 😂
Hii inashangaza
Na kufurahisha
Kwahiyo akifika anasema kabisa anataka mtu wa kuongea nae kiswahili
 
Hapo kwenye kufika sasa 😅

Hii inashangaza
Na kufurahisha
Kwahiyo akifika anasema kabisa anataka mtu wa kuongea nae kiswahili
Ysah.

Siku hizi afadhali kuna mitandao kama Clubhouse wamejazana wanaongea Kiswahili masaa 24.
 
Back
Top Bottom