HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hadi kufikia hapa kulingana na mtiririko wa comments mbali mbali... unaweza kuona namna gani suala la ushoga limekita mizizi kwenye jamii zetu.....
20250721_102453.jpg
 
Pumba ni chanzo kizuri cha protini.

Wewe tu hujajua tu.

Mpaka sasa hujaweza kupinga hoja yoyote, umehemuka tu kihisia kama guluguja asiye na ubongo wala uti wa mgongo.
Hoja yako imekaa kwenye upuuzi wa kufikirika
Ati fikiria umekaa kwenye dunia yenye mapunga watupu....Sasa si upuuzi huu

we mwanaume uache kufikiri kubeba majukumu ya familia yako na kuwasaidia wazazi uanze kufikiri upuuzi.......Pumba tupu
 
So sad
 
Si kila mtu anaamini katika mila, desturi na dini yako.

Jifunze kuishi kwa kuelewa kuwa kuna watu tofauti na wewe, na wao wana haki kuishi wanavyotaka wao.

Fikiria kwamba upo katika dunia ambayo mashoga ni wengi halafu wasio mashoga ni wachache.

Halafu wale mashoga wengi wanawaandama, wanawaua, wanawalazimisha muwe mashoga.

Ungejisikiaje?
Great anology, kama vile See series ya Jason Mamoa (Baba Voss), vipofu wanawawinda wasioona.
 
Hoja yako imekaa kwenye upuuzi wa kufikirika
Ati fikiria umekaa kwenye dunia yenye mapunga watupu....Sasa si upuuzi huu

we mwanaume uache kufikiri kubeba majukumu ya familia yako na kuwasaidia wazazi uanze kufikiri upuuzi.......Pumba tupu
Tatizo lako huwezi kufanya fikra dhahania, abstract thinking.

Pia huna empathy.

Kutoweza kufanya abstract thinking na kutokuwa na empathy ni dalili za kukosa akili.

Ndiyo maana hatuelewani.
 
Huko Uarubuni ambako ushoga adhabu yake ni kifo ndiko watu kufukuana mitaro kwa kasi ya SGR.
Mambo mengine haya muyaache tu.
Dhambi si ushoga tu
Ni heri shoga kuliko Daktari au mfamasia anayeiba Dawa za umma kisha kuziweka kwenye duka lake
 
Huko Uarubuni ambako ushoga adhabu yake ni kifo ndiko watu kufukuana mitaro kwa kasi ya SGR.
Mambo mengine haya muyaache tu.
Dhambi si ushoga tu
Ni heri shoga kuliko Daktari au mfanasia anayeiba Dawa za umma kisha kuziweka kwenye duka lake
Hawa watu wanaowaandama mashoga wanaongozwa na chuki tu, na chuki hizo zina mzizi wa dini.

Na quite counterintuitively, chuki hizo zina promote ushoga. Zinafanya ushoga badala ya kupotezewa tu, unakuwa a trending topic.

Kuna mtu yuko Tanzania ndani ndani huko anasema yeye hata hauoni ushoga kuwa tatizo hivyo, anauona mitandaoni tu. Huyu mtu mmemfanya afikirie ushoga wakati ushoga anaona kwake haupo.

Na hawa watu wanajaribu kuzivika sana chuki hizo gwanda la maadili ili zikubalike.

Wakati ushoga ni sexual orientation tu. Ni haki ya mtu.

Lakini ukichunguza sana utagundua hizi habari si maadili ni chuki, zinazotokana na dini, zinazostawi kwenye ujinga.

Ukiwachunguza sana utawakuta kwa kiasi kikubwa ni wanaume walio frustrated, ambao hawana elimu kubwa, na hawajapata nafasi ya kusafiri sana kuijua dunia.

Ni nadra sana kumkuta mtu aliyeelimika na kuijua dunia akawa na mawazo haya.

Yani ni hivi, inawezekana kabisa mtu akawa binafsi hakubaliani na ushoga, lakini akawa anaelewa kuwa mashoga nao ni watu na wana haki ya kuwa mashoga, akakubali tu kuwa ataishi kivyake na kuwaacha mashoga waishi kivyao.

Mimi ninaishi hivyo. Sikubaliani na ushoga binafsi, lakini naelewa watu walio tofauti na mimi wana haki ya kuishi kama mashoga.

Tatizo liko wapi kama hawajanilazimisha mimi niwe shoga?

Tofauti yangu na hao wanaopiga kelele ni kwamba wao hawaijui dunia.

Ukiona mtu asiyetaka ushoga kashindwa kuishi hivyo kama mimi, ujue huyo haijui dunia.
 
Utajiri unategemea ushoga, marsharti ya mganga , devils prefered medium hakika hatuwezi shinda hiyo vita
 
Huko Uarubuni ambako ushoga adhabu yake ni kifo ndiko watu kufukuana mitaro kwa kasi ya SGR.
Mambo mengine haya muyaache tu.
Dhambi si ushoga tu
Ni heri shoga kuliko Daktari au mfanasia anayeiba Dawa za umma kisha kuziweka kwenye duka lake
Kila mtu atulie na dhambi zake au sio mwanawane....maana uzinzi nao dhambi basi wakina mza zab tunyongwe pia
 
Hawa watu qanaowaandama mashoga wanaongozwa na chuki tu, na chuki hizo zina mzizi wa dini.

Na wanajaribu kuzivika sana chuki hizo gwanda la maadiki ili zikubalike.

Lakini ukichunguza sana itagundua ni chuki, zinazotokana nandini, zinazostawi kwenye ujinga.

Ukiwachunguza sana utawakuta kwa kiasi kikubwa ni wanaume walio frustrated, ambao hawana elimu kubwa, na hawajapata nafasi ya jusafiri sana kuijua dunia.

Ni nadra sana kumkuta mtu aliyeelimika na kuijua dunia akawa na mawazo haya.

Yani ni hivi, inawezekana kabisa mtu akawa binafsi hakubaliani na ushoga, lakini akawa anaelewa kiwa mashoga nao ni watu na wana haki ya juwa mashoga, akakubaki tu juwa ataishi kivyake na kuwaacha mashoga waishi kivyao.

Mimi ninaishi hivyo. Tofauti yangu na hao wanaopiga kelele nibkwamba wao hawaijui dunia.

Ukiona mtu asiyetaka ushoga kashindwa kuishi hivyo kama mimi, ujue huyo haijui dunia.
Nimekuelewa sana mkuu.
Hizi ni dalili za msongo wa mawazo.
Mtu hajavunja haki za watu wengine tatizo liko wapi?
 
Hapana, mimi si shoga, na wala sihitaji kuwa shoga kutambua haki za binadamu.

Wewe kufikiri mtu kutetea haki za binadamu za mashoga ni lazima awe shoga, ni ukosefu wa uelewa tu.

Yani umeshindwa kufanya fikra dhahania (abstract thinking).

Umeshindwa kujua kuwa, hata mzungu anayethamini haki za binadamu, asiyependa ubaguzi, anaweza kuchukia ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi bila ya yeye kuwa mweusi.

Katika mawazo yako umeona ili mtu apinge ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, ni lazima awe mweusi.

Hii ni hoja potofu. Inaonesha udogo wa fikra.

Inaonesha huijui dunia tu.
Alafu kitu nimegundua hawa madogo wanaolopoka lopoka haya mambo ndio wananyea watu vizuri

Sasa wanatunga nyuzi kama hzi kusikilizia watu wanawadhania vp
 
Back
Top Bottom