Msafwa wa swaya
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 425
- 104
Habarini ndugu zangu mi ni mwalimu Leo hi mshahara mpya umetoka kwa wilaya ya Mbozi mkoa wa Mbeya ONGEZEKO KWA TGTS C1 =ni Tshs 43,000/=.....hi serikali sasa kuna haja ya kufanya maamuzi magum na kukaa kimya ni UMAKU,Mimi nimeanza kazi toka mwaka 2008,TANZANIA NAKUPENDA ILA SERIKALI SIIPENDI SIIPENDI..MFUMUKO WA BEI JUU NYONGEZA 43000 Take home..??
walimu wa dizain hii huo ujira unawatosha kabisaaaKaka shauri hata watano tuuuuuu bhaaaaas wanatosha ili kuepuka CCM mwaka buku2 na kumi na jala. M also a teacher. I will do so n equaly, i will leave this job as soon as i get the other.
walimu wa dizain hii huo ujira unawatosha kabisaaa
Kaka shauri hata watano tuuuuuu bhaaaaas wanatosha ili kuepuka CCM mwaka buku2 na kumi na jala. M also a teacher. I will do so n equaly, i will leave this job as soon as i get the other.