Msafwa wa swaya
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 425
- 104
Habarini ndugu zangu mi ni mwalimu Leo hi mshahara mpya umetoka kwa wilaya ya Mbozi mkoa wa Mbeya ONGEZEKO KWA TGTS C1 =ni Tshs 43,000/=.....hi serikali sasa kuna haja ya kufanya maamuzi magum na kukaa kimya ni UMAKU,Mimi nimeanza kazi toka mwaka 2008,TANZANIA NAKUPENDA ILA SERIKALI SIIPENDI SIIPENDI..MFUMUKO WA BEI JUU NYONGEZA 43000 Take home..??