Janga la mshahara mpya kwa walimu.

Janga la mshahara mpya kwa walimu.

Msafwa wa swaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
425
Reaction score
104
Habarini ndugu zangu mi ni mwalimu Leo hi mshahara mpya umetoka kwa wilaya ya Mbozi mkoa wa Mbeya ONGEZEKO KWA TGTS C1 =ni Tshs 43,000/=.....hi serikali sasa kuna haja ya kufanya maamuzi magum na kukaa kimya ni UMAKU,Mimi nimeanza kazi toka mwaka 2008,TANZANIA NAKUPENDA ILA SERIKALI SIIPENDI SIIPENDI..MFUMUKO WA BEI JUU NYONGEZA 43000 Take home..??
 
napenda kukushauri ndugu yangu ungejitahidi pia kujikita kwenye ujasiriamali kuliko kutegemea mshahara tu.
 
Kwani kabla ya hilo ongezeko ulikuwa unapata sh. ngapi?
 
mbona wenzako wa C1 wameongezewa 52 hivi..au account ilikuwa negative bank wamefanya yao,.. wa D1 ndio wamepewa 43..
 
Kaka shauri hata watano tuuuuuu bhaaaaas wanatosha ili kuepuka CCM mwaka buku2 na kumi na jala. M also a teacher. I will do so n equaly, i will leave this job as soon as i get the other.
 
Pole sana ila 53000 inatosha,tushukru kwa yote
 
Kaka shauri hata watano tuuuuuu bhaaaaas wanatosha ili kuepuka CCM mwaka buku2 na kumi na jala. M also a teacher. I will do so n equaly, i will leave this job as soon as i get the other.
walimu wa dizain hii huo ujira unawatosha kabisaaa
 
Kaka shauri hata watano tuuuuuu bhaaaaas wanatosha ili kuepuka CCM mwaka buku2 na kumi na jala. M also a teacher. I will do so n equaly, i will leave this job as soon as i get the other.

Najisikia kichefuchefu!
 
kuna kazi kibao za ualimu, botswana, namibia, swaziland & south sudan. mishahara minono, kwanini msiende????!!! au wengi mmefoji vyeti so hamuwezi kuongea frueeeenttttt english?
 
Si lazima ufanye ualimu jinyime pate mshahara kiasi temana na kazi hiyo na uinguie katika biashara inayilipa sokon kwani unatakwimu ya walimu ambao c wamakamo walojenga jiulize wabunge wao wanalamba ngapi
 
nimefuatilia mjadala ni mzuri ila ninayo masikitiko sana tunapenda kulalamika mno na pia kuwafelisha watoto sio muafaka kumbuka watoto wanastahili kupata elimu bora na wwkama mwalimu tayari umeshajikomit kumbuka utakuwa unafanya dhambi kubwa kwa kuitwa mwalimu halafu hufanyi kazi za ualimu ni bora usijiite mwalimu kwani nafasi uliyoikumbatia kuna wenye moyo wa kufanya kazi lakini ww unawawekea usiku cha msingi na ushauri wangu wa bure tayari mnamtambua adui yenu mwaka 2015 sio mbali hebu msifanye makosa kwani nchi kama Uingereza,Marekani,France wamefika walipo kutokana na kutokukubali kukumbatia wazo moja miaka 50 sasa tunalalamika nawaambia bila kumumunya maneno watoto mnaowafelisha ni wakwenu maana watoto wa wakubwa wanasoma shule bora na mnajitengenezea laana maana watoto na wajukuu zenu watawalaani ati baba/mama alikuwa mwalimu na hakuna faida yeyote EWE MWALIMU MWENZANGU BADILIKA MABADILIKO NI MIMI NA WW
 
Kaka hiyo ndo serikali yetu, kama unaweza tafuta kazi private lakn usidhanie ni kirahisirahisi ivyo. MM mwenyewe niko serikalini lakn cna la kufanya ila kuwa mpole.
Kwa ushauri kama unaweza tafuta mkopo uwekeze sehemu bila ivyo mambo yatakuwa magumu cku zote.
 
Kaka nakupa hongera kwa wazo lako zuri ilka hapo kwenye kumtambua adui inabidi kuwa makini, unaweza ukadhan kuondoa uongozi uliopo na kuleta mpya ndio suluhisho kumbo ndio ukaja ukajuta. Nadhani tunahitaji kubadilisha mfumo
 
ndugu yangu mi mwenyewe mwalimu wilaya ya kigoma vijijini uskonde ndo maisha ila serikali haiwezi kuwapa shavu walimu wa shule za serikali kwani wao hawapati faida kwa walimu hao zaidi ya kodi tunayokatwa kila mwezi coz watoto wao wanasoma ulaya sasa akupe wewe shavu ukamfaidishe mtoto wa mkulima dawa ni kufanya kazi kispoti au sio kaka pamoja
 
Jaman kaz ya ualimu? jiulize walimu wa 2000 backward wangap wananyumba nzur za kuish ppte iwe mjin au village! hv kwel bdo jamii haion kuwa ni uonev dhidi ya walimu!
 
Back
Top Bottom