stineriga
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 2,172
- 887
Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada.
Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika.
Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu zinadoda.
Inawezekana hiyo sehemu wana stand by generator, au wana tumia solar ambayo wana iwasha umeme ukikatika.
Tujuzane ni wapi huko?