Janga la umeme linaloendelea, tujuzane wapi unaweza kwenda kufanya kazi zako kwa kulipia au kununua wanachouza

Janga la umeme linaloendelea, tujuzane wapi unaweza kwenda kufanya kazi zako kwa kulipia au kununua wanachouza

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
2,172
Reaction score
887
Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada.

Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika.

Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu zinadoda.

Inawezekana hiyo sehemu wana stand by generator, au wana tumia solar ambayo wana iwasha umeme ukikatika.

Tujuzane ni wapi huko?
 
Jaribu maeneo ya vyuo mkuu tena sio umeme tu unaweza ambulia hata na free wifi
 
Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada.

Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisin kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika.

Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu zinadoda.

Inawezekana hiyo sehemu wana stand by generator, au wana tumia solar ambayo wana iwasha umeme ukikatika.

Tujuzane ni wapi huko?
Nenda buni hub iko kituo cha sayansi pale free naona hua wanawasha generator na free WiFi lakini tusisahau kufanya maombi huyu mama na genge lake wasirudi 2025 bila ya hivyo haya mambo hayataisha
 
Mkuu nenda kazuge hospitalini

Ova
 
Back
Top Bottom