Jangwani kunateketea sasa ni official Bangala na Djuma Shabani wanataka kuondoka rasmi

Kama mfanyakazi na mchezaji vilevile kama mfanyakazi ndani ya klabu hivyo mfanano upo ..
Mfano wako haupo relevant

Kwasababu Manara aliwatukana lakini mkamuajili

Mfano wako wa mchezaji umezungumzia kufungwa na mchezaji afu kuja kumsajili.

Mfano wako haupo sahihi kwasababu situation ya Manara na Yanga tunajua ilikuwa personal sio utani.

Manara aliwahi kuja kwenye makao makuu ya Club yenu kurudisha zile pesa mlizomchangia kutokana na mvutano uliokuwa unatokea kati yake na Yanga.

Ni tofauti kabisa na mchezaji ambaye anawafunga na nyie mnakuja kumsajili baada ya kuvutiwa na kipaji chake kwasababu malengo ya Club ni kuwa na wachezaji kama hao.
 
Upo relevant asilimia 100% kama ilivyo kwa Morisson , unatuma kipimo kipi cha kimataifa kudetermine relevance kiasi ambacho unafosi ionekane ipo kwako ?
 
Upo relevant asilimia 100% kama ilivyo kwa Morisson , unatuma kipimo kipi cha kimataifa kudetermine relevance kiasi ambacho unafosi ionekane ipo kwako ?
Morrison aliwatukana?

Kipimo ni scenario ya vitu viwili ambavyo havifanani.
 
Naona kipindi hiki cha usajili ukitaka habari za Yanga muulize Kolo FC. Kama Hersi na GSM walitengeneza Yanga kipindi ambacho iko hovyo ,striker Molinga na mdogo wake Yikpe sizani kama watashindwa sasa hivi, kwani timu hela inayo na ndani ya miaka miwili tukachukua makombe sita na fainali ya shirikisho (haya mafanikio kuna wenzetu wana yaota na kuumia kimya kimya).

Naona wameacha kudiscuss hata ile check yao ya jana na sijui zile bil 2 zimenda kuwekwa kwenye bank gani maana hata kwenye ile hundi sijaona jina bank. Inawezekana ikawa yaleyale ya bil 20.

Tusubiri ila mwishoni mwa dirisha ndipo itafahamika wakina nani wamesajili wachezaji na wakina nani wamesajili mawakala wa kusimamia uchaguzi.
 
Hii timu mask in ndio inazungumzia kutaka kuajili makocha wanaolipwa kuanzia milioni 100 kwa mwezi
 
JANGWANI kunawaka [emoji23][emoji23][emoji23] mtabakia na kiungo bamia tu wanaojielewa wote wanaondoka
Waende tu watakuja wengine. Wao wasusa wenzao wala. Kuna mmoja alijazwa upepo nae akaamini kuwa bila yeye Yanga kwishey! Yeye ndiyo yuko hoi na hata timu ya taifa wamemtema.
 
yanga huijui we nyamaza tu
 
Unapoteza nguvu zako mkuu, toka lini performance ya kazi (kufunga) na violence (matusi) vikawa sawa.
 
Nabi anaondoka na watu wake,mayele,bangala,diarra,djuma,lomalisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…