Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwa hiyo Manara mmemsajili kama mchezaji?Kwa hiyo timu ikamsajilli mchezaji aliyewahi kuwafunga wanakuwa hawana akili ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Manara mmemsajili kama mchezaji?Kwa hiyo timu ikamsajilli mchezaji aliyewahi kuwafunga wanakuwa hawana akili ?
Kama mfanyakazi na mchezaji vilevile kama mfanyakazi ndani ya klabu hivyo mfanano upo ..Kwa hiyo Manara mmemsajili kama mchezaji?
Mfano wako haupo relevantKama mfanyakazi na mchezaji vilevile kama mfanyakazi ndani ya klabu hivyo mfanano upo ..
Upo relevant asilimia 100% kama ilivyo kwa Morisson , unatuma kipimo kipi cha kimataifa kudetermine relevance kiasi ambacho unafosi ionekane ipo kwako ?Mfano wako haupo relevant
Kwasababu Manara aliwatukana lakini mkamuajili
Mfano wako wa mchezaji umezungumzia kufungwa na mchezaji afu kuja kumsajili.
Mfano wako haupo sahihi kwasababu situation ya Manara na Yanga tunajua ilikuwa personal sio utani.
Manara aliwahi kuja kwenye makao makuu ya Club yenu kurudisha zile pesa mlizomchangia kutokana na mvutano uliokuwa unatokea kati yake na Yanga.
Ni tofauti kabisa na mchezaji ambaye anawafunga na nyie mnakuja kumsajili baada ya kuvutiwa na kipaji chake kwasababu malengo ya Club ni kuwa na wachezaji kama hao.
SimbaKwa hiyo saizi Manara ni shabiki wa wapi?
Morrison aliwatukana?Upo relevant asilimia 100% kama ilivyo kwa Morisson , unatuma kipimo kipi cha kimataifa kudetermine relevance kiasi ambacho unafosi ionekane ipo kwako ?
Fei toto ama Hangaya?Feitoto kawakalasua
Waende tu watakuja wengine. Wao wasusa wenzao wala. Kuna mmoja alijazwa upepo nae akaamini kuwa bila yeye Yanga kwishey! Yeye ndiyo yuko hoi na hata timu ya taifa wamemtema.JANGWANI kunawaka [emoji23][emoji23][emoji23] mtabakia na kiungo bamia tu wanaojielewa wote wanaondoka
Sasa mbona wamechukua makombe hio mizimu alikua wapiMZIMU WA FEI TOTO UANUANDAMA YANGA, DOGO KAWATONYA MAJAMAA
yanga huijui we nyamaza tuKIVUMBI NA JASHO: DJUMA, BANGALA
.
Djuma Shaban, Lomalisa Mutambala na kiraka Yannick Bangala juzi kwa nyakati tofauti wamegonga mlango wa kutaka kuondoka na kwenye vikao vyao kulihusisha majibizano makali.
.
Djuma na Bangala ndio walianza ambapo waliwasilisha ombi la kusitisha mwaka mmoja wa mkataba baada ya kutumikia mmoja kwa mafanikio Jangwani. Mikataba yao inaisha mwakani.
.
Habari za uhakika ni kuwa wawili hao awali walipewa nusu ya ada ya usajili na katika miezi ya karibuni wamekuwa wakifosi kumaliziwa bila mafanikio, hivyo Katika hoja zao ni kwamba kile kiasi walichopewa awali ni cha muda waliofanya kazi kwa hiyo wanachodai kitumike kusitisha mkataba sehemu iliyobaki jambo ambalo limeibua mjadala mzito ndani ya uongozi na hata kikao cha jana hakikufikia muafaka.
.
Mabosi wa Yanga wamepata uhakika kwamba wakishafanya uamuzi huo tu ndani ya siku mbili watani wao Simba na wapinzani wao Azam watashtua kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba “mgeni tumempata”. Simba na Azam zinashindana kimyakimya kusaka saini ya Bangala ambaye msimu mmoja uliopita alikuwa mchezaji bora wa ligi kwenda kuimarisha eneo la kiungo wa chini.View attachment 2660502
Wewe ndio unaijua au sio[emoji23][emoji23] ivi pitso mosimane anakuja lini?yanga huijui we nyamaza tu
Unapoteza nguvu zako mkuu, toka lini performance ya kazi (kufunga) na violence (matusi) vikawa sawa.Mfano wako haupo relevant
Kwasababu Manara aliwatukana lakini mkamuajili
Mfano wako wa mchezaji umezungumzia kufungwa na mchezaji afu kuja kumsajili.
Mfano wako haupo sahihi kwasababu situation ya Manara na Yanga tunajua ilikuwa personal sio utani.
Manara aliwahi kuja kwenye makao makuu ya Club yenu kurudisha zile pesa mlizomchangia kutokana na mvutano uliokuwa unatokea kati yake na Yanga.
Ni tofauti kabisa na mchezaji ambaye anawafunga na nyie mnakuja kumsajili baada ya kuvutiwa na kipaji chake kwasababu malengo ya Club ni kuwa na wachezaji kama hao.
Aiseee Mkuu umemaliza kila kitu. History ni kitu hatari sana! 😆😂Unapoteza nguvu zako mkuu, performance ya kazi (kufunga) na violence (matusi) vikawa sawa.
View attachment 2661071