Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened!

Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au Palestine....tungeanzisha mada Kila saa Kila wakati.

 
ajabu yake, hao wabantu wanaouawa ni waislam wenzao, lakini watu wa mbagala wapo tayari kutetea mwarabu badala ya muislam mwenzao mweusi.
 
Watu wa dini wanafiki sana. Janjaweed ameua watu weusi Sudan bila kujali ni waislamu au wakristo na idadi kubwa ikiwa ni waislam weusi. Wanafiki kimya wamefyata maadam ni bwana wao mwarabu anafanya hayo tena dhidi ya mweusi huoni kelele mitandaoni

Waliosema charity begins at home hawakukosea. Unaendaje kupaza makelele masuala ya mbali wakati nyumbani au jirani kwako kuna mazito? Ifike wakati watu waipe kipaumbele akili kabla ya dini.

Dini bila akili ni kwenda utupu mbele ya hadhira.
 
Hawa waliouliwa ni Waislam ila hautasikia Waislam popote duniani wameandamana au kulaani haya mauaji simply because muuaji siyo Muisrael au Mkristu.

Waislam kazi sana
 
DAH AFRICA NA DINI ZA MASHARIKI YA MBALI,
WAPUMZIKE KWA AMANI.
 
Sababu ya kuwaua ni kisa ni blacks
Siyo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…