Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?

Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?

Dugu yangu usiwe basi kiazi mi ujue nakuheshimu humu maana umenizidi akili mimi akili yangu naitumia kwenye kunjunja.

Hapa yanaongelewa makundi yenye mfungamano/mrengo wa kidini. Hao uliowataja ni kweli wanafanya massacre lakini si makundi yenye mrengo wa kidini. Basi kwa akili yako utasema Joseph Kony alikua na mrengo wa kidini ngoja nikuwahi mapema.. au basi!

Babu Njunju mzee wa kunjunjumila
Wewe mnafiki huwa unaandama Joseph kony n genge lake walivyokuwa wanafanya massacres kule Uganda na south Sudan , huwa unaandama wale m23 ,maimai na wahuni wengine wanavyoteketeza raia kule Congo kwa unyama ?
 
Fanya urafiki na mwarabu dogo we huoni America na Europe wanajipendekeza kwa waarabu

Mwarabu we bongo anafaida na wewe kuliko America na Israel na Europe hao hawakupiu vya bure isipokuwa madeni
Mkuu mbona siku hizi umewacha kutumia ID zako zingine za @umayed na STRUGGLE MAN ??

Utashangaa nimejuaje? Mimi ni Mossad na Shin Bet
 
Hili li dini lakufuta kwenye sayari. Hapo watakwambia jihad. Dini yakua mtu asie na hatia ikiwa tu haamini hiyo imani. Inakua na ukakasi kiasi maana kama mtu ana muua binadamu asie na kosa je anamjua au ashamwona Muumba wake..? Hauwezi kumchukia binadamu asie kudhuru kwa lolote na ukawa unampemda Mungu. Hiii dini ni yakishetani
 
Attachments

  • 473A8217-35CC-42A6-8981-4AEED2050790.MP4
    1.6 MB
Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened!

Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au Palestine....tungeanzisha mada Kila saa Kila wakati.

View attachment 2807203View attachment 2807204
Hafu eti ndo unambie hii ndo Dini ya Mwenyezi Mungu...! Dini ya haki...!!!
 
Hata hao ni waarabu mkuu unahaki ya kuwasemea sio kusubiri mtu akusemee
janjaweed ni mkusanyiko wa jamii ya kiarabu Sudan, wanawauwa wasudani wenzao wenye asili ya kibantu kama wewe hata kama ni waislam wenzao. shida ni ubantu, kuna ethnic cleansening yaani wanataka kufuta kizazi cha wabantu kule sudan. janjaweed ni wanamgambo tu ila wanapata silaha toka serikali ya kiarabu ya sudan, pia kuna wanajeshi wa sudan huwa wanaenda kuwapiga tafu, wanapesa vifaa vya mawasiliano na serikali ya sudan na jeshi la polisi pia linawaunga mkono. kama hujaelewa.
 
Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened!

Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au Palestine....tungeanzisha mada Kila saa Kila wakati.

View attachment 2807203View attachment 2807204
Mungu wangu[emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili ni fuata upepo tu wao wanacheza na taarifa za habari na media na propaganda za wazungu
Mzungu kasema hivi basi wote watahamia huko watachambua kama wako Frontline
Yupo mmoja yeye kwa habari mbaya za upande mmoja hajambo sana ila tumemuomba aandike tena tukio lililotokea Nairobi kwenye Mall ile ya wqyahudi ila kauchuna kimya

Wanasema Hitler aliuwa 3m jewish ila hakuna hata siku moja wataongelea kuhusu King Leopold the second alieuwa waafrika milioni 10 na wengi hata hawajui hili
Mauwaji kama haya hutawasikia wala hawajui au wanasubiri CNN watangaze
 
Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened!

Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au Palestine....tungeanzisha mada Kila saa Kila wakati.

View attachment 2807203View attachment 2807204
Hao waafrika wa darfur toka miaka ya 2015 wapo hatarin kwanini na hawachukui hatua ya kujilinda au kukimbia mbona kama wao huwa hawachukui hatua, ni mabwege au ni mafala miaka yote hawaoni kuwa wapo hatarin
 
Back
Top Bottom