Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?

Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?

Acha tu mkuu watu wa dini wanafiki sana. Janjaweed ameua na anaendelea kuua waislamu weusi wa Sudan. Wanafiki kimya wamefyata maadam ni bwana wao mwarabu anafanya hayo tena dhidi ya mweusi huoni kelele mitandaoni

Waliosema charity begins at home hawakukosea. Unaendaje kupaza makelele masuala ya mbali wakati nyumbani au jirani kwako kuna mazito? Ifike wakati watu waipe kipaumbele akili kabla ya dini.

Dini bila akili ni kwenda utupu mbele ya hadhira.
Maandiko yalisisitiza sana tuisake elimu
 
Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened!

Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au Palestine....tungeanzisha mada Kila saa Kila wakati.

View attachment 2807203View attachment 2807204
Mmmh dunia sio mahala salama unauaje watu wasiokua na hatia bila sababu
 
Tunakokwenda kuna nchi zitaupiga marufuku uislam.Hili nawaambia ila mtaona km utani uislam umekua ni chanzo cha umwagaji dam hapa duniani mfano tu hapo west africa hii dini inaua watu wengu sana.Sababu kuu wanamfuata mafundisho ya mtume.
 
Nigeri Kaskazini kule Borno, Sudani Kusini na Kaskazini, Somalia Watu wanauliwa wengi Sana na Mujahidina.

Lakini kwakuwa ni Weusi watu Weusi hawana habari nao.

Wakiuliwa Watu wa Rangi Nyeupe Watu Weusi wanalaani Sana Sana.

Hii Imani inatakiwa kuchunguzwa
 
Wewe mnafiki huwa unaandama Joseph kony n genge lake walivyokuwa wanafanya massacres kule Uganda na south Sudan , huwa unaandama wale m23 ,maimai na wahuni wengine wanavyoteketeza raia kule Congo kwa unyama ?
Hamna mkristu mwenye kawaida ya kuandama mkristu akiuwawa na muaaji akiwa muislam, mkristu au myahudi...zaidi ya wanafiki kama wewe ambaye ukisikia myahudi kaua mwislam mnataka dunia yote isimame.
 
Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened!

Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au Palestine....tungeanzisha mada Kila saa Kila wakati.

View attachment 2807203View attachment 2807204
Hili li dini lakufuta kwenye sayari. Hapo watakwambia jihad. Dini yakua mtu asie na hatia ikiwa tu haamini hiyo imani. Inakua na ukakasi kiasi maana kama mtu ana muua binadamu asie na kosa je anamjua au ashamwona Muumba wake..? Hauwezi kumchukia binadamu asie kudhuru kwa lolote na ukawa unampemda Mungu. Hiii dini ni yakishetani
 
Acha tu mkuu watu wa dini wanafiki sana. Janjaweed ameua na anaendelea kuua waislamu weusi wa Sudan. Wanafiki kimya wamefyata maadam ni bwana wao mwarabu anafanya hayo tena dhidi ya mweusi huoni kelele mitandaoni

Waliosema charity begins at home hawakukosea. Unaendaje kupaza makelele masuala ya mbali wakati nyumbani au jirani kwako kuna mazito? Ifike wakati watu waipe kipaumbele akili kabla ya dini.

Dini bila akili ni kwenda utupu mbele ya hadhira.
Mwislam mweuso hana hela kwanza akishakuwa mwafrika tu basi huyo kabeba laana.
 
ajabu yake, hao wabantu wanaouawa ni waislam wenzao, lakini watu wa mbagala wapo tayari kutetea mwarabu badala ya muislam mwenzao mweusi.
Ni kweli sababu ndogo waislamu wa Tanzania washabikia waarabu na kuacha waafrika zao ni sababu tu huwa wanapewa tende za bure na waarabu mwezi wa Ramadhani na kula pilau za bure kwa waarabu sikukuu ya idd

Wakishakula huwambii kitu wataacha waislamu wenzao weusi wa Sudan wauawe kama kuku na waislamu waarabu Janjaweed

Hutasikia kauli wote kimya wameshiba tende na pilau ya mwarabu
 
Its bizzare wapumzike kwa amani wahanga wote la kusikitisha zaidi watu wanaweka mambo ya Israel na Palestina humu dear africans hakuna mzungu yeyote atakayekuja kufa kwa ajili yako wewe kwa lipi hilo zuri uliomfanyia watakuja hapo kwa kigezo cha kulinda amani na watu wataendelea kufa wao wanakuja kwa lengo la kufyonza resources zetu tu.

matatizo yetu tutayamaliza wenyewe tusitegemee watu wa nje Sema tu sudan ishakua failed state Je umesikia hata umoja wa Afrika wakitoa tamko la hasha wao wanasubiri kusign posho tu ni ajabu vikundi vidogo vinatishia amani nchi nzima njoo m23 jeshi zima la Drc limewashindwa kweli sitaki kuamini.

Jiulize kwanini waliokua wanashambuliwa na M23 ni Jwtz tu jibu ni kwamba wao ndio waliokua wanafanya kilichowapeleka kule wengine walikua wanakula na kucheka na M23
 
Back
Top Bottom