Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?

Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?

Nani ahalalishe kitabu kishahalalisha...

Sasa mie nishakushikia kisu nataka nikuue, unasubiri mtu tena aje kuhalalisha, utakufa [emoji23][emoji23] hapo ni muda wa mpambano.

huwenda hata jews wanafata maagizo kama haya ya kwenye Quran dhidi ya palestina.
 
huwenda hata jews wanafata maagizo kama haya ya kwenye Quran dhidi ya palestina.
Kwamba mpalestina ndio kaanza, sio israel ya wazungu ndio imeanza kumega ardhi ya watu!?

Nishakujua, utanimalizia bure WINO wangu kwenye simu 😂
 
Kwamba mpalestina ndio kaanza, sio israel ya wazungu ndio imeanza kumega ardhi ya watu!?

Nishakujua, utanimalizia bure WINO wangu kwenye simu [emoji23]

nilitaka uelewe msingi wa swali langu,kwamba nani atakuwa na jukumu la kuhalallisha wewe kuua au kuuawa!!!

maana pande mbili kati yenu kila mmoja anaweza dai ana haki ya kurudishia,alianzwa.
 
Hamas ipi?. Hii ambayo imefutiliwa mbali? Maana Israel kashatwaa ngome ya Hamas. Na mpaka Ijumaa atakuwa ameshaweka military base Gaza.
Pole sana si Ijumaa hi weka Ijumaa ya mwanzo ya mwaka 2028 labda nisidhani atafika pia kwenye 2028 labda ndio hafiki tena mpaa mwisho wa dunia.
 
Hawa waliouliwa ni Waislam ila hautasikia Waislam popote duniani wameandamana au kulaani haya mauaji simply because muuaji siyo Muisrael au Mkristu.

Waislam kazi sana
Ndugu zetu katika imani huwa hawafanyi mauaji, na wakifanya mauaji basi wanaitetea imani.
 
Nasubiri wewe ulete, mbona tunapangiana kitu Cha kupost?
Jibu zuri sana ,kama hakuna kupangiana cha kupost na wewe unampangia kivipi umpangie mtu cha kusema ?

Kama hakuna cha kupangiana kupost mbona uzi wako unalalama kuhusu ukimya wa Waislamu kuhusu Dafur huku wakipaza kuhusu Palestina hapo hauoni kama unawapangia Waislamu cha kupost na kusema ?

Mbona unajipinga na kauli yako upo timamu kweli ?
 
Mwarabu anakupa kipi cha bure? Tende, Kanzu au ujenzi wa misikiti!?
Watanzania tusipopeana makavu bila kumumumunya maneno hakuna mtu wa nje awe mzungu au mwarabu atatusumbua hapa kuhusu misimamo yetu kumhusu
 
Geneina (Al-Junaynah), Sudan Magharibi, watu 773 (wengi vijana, wanawake na wazee) wameuwawa kwa kuchinjwa na Janjaweed (Sudanese Arab militia group). Nyumba zimechomwa moto, wengi wametekwa.

JANJAWEED (devils on horseback - mashetani juu ya farasi) ni washirika wa kimkakati wa mtandao wa wanamgambo katika Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini unaojumuisha HAMAS na HEZBOLLAH.

Huwezi kusikia ni habari kubwa Duniani. Huwezi kusikia waafrika na watanzania wakilaani mauaji hayo. Huwezi kusikia serikali katili ya CCM ikitoa tamko kuhusu mauaji hayo ya raia huko Sudan.

Lakini vifo vya wapalestina na watu wa Israeli vimewaumiza watanzania kweli hadi wametangaza maandamano ya kusimama na Palestina wengine Israeli. Nani atasimama na raia wa Geneina, Sudan Magharibi?

Wizara ya mambo ya nje, imejikausha kama hakijatokea kitu Sudan. KIPARA anasubiri kuonekana kwenye ziara za ughaibuni na mapicha picha ya hapa na pale na ‘kavideo’ kamnato. Hawawezi kutoa tamko kulaani mambo haya!

Geneina (Al-Junaynah) ni mji mkuu wa West Darfur na umeathiriwa na vita ya Sudan. Battle of Geneina (Geneina massacre) watu 5,000 wameuwawa kati ya 24 April na 24 June na watu 370,000 ni wakimbizi.

Huwezi kuona hashtag za kuhusu tukio hilo. Hazilipi. Haziwalipi wanaharakati mchongo wa kiafrika. Wakazi wa Geneina (Al-Junaynah) 98% ni waumini wa dini ya Kiislam. Waislam wa Tanzania hawasimami nao?

Anyways, tukipata nafasi tutajadili vizuri hii vita ya Sudan.
20231109_070141.jpg
 
  • Mshangao
Reactions: K11
Back
Top Bottom