Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?

Janjaweed wameua watu takribani 700 Sudan, mbona mko kimya?

Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened!

Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au Palestine....tungeanzisha mada Kila saa Kila wakati.

View attachment 2807203View attachment 2807204
Hizo propaganda Tu hamna kitu km hicho(janjaweed) nilitaka kuwatoa watu kwenye mudi na ili ionekane Israeli anachokifanya Gaza sio ttzo, huo ni upuuzi mtupu wa kuedit.watu ndio hawajui na vyombo vingi vya habari myahudi hupitisha uongo .anaishia kuua wananchi lakini Hamas anaua majeshi yake na vifaru vyake ndani ya Gaza wala hawajashirikishwi hizbulla hawa jamaa nao wamejipanga maana wameteswa muda mrefu. Cheki mahandaki nawanavyolipua wazayuni.
 
Attachments

  • شاهد__كاميرا_الجزيرة_داخل_أنفاق_غزة.._ممرات_طويلة_ومخازن_للأسلحة_ومرابض_للصواريخ(240p).mp4
    3.7 MB
  • الجزيرة_تحصل_على_صور_تظهر_استهداف_كتائب_القسام_دبابات_وآليات_إسرائيلية_توغلت_شمال_غزة(133).mp4
    5.9 MB
Wala sio Mbali Wala sio zamani, ni Jana! Janjaweed wameua wanawake, wazee na Watoto zaidi ya 700. Sijasikia mtanzania Mwenye kuwashwawashwa na mauwaji haya as if nothing happened!

Nadhani hawa hawana damu, sio Ndugu zetu, sio wenzetu hawa ndio maana! Ila Sasa ingekua Ukraine au Palestine....tungeanzisha mada Kila saa Kila wakati.

View attachment 2807203View attachment 2807204
Walaniwe wote wanao beba ak47 na kujipa jukumu la kua watu walaniwe kila mtu na asema ameen
 
Watu wa dini wanafiki sana. Janjaweed ameua watu weusi Sudan bila kujali ni waislamu au wakristo na idadi kubwa ikiwa ni waislam weusi. Wanafiki kimya wamefyata maadam ni bwana wao mwarabu anafanya hayo tena dhidi ya mweusi huoni kelele mitandaoni

Waliosema charity begins at home hawakukosea. Unaendaje kupaza makelele masuala ya mbali wakati nyumbani au jirani kwako kuna mazito? Ifike wakati watu waipe kipaumbele akili kabla ya dini.

Dini bila akili ni kwenda utupu mbele ya hadhira.
Kuwa muelewa hapa Sudan kuna vita ya ukabila kama ilivyo kongo na kwingineko aliekwambia kuwa wanao uwawa ni watu weusi tu sudani kakudanganya zaidi unalo lako jambo moyoni mwako liweke wazi tu
 
Sababu ya kuwaua ni kisa ni blacks
Siyo

Ova
Sudaan kuna mkakati wa kuwapoteza kabisa waislam weusi. Ni mpango wa muda mrefu.

Kuna jamaa yangu aliwahi kwenda kulinda amani kule. Alifanya utafiti mdogo kwa kuongea na race zote mbili. Wanasema wazi mpango huo.

Kugawanyika kwa Sudan, pamoja na malengo mengine, hili pia limo.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
[emoji2936][emoji2935]
Wakati wanaandamana na kumkataa omari Bashiri kwa kisingizio cha kupanda mkate walizani Amerika itawasaidia haya sasa Amerika Sasa anawauzia silaha,mbwa wengi wanadhani waisilamu ndio wanaua watu
 
Sudaan kuna mkakati wa kuwapoteza kabisa waislam weusi. Ni mpango wa muda mrefu.

Kuna jamaa yangu aliwahi kwenda kulinda amani kule. Alifanya utafiti mdogo kwa kuongea na race zote mbili. Wanasema wazi mpango huo.

Kugawanyika kwa Sudan, pamoja na malengo mengine, hili pia limo.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Hamna cha muislamu mweusi muache kudanganya halafu mumekariri si kila Mwarabu mwislamu cheki hao si waroma?
 
Attachments

  • VID-20231006-WA0009.mp4
    5.6 MB
Back
Top Bottom