Januari 3, 2023 kutakuwa na kupatwa kwa sayari ya Mars

Saa nne siyo usiku sana. Ukitokanje kuangalia yanayoendelea angani utabadilisha kauli.
Saa nne nimechelewa ngoja nivizie saa sita na dakika 2.

NASA sometimes wanatupiga NDOIGE tu ili waendelea kupiga PESA ,sasa kweli kuna siku mwezi ushawahi kukosa kuwa karibu na nyota zinazong'aa?
 
Ni Upigaji tu wa NASA hamna chochote ,sioni chochote zaidi ya mwezi tu unang'aa kama kawaida(refelection ya mwanga wa jua) ,siioni sayari ya Mars sehemu yeyote.
mkuu sayari ya mars ilikuwa inaonekana mida flani, subiria mida ya saa sita itajitokeza tena upande wa pili nitakushtua. Usilale.
 
Mi nasubiria the moment of the first man to land on Mars tu. Naona Elon Musk na project yake amezamilia 2023 mtu kutua Mars
Hakuna pua ya kukanyaga mwezin, achen kuamn story za kipumbavu..wale washenz walitudanganya kuwa walienda mwezin lkn wameshaumbuka znaibuka kenge zingine znataka kutuongopea
 
Ni Upigaji tu wa NASA hamna chochote ,sioni chochote zaidi ya mwezi tu unang'aa kama kawaida(refelection ya mwanga wa jua) ,siioni sayari ya Mars sehemu yeyote.
Mwez hauakisi wala kusharabu mwanga, hizo nazo ni elimu za kishenz vile vile made by NASA...mwez ungekuwa unaakisi mwanga usingekuwa na ukali huu tunaouona pia rangi ya mwanga isingekuwa kama hii bali ingeleta mfanano na mwanga wa jua, jaribu hili zoezi hata nyumban kwako tumia balbu rangi tofaut tofauti kumulika ktk kitambaa cheupe na uone mng'ao wa kitambaa icho na rangi za mng'ao lazima uendane na aina ya rangi ya balbu[emoji23] , je jua lina mwanga mweupe tu?jaman amkeni acheni kuamn ushenzi

Pia mwezi ungekuwa unaakisi mwanga, basi kuna kipindi usingekuwa unaonekana na mng'ao maana unakuwa position tofaut na jua, mwezi unamwanga wake mwenyewe, mwezi ni kitu cha kutisha tofaut na haya mashetani yalivyotudanganya.

Hakuna pua ya mtu ya kuweza kwenda mwezini, wao wanajua ndiomaana huoni juhudi zao sas kupeleka wanasayansi wao wa uongo huko mwezin maana wataumbuka vbaya
 
Nimeangalia ila sìjajua umuhimu wa tukio hili
855248389.jpg
 
Sure NASA Sometimes wanatupanga tu.
 
Hakuna pua ya kukanyaga mwezin, achen kuamn story za kipumbavu..wale washenz walitudanganya kuwa walienda mwezin lkn wameshaumbuka znaibuka kenge zingine znataka kutuongopea
He bro where are you from? Nani ameongelea habari za kutua mwezini hapa?🤷
Tuoneshe uwongo wao bhasi tujue hata hoja uliyoileta umeidefend🤔
 
Nimesema nisiache comment yangu hadi nithibitishe toka saa 4 hadi muda huu ibaelekea saa 6 hamna lolote mbalamwezi ipo zake kama kawaida
 
Mpaka muda huu sioni chcht, Kwan n saa 6 na dkk ngapi.? Nisije kukaa nje ad nikapigwa nondo za kichwa
 
Nimesema nisiache comment yangu hadi nithibitishe toka saa 4 hadi muda huu ibaelekea saa 6 hamna lolote mbalamwezi ipo zake kama kawaida
watu hamuelewi, mwezi siyo kwamba utazima au kubadilika rang, ila ni sayari ya mars itamezwa na mwezi kwa lugha nyepesi. Mida ya saa 4 mars ilionekana pembeni ya mwezi. Mpaka sasa tunaisubiri itokee upande wa pili muda mchache ujao.
 
Je wajua ingawa mwezi huwa unatoa nuru usiku lakini hata pia mwezini kunakuwa na usiku
 
Back
Top Bottom