Januari 3, 2023 kutakuwa na kupatwa kwa sayari ya Mars

Januari 3, 2023 kutakuwa na kupatwa kwa sayari ya Mars

Wakuu ni live kabisa... kuna kama nyota ndogo ilikuwa karibu na mwezi mida ya saa moja ila sasa haionekani inamaana imezibwa na mwez ambayo ndo eclipse yenyewe..
Hata mimi niliona hiyo nyota karibu na mwezi mida hiyo nilikuwa naendesha gari, ila nilikuwa nimesahau kama tukio lilikuwa hiyo jana, nilifikiri ni leo.
 
Hii midude mikubwa hivi inaelea tu lakini bado kuna watu wanabisha hakuna Mungu....
Hizi sayari ni ndogo sana ukizicompare na nyota kubwa kama Betelgeuse, Rigel, Sirius A, Stephenson, na nyota nyengine. Lakini trillions of stars zinaungana kutengeneza galaxies, Kuna vitu kama bootes void, nebulae kama pillars of creation, Carina nebula, helix nebula. Hivi vitu ukizicompare na Dunia basi Dunia itaoneka kama atom.

Hakika Mungu ameumba bhana
 
Mkuu mwenyewe nawashangaa sana watu kama hao...yaan system zote complex zilizopo watu still wanasema hakuna designer inashangaza sana...
Kumbe hata hii solar system tunayoijua kuwa na sayari tisa ni kama tone tu, unaambiwa kuna mamilioni ya sayari zenye ukubwa sawa na dunia, such knowledge is extremely too complex to imagine.......kuna jamaa anajiita kiranga yeye ukimpa facts kama hizi bado ni mbishi hakuna mfano.
 
Kuna siku watatambua mkuu though itakuwa late....
 
Back
Top Bottom