Januari 3, 2023 kutakuwa na kupatwa kwa sayari ya Mars

Januari 3, 2023 kutakuwa na kupatwa kwa sayari ya Mars

Kwanza kabisa sayari kama Venus, Jupiter na mars zinang'aa sana hivyo unaweza kuzijua kutokana na brightness yake.

Lakini kila sayari ina sifa flani mfano Venus orbit yake Iko karibu sana na jua hivo inaonekana mda mchache tu baada ya jua kuzama au muda mchache kabla jua kuchomoza na hii ndio sayari inayong'aa sana, mercury nayo huoneka baada ya jua kuzama lakini haing'ai sana.

Jupiter nayo inang'aa sana na utaijua Kwa rangi yake nyeupe, Kwa pindi hki pale jua linapozama inakuwa usawa wa kichwa (overhead)

Mars pia hung'aa sana na hii ni nyekundu Kwa rangi yake, (ipo karibu na taurus constellation Kwa kipindi hiki)

Saturn huokana lakini kwa beginner unaweza ukadhani ni nyota but ni rahisi kuiona.

Uranus huonekana kama nyota ndogo hivo si rahisi kuiona kama sayari bali utadhani ni nyota tu.

All in all pale jua linapozama tu zile nyota zinaanza kuonekana ni sayari.

Ukitumia app itakusaidia zaidi. Mfano Mimi natumia stellarium kujua location ya vitu vyote angani
Ngoja niipakue hy app afu nitarudi
 
Duh! kama hiyo ni sayari basi sayari zipo mob sana sio 9 pekee
20230104_005106.jpg
 
Baada ya muda katachanganyikana huko ndani ndani na nyota zingine afu ndo itakuwa imetoka hiyoooooooo.!
kuna huyu jamaa anajiita king kong akija mwambie ulikaona, maana alijua haitaonekana.
 
Watu sijui hata picha hamuoni, mars ilikuwa inaonekana mida ya saa 4, kuanzia saa tano mpaka saa sita inakuwa imefunikwa, bila shaka itajitokeza muda si mrefu! Maana hata kuonekana iliwahi kuonekana, walisema itaonekana saa 4 na dakika 15, ila niliangalia saa 4 na dakika 1 ilikuwa tayari imejitokeza, kwahiyo sishangai ikichelewa kidogo.
Uko sawa, saizi inaoneka pembeni chini kushoto kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom