King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Saa nne nimechelewa ngoja nivizie saa sita na dakika 2.Saa nne siyo usiku sana. Ukitokanje kuangalia yanayoendelea angani utabadilisha kauli.
mkuu sayari ya mars ilikuwa inaonekana mida flani, subiria mida ya saa sita itajitokeza tena upande wa pili nitakushtua. Usilale.Ni Upigaji tu wa NASA hamna chochote ,sioni chochote zaidi ya mwezi tu unang'aa kama kawaida(refelection ya mwanga wa jua) ,siioni sayari ya Mars sehemu yeyote.
Hakuna pua ya kukanyaga mwezin, achen kuamn story za kipumbavu..wale washenz walitudanganya kuwa walienda mwezin lkn wameshaumbuka znaibuka kenge zingine znataka kutuongopeaMi nasubiria the moment of the first man to land on Mars tu. Naona Elon Musk na project yake amezamilia 2023 mtu kutua Mars
Ni aibu..kuna wanaume mnasherekea birthday? Adharan unatamka una birthday? How old are you?B dei yangu leo
Mwez hauakisi wala kusharabu mwanga, hizo nazo ni elimu za kishenz vile vile made by NASA...mwez ungekuwa unaakisi mwanga usingekuwa na ukali huu tunaouona pia rangi ya mwanga isingekuwa kama hii bali ingeleta mfanano na mwanga wa jua, jaribu hili zoezi hata nyumban kwako tumia balbu rangi tofaut tofauti kumulika ktk kitambaa cheupe na uone mng'ao wa kitambaa icho na rangi za mng'ao lazima uendane na aina ya rangi ya balbu[emoji23] , je jua lina mwanga mweupe tu?jaman amkeni acheni kuamn ushenziNi Upigaji tu wa NASA hamna chochote ,sioni chochote zaidi ya mwezi tu unang'aa kama kawaida(refelection ya mwanga wa jua) ,siioni sayari ya Mars sehemu yeyote.
Mwez hauakisi wala kusharabu mwanga, hizo nazo ni elimu za kishenz vile vile made by NASA...mwez ungekuwa unaakisi mwanga usingekuwa na ukali huu tunaouona pia rangi ya mwanga isingekuwa kama hii bali ingeleta mfanano na mwanga wa jua, jaribu hili zoezi hata nyumban kwako tumia balbu rangi tofaut tofauti kumulika ktk kitambaa cheupe na uone mng'ao wa kitambaa icho na rangi za mng'ao lazima uendane na aina ya rangi ya balbu[emoji23] , je jua lina mwanga mweupe tu?jaman amkeni acheni kuamn ushenzi
Pia mwezi ungekuwa unaakisi mwanga, basi kuna kipindi usingekuwa unaonekana na mng'ao maana unakuwa position tofaut na jua, mwezi unamwanga wake mwenyewe, mwezi ni kitu cha kutisha tofaut na haya mashetani yalivyotudanganya.
Hakuna pua ya mtu ya kuweza kwenda mwezini, wao wanajua ndiomaana huoni juhudi zao sas kupeleka wanasayansi wao wa uongo huko mwezin maana wataumbuka vbaya
He bro where are you from? Nani ameongelea habari za kutua mwezini hapa?🤷Hakuna pua ya kukanyaga mwezin, achen kuamn story za kipumbavu..wale washenz walitudanganya kuwa walienda mwezin lkn wameshaumbuka znaibuka kenge zingine znataka kutuongopea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpaka muda huu sioni chcht, Kwan n saa 6 na dkk ngapi.? Nisije kukaa nje ad nikapigwa nondo za kichwa
watu hamuelewi, mwezi siyo kwamba utazima au kubadilika rang, ila ni sayari ya mars itamezwa na mwezi kwa lugha nyepesi. Mida ya saa 4 mars ilionekana pembeni ya mwezi. Mpaka sasa tunaisubiri itokee upande wa pili muda mchache ujao.Nimesema nisiache comment yangu hadi nithibitishe toka saa 4 hadi muda huu ibaelekea saa 6 hamna lolote mbalamwezi ipo zake kama kawaida
Mkuu una uhakika? mbona hatuoni kitu?mkuu sayari ya mars ilikuwa inaonekana mida flani, subiria mida ya saa sita itajitokeza tena upande wa pili nitakushtua. Usilale.
mmmmhTayar mars imetokeza upande wa pili wa mwezi
Nimeangalia toka saa 6 kamili mpaka na dakika 5 mbona hakuna kilichoendelea. Tena nilikuwa nachukua na video kabisa incase nimemiss kuona. Hakuna kituTayar mars imetokeza upande wa pili wa mwezi
Mm sioni kitu, isije kuwa unaona nyota ukadhani n sayariTayar mars imetokeza upande wa pili wa mwezi